Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alitembelea mradi wa ujenzi wa meli ya kisasa ambayo ni meli kubwa kuliko zote katika Ukanda wa Afrika Mashariki pamoja na ujenzi wa chelezo kwa ajili ya matengenezo na marekebisho ya meli mbalimbali ikiwa...
MFUMO mpya wa ununuzi wa korosho kwa msimu wa mwaka 2019/2020, unatarajia kuwaingizia wakulima Sh bilioni 720. Tayari mfumo huo umeanza kwa mafanikio, baada ya minada ya kwanza iliyofanyika juzi katika Wilaya za Tandahimba na Masasi, ambapo vyama viwili vikuu vya Ushirika vya TANECU na MAMCU...
Nimeona tweet ya Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Bashe akisema wakulima wa korosho wa mwaka jana ambao serikali ilichukua korosho zao bado wanaendelea kulipwa, nimeshangaa siyo kidogo.
Mwaka mzima serikali inalipa nini? Hayo malipo yasiyoisha ni malipo ya namna gani? Mtu aliuza korosho zake...
Mzuka wanajamvi!
Dah yaani jamaa copyright na boss mpya wa ISIS aliyerithi nafasi ya marehemu Al Baghdad.
Boss mpya wa ISIS Abdullah Qardash Quyraish ama professor jina lake la utani ni katili kuliko Al Baghdad mwenyewe.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 26 ameongoza Watanzania kupokea ndege ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Nyerere, Dar es Salaam.
Ndege hii mpya imesajiliwa kwa usajili namba 5H-TCJ na imepewa 'Brand Name' ya RUBONDO ISLAND, visiwa vilivyopo...
Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je...
Chadema wameamua kuja na sera ya upepo wa kisulisuli ambayo inalenga kuwaunganisha wapinzani ili wawe kitu kimoja katika mkakati wa kuiondoa CCM madarakani.
Upepo wa kisulisuli ni kaulimbiu inayotumiwa sana na mchungaji Rwakatare wa mlima wa moto.
Source Tanzania Daima!
Mkazi wa Kijiji cha Nohli, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma akihifadhi mazao juu ya paa la nyumba kama alivyokutwa kijijini. PICHA: IBRAHIM JOSEPH (Nipashe)
Na. M. M. Mwanakijiji
Tumekuwa tukiona mara kwa mara Rais John Magufuli akiagiza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Na tumeona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.