mpya

  1. JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Mwinyi ni Mandela mpya wa Visiwa vya Zanzibar

    DK. HUSSEIN MWINYI NI MANDELA MPYA WA VISIWA VYA ZANZIBAR Deogratias Mutungi Siasa imara ni zao la ustawi wa amani na maendeleo ya watu, Siasa ni chemichemi na kiungo cha utaifa wa mtu na mtu, Siasa mbovu ni chanzo cha matatizo na mifarakano inayo hatarisha utu na uhai wa binadamu aidha bila...
  2. M

    JamiiForums Tanzania H. Polepole, Profesa Kabudi na Bashiru Ally juu ya Katiba Mpya na Muungano

    Profesa Kabudi alisema wazi, kuwa kwenye ishu ya muungano, wazanzibar mambo yao yako mezani, yako well documented isipokuwa yale ya Tanganyika. Akasema anaogopa siku watanganyika watakaponyanyuka na kudai mambo yao Humphrey Polepole akasema, Katiba ya Sasa inampa Rais wa sasa madaraka makubwa...
  3. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania yaanza kuiga Kenya kisiasa - mwamko mpya Tanzania

    Watanzania waandamana
  4. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuhamisha Magoli ndiyo mbinu mpya ya CCM

    Anaandika Lord Denning wa JF, Leo nimecheka sana! Kuna clip watu wa CCM wameitengeneza na wanaisambaza ikimuonesha Tundu Lissu akiwa kwenye kampeni akiongelea suala la Bunge na wabunge hawajui bei wala mikataba ya ndege! Kwenye clip hii wana CCM wameunganisha na scene ya Halima Mdee akijadili...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya Kimataifa: Rais Magufuli amefungua balozi mpya katika nchi 8 ikiwemo Israel, Mungu ambariki sana!

    Kwa ufupi kabisa kwa wale CHADEMA pamoja na Tundu Lisu mnaodai Rais Magufuli amefifisha mahusiano na dunia nataka niwakumbushe tu Rais Magufuli amefungua balozi katika nchi nane duniani ikiwemo Israel. Tunapokosoa jambo tuwe tunaweka na uhalisia wa ukosoaji siyo kukurupuka. Hata Ethiopia...
  6. B

    JamiiForums Tanzania CEO mpya Simba utawezaje kuitumikia klabu na kampuni ya TBL kwa wakati mmoja?

    Moja ya Habari iliyotamba kwenye duru la michezo na kwenye mitandao ya kijamii nchini mwishoni mwa wiki ni klabu ya soka ya Simba kumpata Afisa Mtendaji Mkuu mpya mwanamke , Barbara Gonzalez. Barbara Gonzalez, mbali na wadhifa huu mpya katika klabu hii kongwe ya soka nchini ni mfanyakazi wa...
  7. JamiiForums Tanzania GE2020 Baada ya Vyombo vya Habari kuminywa kutoa habari za CHADEMA, wagombea Ubunge wabuni mbinu mpya ili kuwafikia wapiga kura

    Huyu ni Mgombea Ubunge wa jimbo la Makambako kwa tiketi ya CHADEMA akitumia njia mpya ya kujitangaza . Mytake : Tunaomba radhi kwa usumbufu wa nyuzi zetu nyingi za kampeni , hii ni kwa vile muda wa kampeni ni mfupi na tunazihitaji sana kura zenu
  8. JamiiForums Tanzania Tetesi: Jezi mpya za Yanga hazitatolewa mpaka stock ya jezi za zamani iuzwe yote

    Habari wadau Inasemekana gsm wamegoma kutoa jezi mpya mpaka za zamani ziishe..
  9. JamiiForums Tanzania Kocha mpya wa Yanga ni Zlatko Krmpotic

    RASMI: Kocha mpya wa klabu ya Yanga ni Zlatko Krmpotic, raia wa Serbia ambaye ameingia makubaliano ya mkataba wa miaka miwili kuitumikia klabu hiyo. Kocha huyo anatarajiwa kuwasili kesho jijini Dar es Salaam tayari kwa kushiriki kilele cha #WikiYaMwananchi
  10. JamiiForums Tanzania Fireboy DML, Mfalme mpya wa muziki Afrika

    Muziki wa Nigeria una ushindani mkubwa sana, vijana kama Omah Lay, Joe Boy na Fireboy DML wanafanya kazi nzuri sana. Lakini mtu ambaye amebahatika kuteka hisia zangu zaidi ni huyu Fireboy DML, huyu jamaa anatisha sana. Nimebahatika kusikiliza albamu yake mpya inayokwenda kwa jina la APPOLO...
  11. JamiiForums Tanzania Viwanja Pacha vyenye Hati Miliki Vinauzwa MBWENI-Maputo

    Ni Viwanja 'pacha' kwa Matumizi za Shughuli za makazi. Vinauzwa vyote kwa pamoja au kimojakimoja. Eneo: MBWENI-Maputo, Maarufu kama Kwamasista. Ukubwa: Kimoja ni SQM 1227, Kingine ni SQM 1234. Jumla Viwanja vyote vina eneo la ukubwa wa SQM.2451. Umiliki ni HATI MILIKI ya Wizara ya...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna siri Seif na Mbowe kuhusu kudai Katiba Mpya

    Kwa mawazo yangu ukitaka kuvunja muungano basi uwe na Serikali ya Tanganyika yenye madaraka ya ndani makubwa sawa na ile ya Zanzibar. Ukifanya hivyo utabakia na serikali ya muungano yenye kudhibiti Wizara chache hazizidi kumi. Serikali ya muungano itakuwa dhaifu tegemezi. Kama tanganyika...
  13. JamiiForums Tanzania Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini

    Luke Marklin: CEO wa Bellhops Moving aliyemzawadia gari yake binafsi (Ford Escape) mfanyakazi mpya aliyetembea zaidi ya miles 20 ili awahi kazini. Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the...
  14. JamiiForums Tanzania Baada ya kipigo cha goli 8-2 kutoka kwa Bayern Munich, Barcelona imemtangaza Ronald Koeman kuwa kocha mpya

    Ronald Koeman (57) ametangazwa kuwa Kocha mpya wa Klabu ya Barcelona ya Uhspania, akipewa mkataba wa miaka miwili na kulazimika kuacha kazi yake ya kuifundisha timu ya Taifa ya Uholanzi Koeman ambaye ni raia wa Uholanzi anachukua nafasi ya Kocha Quique Setien, aliyefukuzwa baada ya Barcelona...
  15. JamiiForums Tanzania Nimegundua biashara mpya 2020 pale sabasaba itayoingiza mamilioni ya shilingi

    Tunawaomba veta mtengeneze kichumba kidogo chenye kiti, dirisha la ndege, meza, mkanda wa ndege, mlango sawa na wa ndege, taa nzuri za ndani ya ndege, ili watu wanaopenda ndege wawe wanapiga picha kwa tsh.elfu tano. Na muwe mnabadili pazia na cover seat Mara kwa Mara,kwakuwa tunapenda kupost...
  16. JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Uchaguzi Mkuu: CCM ya-test mitambo, yazindua Kituo cha Huduma kwa Wanachama na Watendaji

    Published on Aug 17, 2020 Kuelekea Uchaguzi mkuu 2020 Chama cha Mapinduzi kimezindua kituo maalum cha mawasiliano lengo kuu likiwa ni kuhakikisha wanakuwa na mawasiliano ya karibu na wanachama na watendaji wa chama icho Katika kipindi cha uchaguzi mkuu Akizingumza mapema leo jiji Dodoma katibu...
  17. JamiiForums Tanzania "GOODBYEE" wimbo mpya wa pili kutoka wa DON NALIMISON. Umetoka rasmi leo

  18. JamiiForums Tanzania Stendi Kuu ya Mabasi Dodoma ni kama airport za mbele, Rais Magufuli afanya kweli

    Mhe. Rais Magufuli inatosha, wapinzani watakufa kwa presha jamani. Millard Ayo aimulika kila kona, angalia hapa. Kadi za CCM zipo kila shina, mwone kiongozi wa shina katika mtaa wako
  19. JamiiForums Tanzania Albamu mpya ya Burna Boy ni moto mkali sana

    Saa hizi niko mtandaoni nasikiliza Album ya Burna Boy ya "Twice As Tall" na nimefurahishwa nayo kupita kiasi.Niseme tu, nadhani huyu jamaa ana kipaji kikubwa na kila siku anazidi kukomaa tu. Humu ndani wametokea wasanii wakubwa duniani kama Youssou N'Dour, Christ Martin (Vocalist wa Cold-Play)...
  20. JamiiForums Tanzania Changamoto za kupata baby mpya kati kati ya mwezi!

    Kuna rafiki yangu mmoja nilikuwa namwambia, kwa assesment ambayo nimefanya inaonesha 90% ya mabinti wa kibongo wana changamoto nyingi za kiuchumi.. So ni bora ukamatie mmoja, umsovie mahitaji yake umpunguzie dhiki kisha utulie naye. Katika kukabiliana na hilo embu wadau tupambanue, unapambana...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…