mpenzi wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Unatarajia kumpa nini mpenzi wako Januari hii?

    Tayari January imefika, Unampa nini rafiki yako wa kike/kiume, mwezi huu wa kwanza ili ajisikie kuwa anachumbiana na mtu anayempenda, na pia ajisikie muhimu na maalum kwako, utampa nini? Ni pesa taslimu au zawadi?
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kunyonya sehemu za siri za mpenzi wako jiulize maswali haya

    Habari zenu Wakuu wangu, Kwenye ulimwengu wa sasa kumekuwa na tabia ya wapenzi kunyonyana tupu zao wawapo faragha. Kiukweli hii tabia imekuwa ni kama jambo la kawaida kwa vijana wengi wa hovyo including wazee wa hovyo pia. Leo Mjanja M1 ninakuletea maswali unayopaswa kujiuliza kabla ya...
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Saa zingine ukiona unagombana na mpenzi wako ni sauti ya Mungu, tii na uondoke haraka

    Hapo vipi? Kuna miaka fulani hivi, limwanaume mmoja tahira bora angekuwa mti wa mapera..yaani yeye kuna demu sijui anampenda sijui ndio kulogwa. Ipo hivi, kuna kuna siku huyo demu anampiga anamuambia toka kwangu sikutaki huyo jamaa kin'gang'anizi hatari, halafu jamaa anakopa mpaka pesa kwa...
  4. AlphaMale_

    JamiiForums Tanzania Je, uko tayari kuona mpenzi wako (mwanamke) anabeti?

    Pichani ni dada yuko ana bet katika moja ya websit za betting je, ni sawa kwako?
  5. V

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufahamu endapo mpenzi wako Danga

    According to ze Generali him self, ni rahisi kufahamu hili na sio roketi sayansi. Anasema kama upo Dar na mpenzi wako ana mshahara chini ya milioni 6 take home, ana gari na anakula bujiii, basi fahamu kama sio Mwizi basi ni Danga. Well, kuna watakaouliza General Ulimwengu kafanya lini utafiti...
  6. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Album kali ya kusikiliza ukiwa na Mpenzi wako room au ghetto

    Kati ya album ambayo unatakiwa kuisikiliza ukiwa na Mtoto mzuri Ghetto nakushauri uweke album ya Ed Sheeran -Divide umo ndani Albino kaimba mapenzi balaa yaani Mtoto atajikuta karopoka I love you na kapanda kitandani bila Kutumia nguvu. Umo ndani Kuna mikwaju hatari sana kama vile 1. Perfect...
  7. Daydream

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako alikutafutia sababu gani ya kukuacha?

    Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo zinapelekea wao kutuacha Mimi mpenzi wangu aliniambia "Daydream me naona tuachane" nikamuuliza kwanini...
  8. Money Penny

    JamiiForums Tanzania MPENZI wako alishawahi kulala usingizi wakati mna-do?

    Nipo na shosti hapa analalamika kuwa Wakati Wana do na mpenzi wake, mpenzi wake akalala kifuani kwake mpaka akamuamsha Sasa ananiuliza shida NI nini?! Mpaka mwanaume analala na haujawahi kutokea Eti unamsaidiaje shosti wangu??
  9. Chakorii

    JamiiForums Tanzania Mfanye mpenzi wako awe mshkaji wako💞💞

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza jaman… Mpenzi wako akiwa mshkaji wako kuna uwezekano mkubwa sana wa kujuana zaidiakikudanganya/akichukia/akiwa na furaha sana/akiwa na huzuni/siku yake haijakuwa nzuri kabla hata ya kumuuliza…na mengineyo. Mwite majina ya kishkaji,mwamba,mwana,na mengineyo...
  10. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Ahadi gani ukipewa na mpenzi wako, unatoa utamu fastaaaa...

    Haya mkujeee nasema mkujeeeeeeeeee mimi nikiambiwa napelekwa Santorini jamaaani,natoa yoooooooooooooooooteeeeeeee
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ukiona mpenzi wako anapaka "make up" na anavaa mawigi ya 800k ujue umepigwa (ni sura mbaya). Wenye sura zao wananawa tu na wanasuka "twende kilioni"

    Ewe mwanaume, ukiona mpenzi wako anahangaika sana na make ups pamoja na mawigi ujue una mpenzi mwenye sura ya kiume lkn ana jinsia ya kike. Kachukua kila kitu toka kwa babake isipokuwa jinsia. Kiufupii umepigwa mwana kwetu. Pole sana. Wenye sura zao huwa wanapakaa povu la sabuni mwilini mwao na...
  12. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Dada punguza maswali ya kijinga kwa mpenzi wako

    Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45 Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili; ''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua...
  13. Yofav

    JamiiForums Tanzania Utafanya nini ukigundua mpenzi wako amekuambukiza HIV tena kwa makusudi?

    Habari wakuu, Long time sana sijachapa uzi humu, Sasa nimekaa nikawa najiuliza kwamba hivi mfano wewe upo kwenye mahusiano au ulilala na mtu fulani alafu after unakuja kugundua kwamba huyo mtu ni muathirika wa HIV na anaifahamu hali yake ila hakukupa taadhari yoyote na sasa tazama...
  14. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mtathmini mpenzi wako, anafaa kuwa mke/mme?

    Kwa haraka haraka, muonekano wa mtu kimavazi, kimiondoko, kimaongezi, na alivyosuka kichwani; humtambulisha huyu ni mtu wa namna gani, na kupitia maeneo hayo unaweza pia kujua tabia ya muhusika. Kwa hiyo kama wewe ni mwanaume na unatafuta mke, kwa haraka haraka anza na mavazi; kama anavaa...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Balozi Sefue: Baadhi ya Wakuu wa Wilaya na Mikoa wanatumia vibaya Mamlaka yao

    Fuatilia yanayojiri kwenye Kikao cha Wajumbe wa Tume ya Haki Jinai, Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais na Wahariri wa vyombo vya habari, leo Julai 20, 2024. Kikao hiki kinafanyika Ikulu ya Dar es Salaam. Tume ya Kuangalia Jinsi ya Kuboresha taasisi za Haki Jinai nchini inaongozwa na...
  16. hp4510

    JamiiForums Tanzania Je unaweza kumuacha mpenzi wako Kwa sababu umetishiwa ametishiwa kifo?

    Kuna kisa nimekisikia Leo, Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua...
  17. Hold on

    JamiiForums Tanzania Mkeo au mpenzi wako unampendea nini?

    Kwangu mimi hakuna zaidi ya kelele zake akiwa mbali basi namiss yale makelele lakini natafuta sababu nimuache
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wako ulienae hivi sasa unamfananaisha na kitu gani kizuri hapa duniani?

    Kuna misemo mingi wapenzi huwa wanapenda kutamka/ kutamkiwa na wapenzi wao. Kwa mfano: your my chocolate, my honey, my apple, my banana, my angel, my bank. Etc embe share idea ni kitu gani kizuri huwa ukimtamkia mpenzi wako huwa anajiisi yupo peponi.
  19. Leejay49

    JamiiForums Tanzania Ni zawadi gani ukipewa na mpenzi wako unafurahi sana? Naombeni mnijuze

    Signed Out
  20. Ms eyes

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kumuacha mpenzi wako kwasababu ameku-cheat?

    Hey Guys! Mnaendeleaje, Poleni na majukumu, naomba mawazo yenu juu ya hii changamoto hapa. Hivi ni sahihi kumuacha mpenzi wako aliyekucheat na kama ukiamua kumsamehe ni muhimu kufahamu kuwa mahusiano yao na huyo aliyecheat nae yameishia wapi?
Back
Top Bottom