mpenzi

  1. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu JAMES BOND, naumia Kwa kufa kwako, nilikupenda tangu utotoni

    Mara Paaap nafungua Instagram naambiwa James Bond Amekufa🙆 Uuuuwi jamaani kwanini umekufa weweee Mwanzilishi wa Sinema za James abond Duniani na Owner WA Copy Right ya James Bond Movies, Dead and Gone today😭 Pumzika Kwa amani ya Bwana na Mimi nitaendelea kukupenda kama Money Penny
  2. JamiiForums Tanzania Usikimbilie kumtambulisha mpenzi wako soma kwanza mchezo

    Sikuizi mapenzi ni kusomana sana tena kwa umakini wa hali ya juu, unaweza mpeleka mpenzi wenu kwenu akakuta mambo sivyo na alivyo kuwa anategemea so tarajia atabadilika mana mategemeo yake ni tofauti na alicho kuta kwenu au kwa ndugu zako SOMA MCHEZO Unaweza ukamtambulisha mpenzi wako kwenu...
  3. JamiiForums Tanzania Nitumie dawa gani mpenzi wangu aniache automatically?

    Nina mpenzi ambaye ananipenda sana (mi nazuga tu kwqmba nampenda, licha ya kwamba Zamani nilikuwa nampenda Sana). Kwa kadiri siku zinavyosonga mbele ndivyo upendo wake kwangu unavyozidi kuongezeka huku wa kwangu ukizidi kuyeyuka na kupoteza kabisa. Binti wa watu kaacha dini yake kaja kwangu...
  4. JamiiForums Tanzania Tabia zipi huzipendi kwa ndugu yako, mpenzi wako, rafiki yako au hata mzazi wako?

    Tabia ni kama mazoea ya mtu na kama inavyojulikana tabia ni ngozi. wewe mpaka ulipofikia hapo ni tabia gani huzipendi kwa watu na huna cha kufanya? Au ni tabia gani kutoka kwako huipendi na unajaribu kuiacha?
  5. JamiiForums Tanzania Msema kweli ni mpenzi wa Mungu na OCD Hai amesema ukweli

    Mbowe na Chadema wamelitelekeza jimbo la Hai kwa muda mrefu na alifanya kuwadharau watu wa Hai na alikuwa anafanya kampeni kwa siku kumi anapata Ubunge. Safari hii ana wakati mgumu sana,wananchi hawamtaki na amekuwa akizomewa mara kwa mara, hii ni kwa sababu aliwafanya wajinga, kila...
  6. JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee bado hajamsahau Jux, anatumia nguvu kubwa kumtumia mpenzi wake mpya kwa lengo la kujaribu kumpa wivu Jux

    Wazoefu wa mapenzi tunaona kabisa Vanessa Mdee bado yupo na ile michezo ya sekondari pale ambapo tulivyowapiga chini madem zetu walikuwa wanaanza michezo ile ya kujaribu kupata attention zetu kwa kutumia nguvu kubwa sana kujichoresha mbele ya wapenzi wao wapya. Na kwa kutumia instagram mbinu...
  7. JamiiForums Tanzania Utafanya nini siku ukimfuma mpenzi wako akizini na nduguyo?

    Imezoeleka watu kuwapa adhabu mbalimbali pale wanapowafumania wapenzi wao wakizini na watu wengine. Ulishawahi fikiria nje ya box vipi ukamfumania mke au mume wako akizini na nduguyo wa damu ama kaka yako au mdogo wako? Utachukua hatua ipi ya maamuzi? Je, undugu baina yenu utakuwepo tena au...
  8. JamiiForums Tanzania Ni sawa kuvitaka vitu vyako ukiachana na mpenzi wako?

    Kiukweli toka tuwe kwenye uhusiano sikuwa naona tatizo lolote kwa sababu tuliahidiana kupendana na sivinginevyo, nayeye yote aliyonifanyia ilikuwa nikunionyesha nikiasi gan ananipenda. Baadaye tabia zake zilianza kujenga chuki taratibu kwa upande wang vile tu hakuwa akinipa uhuru wa kufanya...
  9. JamiiForums Tanzania Hatimaye nimepata wa kunituliza, hivi sasa mimi ni "Miminimama wa Tajiri"

    Sijui niandike nini. Lakini ni kuwa nina mpenzi ananipenda nami nampenda. Huyu mtu alikuwa ni mwanaume wa ndoto yangu. Nimepata mwanaume yule yule niliyekuwa nammpicture. Hello tajiri wangu G unajua vile nakupenda. Nawewe tupende hivi hivi kila siku. Ahsante kwa kila kitu maana ni vingi mno...
  10. JamiiForums Tanzania Shtuka ukipewa sifa hii na mpenzi wako

    Salaam wanajukwaa, Hii ni kwa wanaume. Kama mke, au mchumba wako anakusifia kwa watu kwamba wewe ni muelewa, shituka kuna sehemu unazembea na mbele ya safari itakugharimu. Nimekua natafiti wanawake walio comfartable sana kwa wapenzi wao "mume wangu ni muelewa" nimegundua hua wanapewa uhuru...
  11. JamiiForums Tanzania Nimrudie tena huyu mpenzi?

    Wakuu habari za jf Bwana Yesu asifiwe, assaalam alykum wapendwa,, niwaombe tuzidi kuliombea taifa letu liwe na uchaguzi wa amani. Bila kupoteza muda niingie kunako maada,, siku za nyuma nilileta kesi ya huyu binti humu aliyekuwa akinitishia tuachane na ni kama mara mbili amewahi nitishia...
  12. JamiiForums Tanzania Money Penny Mpenzi, naomba namba yako ya simu

    To be honest nimemiss Sana JF na kuandika HADITHI Kwa website yangu na Kuongea YouTube, tulieni Wana ngoja upepo upite nitarudi Novemba NIMEKUWA buzy mweeee, Hadi utanihurumia💃 Anywho naskia mabaharia huku mnalalamika natoa namba feki, kuna Faza anapokea simu na KUWAFOKEA 😂😂😂, poleni mweee...
  13. JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu anakuja ghetto bila taarifa nimfanyeje?

    Poleni na majukumu. Kweli katika mahusiano huwa napenda mipaka, huwa niko straight lakini wapenzi wetu kibongo bongo wanapenda kufosi mambo sana. Huyu mwanamama ni msomi na anajielewa nilimuona amestaarabika sana lakini haishi tabia ya kunishtukiza geto Serious sipendi mtu yeyote hata awe mama...
  14. JamiiForums Tanzania Jambo ambalo umsamehe mpenzi wako kikawaida na asingesitahili msamaha

    Dah, iliniuma sana pale nilipopata mpenzi wa mbali tukadumisha mahusiano yenye kupendana sana dah! sielewi ilikuwaje lakini siku moja naambiwa, mpenzi nimepata mimba bahati mbaya naomba unisamehe nakupenda sana usiniache ni bahati mbaya tu, nilimsamehe ila mpaka sasa hivi hatujawahi kukutana...
  15. JamiiForums Tanzania Kijana unayetaka kuoa au mwenye mpenzi soma haya

    Vijana wengi siku hizi tumekuwa na makasiriko mengi kuhusu mahusiano. Mara nyingi kesi ikiwa ni usaliti. Sasa unapaswa kuelewa haya nitaanza na wanawake kisha nitafatia wanaume. elewa kwamba. 1; Wanawake wengi Siku hizi wana wanaume wawili. Yaani waziri wa fedha na waziri wa ndani.. 2...
  16. JamiiForums Tanzania Je, mpenzi wako amekukwaza au amekusaliti? Mfukuze kwa Wimbo huu "GO AWAY" ili uondoe msongo wa mawazo

    IF YOUR LOVER HATRED YOU, GIVE HIM/HER THIS SONG. . New video song "GO AWAY" for Lovers in Hatred, watch now to remove Stress alongside Don Nalimison.
  17. JamiiForums Tanzania Sayansi ya kumpata mpenzi unayempenda

    Tafuta namba ya huyo unayetaka awe mpenzi wako, kwa kuulizia marafiki zake n.k Andika meseji nzuri au tamu ya kuhusu kumlalamikia mpenzi wako ambaye ni 'fake', ili itakapomfikia huyo unayetaka awe mpenzi wako ajue meseji si ya kwake bali imeenda kimakosa. Tuma meseji nyingi za kuvutia za...
  18. JamiiForums Tanzania Mpenzi ni yule ambaye mnaweza kufanya tendo la siri kisha mkatawanyika kwa furaha hata kama mmoja hajapewa fedha

    Kuna watu wajinga sana kwenye suala liitwalo mapenzi. Anamwita demu mpenzi huku K anaipata kwa kutoa fedha. Unaweza kutoa fedha lakini isiwe ndio mchezo kwamba usipotoa pesa demu hakuelewi. Mwanamke ambaye mnaweza kukutana kimapenzi kisha mkatawanyika bila mmoja kupewa pesa then akatoka...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Hii ndio janja na utapeli wa wanaojidai kuunganisha kuona mawasiliano ya mpenzi wako

    Ukimfuata inbox anakwambia umpe namba zako na namba za utakae kuangalia mawasiliano yake bila Kwanza yeye kukupa namba yake. Hii maana yake NI nini? Kama utafanya kosa la kumpa hizo namba atakacho kifanya NI kuanza kuku intimidate kwamba ataenda kuexpose Siri hiyo Kwa mwenye namba kuwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kipato chako ndicho kitakachokupatia mpenzi wa daraja lako

    Huu ndio ukweli uliopo. Nafasi uliyonayo kwa sasa au nyanja yako ya kiuchumi uliyonayo ndiyo itakayokupatia mpenzi anayeendana na hali uliyonayo. Kama hali uliyonayo itabadilika huko mbeleni, pia na uhusiano utatikisika kwa sababu utakuwa uko daraja lingine la kukutana na wenye hilo daraja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…