Orodha mpya Mabilionea Afrika 2024

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Forbes imetangaza orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika kwa mwaka 2024, ambapo mabilionea 20 kwenye orodha hiyo wanakadiriwa kuwa na utajiri wa jumla ya dola bilioni 82.4. Hii ni ongezeko la dola milioni 900 ikilinganishwa na mwaka uliopita.

Hii ndio orodha mpya ya Mabilionea wa Afrika;

1. Aliko Dangote: TZS trilioni 34.8
2. Johann Rupert and family: TZS trilioni 25.3
3. Nicky Oppenheimer & family: TZS trilioni 23.5.
4. Nassef Sawiris: TZS trilioni 21.8
5. Mike Adenuga: TZS trilioni 17.3
6. Abdulsamad Rabiu: TZS trilioni 14.7
7. Naguib Sawiris: TZS trilioni 9.5
8. Mohamed Mansour: TZS trilioni 8
9. Koos Bekker: TZS trilioni 6.7
10. Patrice Motsepe: TZS trilioni 6.7
11. Issad Rebrab & family: TZS trilioni 6.2
12. Mohammed Dewji: TZS trilioni 4.5 - Mohammed Dewji amepanda kutoka nafasi ya 15, mwaka 2023 amnapo alikuwa na utajiri wa $1.5 billion sawa na TZS trilioni 3.8.

Snapinsta.app_421798797_709099661363163_7711526593100833450_n_1080.jpg
 
Back
Top Bottom