mpya

  1. Wapi wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar?

    Naomba tafadhali kama kuna mtu humu jukwaani anayejua sehemu ambayo wanauza Battery Mpya za Laptop hapa Dar, anijuze. Mubarikiwe na Bwana
  2. Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

    Hiki ni kitendo kilichofanyika bila kuchelewa , hajataka kuleta longolongo ili waseme kuna mafaili yametoroshwa . Kila la heri Profesa Assad ****** Prof. Assad: "Hii ni taasisi na makabidhiano ya taasisi yanaenda kwa maandishi, kwa hiyo makabidhiano kwa maandishi yatafanyika Dodoma kwa sababu...
  3. Yaliyojiri Ikulu Dar: Rais Magufuli amtaka CAG Kichere kutojifanya Muhimili mwingine, amwambia anaweza kuondolewa hata akiwa na mwaka mmoja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli, leo Novemba 4, 2019 kuanzia majira ya saa tatu na nusu (3:30) asubuhi atawaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni Wanaoapishwa ni pamoja na; 1. Charles Edward Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
  4. Prof. Mussa Assad: Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya

    Siwezi kusema chochote kwa sasa kwa sababu sina taarifa zozote juu ya uteuzi wa CAG mpya. Nasubiri kupata taarifa rasmi ya termination kwa sababu niko safarini kikazi - Prof. Mussa Assad akizungumzia uteuzi wa CAG mpya Nilipoteuliwa nilipewa barua ya uteuzi iliyoeleza mambo kadhaa ya kisheria...
  5. CAG Prof. Assad astaafu, Charles Kichere ateuliwa kuwa CAG mpya

    Rais John Magufuli leo Novemba 3 amemteua Charles Kichere kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akichukua nafasi ya Prof. Mussa Assad Prof. Assad aliteuliwa na Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete wakati wa utawala wake na kuapishwa Novemba 2014. BAADHI YA VIFUNGU VYA SHERIA/KATIBA...
  6. Kwanini Zitto anamuogopa CAG Mpya?

    Hofu hii kwa kiongozi wa Kudumu wa ACT sio ya kawaida na kilio chake kina kelele ya uchungu mkubwa. Tusubiri makubwa zaidi? Zitto hofu yako kwa Charles Kichere ni nini haswa?
  7. L

    Wapinzani waja na mbinu mpya ya kuiba kura uchaguzi wa serikali za mitaa

    Wapinzani wameona jinsi gani Rais MAGUFULI akipambana kuleta maendeleo ya kweli katika Nchi yetu ya Tanzania,Hata baadhi ya wapinzani wanamkubali sana Magufuli lakini kwa kuwa wao wameshaapa kuwa wapinzani hawana jinsi bali ni kuendelea kumwaga sumu kwa wananchi ili ionekane wao ndio watu...
  8. Muonekano wa Geita mpya

    Geita mpya inaonekana kupendeza kweli kweli kama inavyoonekana kwenye picha.Pongezi kwa Mhe, Rais Dr.John Pombe Magufuli kwa kusimamia vyema rasilimali za nchi yetu ili zituletee maendeleo vile vile pongezi kwa Mheshimiwa Contantine John Kanyasu mbunge wa Geita Mjini na naibu waziri Mali asili...
  9. Mradi wa ujenzi wa Meli mpya na Chelezo washika kasi

    Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi alitembelea mradi wa ujenzi wa meli ya kisasa ambayo ni meli kubwa kuliko zote katika Ukanda wa Afrika Mashariki pamoja na ujenzi wa chelezo kwa ajili ya matengenezo na marekebisho ya meli mbalimbali ikiwa...
  10. Mfumo mpya ununuzi wa korosho kuvuna bil.720/

    MFUMO mpya wa ununuzi wa korosho kwa msimu wa mwaka 2019/2020, unatarajia kuwaingizia wakulima Sh bilioni 720. Tayari mfumo huo umeanza kwa mafanikio, baada ya minada ya kwanza iliyofanyika juzi katika Wilaya za Tandahimba na Masasi, ambapo vyama viwili vikuu vya Ushirika vya TANECU na MAMCU...
  11. Wakulima wa korosho bado hawajamaliza kulipwa, msimu mpya umeanza korosho bei ni TZS 2,556

    Nimeona tweet ya Naibu Waziri wa Kilimo Mheshimiwa Bashe akisema wakulima wa korosho wa mwaka jana ambao serikali ilichukua korosho zao bado wanaendelea kulipwa, nimeshangaa siyo kidogo. Mwaka mzima serikali inalipa nini? Hayo malipo yasiyoisha ni malipo ya namna gani? Mtu aliuza korosho zake...
  12. Huyu kiongozi mpya wa ISIS anafanana sana na Mlinzi

    Mzuka wanajamvi! Dah yaani jamaa copyright na boss mpya wa ISIS aliyerithi nafasi ya marehemu Al Baghdad. Boss mpya wa ISIS Abdullah Qardash Quyraish ama professor jina lake la utani ni katili kuliko Al Baghdad mwenyewe.
  13. Mtoto mpya ana raha yake asikwambie mtu

  14. Usichokijua kuhusu ndege mpya iliyopokelewa leo na Rais Magufuli

    Rais Dkt. John Pombe Magufuli leo Oktoba 26 ameongoza Watanzania kupokea ndege ya pili aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, katika Uwanja wa Ndege wa Mwl. Julius Nyerere, Dar es Salaam. Ndege hii mpya imesajiliwa kwa usajili namba 5H-TCJ na imepewa 'Brand Name' ya RUBONDO ISLAND, visiwa vilivyopo...
  15. Diamond sasa mnyonyaji mpya mjini

    Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je...
  16. J

    CHADEMA waja na sera mpya ya upepo wa kisulisuli itakayowaunganisha wapinzani

    Chadema wameamua kuja na sera ya upepo wa kisulisuli ambayo inalenga kuwaunganisha wapinzani ili wawe kitu kimoja katika mkakati wa kuiondoa CCM madarakani. Upepo wa kisulisuli ni kaulimbiu inayotumiwa sana na mchungaji Rwakatare wa mlima wa moto. Source Tanzania Daima!
  17. Pendekezo Chanya: Rais Magufuli aanzishe Mfuko wa Ujenzi Mpya na Maendeleo wa Taifa (MUMT)

    Mkazi wa Kijiji cha Nohli, Wilaya ya Bahi mkoani Dodoma akihifadhi mazao juu ya paa la nyumba kama alivyokutwa kijijini. PICHA: IBRAHIM JOSEPH (Nipashe) Na. M. M. Mwanakijiji Tumekuwa tukiona mara kwa mara Rais John Magufuli akiagiza utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo. Na tumeona...
  18. Jengo jipya la TANESCO wilayani Chato

    Huu ndio mchoro jinsi jengo la shirika la Umeme nchini Tanzania (Tanesco) litakavyokuwa mara baada ya kukamilika wilayani Chato mkoani Geita.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…