Makundi ya watalii kutoka Israel yaanza kuwasili nchini kwa mapumziko ya mwaka mpya, aibarikie Israel atabarikiwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
40,281
2,000
Mwenyekiti wa bodi ya utalii nchini Jaji mstaafu Anthony Mihayo amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa wa watalii kutoka nchi takatifu ya Israel wanaokuja nchini kwa mapumziko.

Jaji Mihayo amesema hayo wakati akilipokea kundi la kwanza la watalii hao lililowasili jijini Arusha leo.

Aibarikie Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
 
Mkirindi

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
6,411
2,000
Tunawakaribisha watalii wa nchi zote za duniani, wayahudi hawapendi ukristo wala uislamu, wao wanaaminidini yao pekee ndio dini ya mungu, na kama hukuzaliwa na mama wa kiyahudi huna asili yao, ukijiunga na dini yao na uu mtu mweuzi basi wewe ni third class judist.

Wayahudi weusi wananyanyaswa sana huko kwao, lakini ukiwa mtu mweupe unakaribishwa, wale FALASHA waliotolewa Ethiopia wengi wamerudi Ethiopia na hawataki kuisikia Israel tena.

Sijui kwa nini tunawashangilia, ama ni basi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa tunazungumzia utalii bwashee!
 
Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
3,930
2,000
Tunawakaribisha watalii wa nchi zote za duniani, wayahudi hawapendi ukristo wala uislamu, wao wanaaminidini yao pekee ndio dini ya mungu, na kama hukuzaliwa na mama wa kiyahudi huna asili yao, ukijiunga na dini yao na uu mtu mweuzi basi wewe ni third class judist.

Wayahudi weusi wananyanyaswa sana huko kwao, lakini ukiwa mtu mweupe unakaribishwa, wale FALASHA waliotolewa Ethiopia wengi wamerudi Ethiopia na hawataki kuisikia Israel tena.

Sijui kwa nini tunawashangilia, ama ni basi tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ustadhi naona povu linakudondoka ukisikia mambo ya Israeli. Tuliza mzuka kaka jamaa ameelezea utalii wa watu wa Israeli sasa hayo mambo yote yanahusika vp?!
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,786
2,000
Mwenyekiti wa bodi ya utalii nchini Jaji mstaafu Anthony Mihayo amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa wa watalii kutoka nchi takatifu ya Israel wanaokuja nchini kwa mapumziko.

Jaji Mihayo amesema hayo wakati akilipokea kundi la kwanza la watalii hao lililowasili jijini Arusha leo.

Aibarikie Israel atabarikiwa na ailaaniye atalaaniwa.

Source ITV habari

Maendeleo hayana vyama!
Kwa nn hawaendi Burigi - Chato?
 
Jambazi

JF-Expert Member
Jan 18, 2014
16,586
2,000
Haya chief..
IMG_20191217_111238.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom