Kijana wa kiume sipendi mpira wala masumbwi, je kuna shida?

Rio Shabazz

JF-Expert Member
Jan 18, 2024
1,334
2,169
Mimi ni kijana wa kiume umri miaka 26, si mpenzi wa mpira wala ndondi. Sipendi magari wala kubeti, kifupi sifuatilii, ukiniuliza hata mchezaji wa Simba au Yanga mmoja simjui, wala wa Barcelona au Man United kifupi sina interest!

Kuna muda hadi wanawake wananishangaa maana utakuta wao wanajua au wanafatilia mechi mimi walaah. Napata wakati mgumu kuielezea jamii hii tabia yangu.

Ukiniona sasa utacheka, ni njemba moja ina midevu na imejaa. Watu kwa muonekano wangu unakuta umekaa kwenye gari anaanza kukuliza maswali ya mpira, alaaaah atachokutana nacho anashindwa kuamini.

Kuna watu wanataka ukaribu na mimi huanzisha mazungumzo ya kuuliza mambo ya matokeo ya jana vipi au ndondi za jana vip? Ebooo, sasa hushindwa kuamini kama sijui! Hudhani labda sipendi kuongea, kumbe sina nachikijua. Ni huzuni kwakweli!

Je, hili ni tatizo gani, maana naanza kuonekana tofauti?

Sina marafiki, personality ngumu, sipendi michezo wala kubeti, yaani shuhuli zote zinazowaunganisha vijana wa kiume simo. Kuna shida gani hapo?

NB: USISAHAU KUREACT NIJUE UZI UMEKUPATAJE APO

STATUS : Makasiriko 1
LIKE 4
 
kama umejua majina ya timu tu inatosha..mengine utajua polepole
 
Uko kama mimi , pia nko namaisha hayo ila naisi ni hulkatu ya mtu. Me wanawake wananambia bas ntakua napenda ngono sana lakin pia wala sko ivyo. Na wanasema mtu hakos stareh hii haina ukweli
 
Back
Top Bottom