mpira

  1. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Sheria ya mpira wa kurushwa inabidi ibadilishwe

    Kwenye mpira wa kurusha. Adui akitoa mpira karibu na lango lako na ukatakiwa kurusha inakuwa kama unajishambulia. Kosa wamefanya timu pinzani na umepewa mpira wa kurusha. Lakini kwa vile unarusha karibu sana na lango lako unakuwa kama unajishambulia. Unakuwa kama wewe tena ndiye...
  2. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Hii ni kashfa nzito na kubwa sana kwa Viongozi wa Simba na Yanga na mpira wa Tanzania kwa ujumla

    Kama hizi habari zinazosambaa mitandaoni ni kweli basi Viongozi wa Simba lazima watoke watueleze ukweli wa hili jambo. --- Anaandika Wilson Oruma katika ukurasa wake TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE KARIAKOO DERBY imekuwa ni sehemu ya Maisha Yetu.. Ndugu zangu Takukuru Simu za wachezaji zipo bize...
  3. Kichwa Kichafu

    JamiiForums Tanzania Young Africans inaweza kucheza mpira hata kwenye moto

    Habari. Kama Itatokea Siku Moja Duniani Mpira Ukahitajika Kuchezwa Kwenye Moto Basi Naamini Kabisa Timu Namba Moja Ambayo Dunia Itafikiria Ni Young Africans. Tumeweza Kucheza Mpira Kwenye Mazingira Yote Na Matokeo Yanakuwa Mazuri. Kwenye Jua Mtu Anapigwa, Kwenye Mvua Mtu Anapigwa, Kwenye...
  4. M

    JamiiForums Tanzania CCM mkarabati viwanja vyenu vya mpira vinavyotumika kwenye ligi. Ndiyo furaha tuliyobakia nayo kwengine mlishashindwa

    Uwezo mnao ila viwanja vyenu vinatia aibu fremu nje za mamilioni ndani uwanja nyasi kichefu chefu. Vyenye taa mwanga kama wa torch havifai kwa game za usiku. Hela mnazo tuibia rudisheni basi kama fungu la kumi kwenye kukarabati uwanja.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

    Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki. Nje kwa milimita 1 Hilo dogo...
  6. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Siku mbu akitua kwenye korodani zako ndiyo utajua kuna njia bora ya kutatua shida au matatizo bila kutumia vurugu

    Mungu alianza uumbaji wake katika siku ya kwanza. Akaamua kuweka ardhi, lakini hii ardhi akaamua kuitofautisha, kwa nini? Kwa sababu alitaka dunia ipendeze. Akaiwekea miti na kwingine akaamua kupawekea mchanga mwingi na kupaita jangwa. Kwingine akaamua kupawekea tu mchanga wa kawaida, ndipo...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Aziz Ki kawavutia sana mashabiki wa mpira huko South Africa

    Kwenye media za michezo huko South Africa kuhusu game ya jana naona mashabiki wa Mamelod na Kaiser chiefs wamepagawa na kiwango cha Aziz Ki. Kila shabiki anashauri klabu chake kimsajili. Kuna mmoja akaenda mbali zaidi kwa kusema sio tu lile goli lililokataliwa bali jinsi alivyo na nguvu za...
  8. covid 19

    JamiiForums Tanzania TFF wasaidieni Yanga Afrika huko FIFA kama halikuwa goli kwanini refa hakuwapa Yanga kona wakati mpira ulitolewa nje kwa kichwa na beki wao?

    Nimejiridhisha tena kwa mara nyingine mpira ule baada ya kutoka golini pale beki ya mamelod iliutoa kwa kupiga kichwa nje na kipa akaudaka mpira ukiwa nje umeshadunda chini Sasa ninachojiuliza kama refa halikataa goli sasa si angewapa young african corner yao kwanini alifanya iwe goal kick...
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu, Sheria ya Mpira inasemaje juu ya goli la Yanga? Je, kuna uwezekano wa kufungua kesi?

  10. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Siku za mpira kwenye baa soda na maji ndiyo vina faida kuliko bia

    Unaweza usiamini ila kwenye mabanda umiza na mabar soda inauzwa 1000 sio kama madukani 700 na maji Lita 1.5 yanauzwa 1500 sasa Wakija wateja wengi ukauza ma kreti mengi ya soda aisee biashara itakuendea vizuri sana.soda moja unapiga faida Mpaka 500 hakuna bia yenye faida hiyo.
  11. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Mpira ni mchezo wa hisia,leo nimemuona Aziz KI kwenye video chozi limenitoka.

    wadau lengo nimejishangaa nimejikuta namwaga chozi baada ya kumuona azizi Ki alipokuwa anatoka uwanjani.
  12. KJ07

    JamiiForums Tanzania Kwa hakika jana ni siku ambayo mpira wa Afrika umepoteza mvuto Duniani kote.

    Sina mengi ya kuandika zaidi ya hayo.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Ibrahim Masoud wa E-TV ni Mtangazaji wa hovyo kabisa wa Mpira

    Kama Yanga tunakerwa na utangazaji wa Baraka Mpenja wa Azam TV basi kuna korona la nazi linaitwa Ibrahim Masoud, no football knowledge or commentary professionalism at all from the man. Yan tangu dakika ya kwanza ya mchezo hadi sasa dk.80 anarudia tu kauli yake kuwa haamini kama Yanga atapata...
  14. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa mimi ndio Waziri wa Michezo ningejikita kujenga vyuo vya mpira wa miguu vitakavyo simamiwa na Taifa stars

    Kwanza kabisa mikakati yangu ingekua ni kuifanya Taifa starts ijitegemee kwa kujiingizia kipato chake yenyewe. Ningefanyeje kufanikisha hilo ningeomba bajeti kwaajili ya Taifa stars ijenge vyuo (Football academies) vya mpira wa miguu kila wilaya. Vyuo vitakavyo fundisha soka kwa watoto wadogo...
  15. hydroxo

    JamiiForums Tanzania Tuwekane sawa jana Simba hawakucheza mpira bali waliruhusiwa kucheza mpira.

    Baada ya mechi ya jana kati ya Simba(makolo) na Al Ahly kuisha kwa kolo kuchomekwa kimoja na kushindwa kukichomoa wameibuka washabiki maandazi wa Simba wasiojua mpira na kuanza kusema jana simba alicheza sana mpira. Kwenye mpira kucheza/kumiliki mpira dhidi ya mpinzani wako kunaweza kutokea...
  16. covid 19

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mpira tumecheza vizuri kocha kafanya kazi nzuri ila quality ya wachezaji ni mbovu

    Kwa namna wachezaji wa simba walivyokuwa wanacheza ni wazi kabisa kocha hapa hatuna deni nae shida ni quality ya wachezaji wenyewe ni ya kuchechemea. Magoli 7 ya wazi yamekoswa yani alhy amepiga shoot moja na hilohilo limekuwa goli. Wachezaji wa simba mnawatukanisha sana viongozi wenu isee na...
  17. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Proved: Yanga atacheza finally na Al Ahy ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na heshima

    Wakuu bila kuwafunga waarabu hawataacha kutudharau watu weusi. Sasa ni dhahili Yanga atacheza finally na Al Ahly ili kumlipiza na kuwatoa waarabu kabisa kwenye ramani ya mpira Africa ili wawe na heshima. Young African will beat AL Alhly hii ni baada ya ushindi wa gori tatu kesho.
  18. uhurumoja

    JamiiForums Tanzania Kwa wale tunaongoja TBC kuna mpira hapa kweli?

    Title iko wazi naona inafafanuliwa miaka 3 ya Mama hapa tunaweza kushangaa meza ya busara inakuja akiwepo Rioba na wazee wenzake.
  19. briophyta plantae

    JamiiForums Tanzania Utata gharama za utengenezwaji uwanja mpya wa mpira Arusha

    Kumekuwa na utata juu ya gharama za ujenzi wa uwanja mpya wa mpira jijini arusha, wananchi wamehoji sana na kuonekana kutokukubalina na gharama na hasa wakilinganisha na gharama za Uwanja wa Benjamin Mkapa uliojengwa kipindi cha nyuma 2007 ukiwa na uwezo wa kubeba watu 60,000 kwa gharama ya 64...
  20. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Stori gani uliwahi kusimuliwa kuhusu mchezaji wa mpira kumbe 'kamba'?

    Kuna stori niliwahi kuambiwa na jamaa mmoja kuwa Bekham alikuwa anafanya mazoezi hata siku mbili mfululizo bila kupumzika akiwa nyumbani. Kipindi hicho nilikuwa mdogo nikamuamini ila sasa nimekuwa nimemfata kumwambia yule jamaa achukue kamba yake sifungiki tena.
Back
Top Bottom