Mpenzi wako alikutafutia sababu gani ya kukuacha?

Daydream

Member
Oct 26, 2023
58
328
Mapenzi yanapoanza yanakua matamu kama asali ila mkishachokana yanakua machungu kama shubiri mwishowe mnaachana

Katika kuachana kuna sababu mbalimbali huwa zinatolewa na wapenzi wetu ambazo zinapelekea wao kutuacha

Mimi mpenzi wangu aliniambia "Daydream me naona tuachane" nikamuuliza kwanini unasema tuachane akanijibu "Kila nikilala kifuani kwako nasikia wanawake wanacheka"

Je wewe mdau wa JF MMU ulipewa sababu gani ya kuachwa na mpenzi wako ?
 
Kuishi maisha ya maigizo... Aisee kwangu mimi haya maisha siyawezi. Kujionyesha kwenye mitandao ya kijamii ukiwa kwenye migahawa kwangu mimi siwezi ila mwenzangu yeye aliyaona kawaida nikimkataza anaona ninamzuia uhuru wake nikaona isiwe kesi ni bora tuachane maana nilikuwa naona hatuendani kitabia.

But for me it's okay. I choose my life to be as Ghost, no friends, no family, no love. Now I live like a stranger

#amtheGhost
 
Alisema nato.mba sn na dushe halilali kwa kweli nlikuwa namto.mba sn yule mnyiramba angel, nlikuwa namkojoza mpk mara 5 maana nlishamjulia nikune wp mwanamke ukmjulia pa kukuna na awe ana hisia na ww kukojoa hata mara 6 n rahisi sn. Popote ulipo mama chukua maua yako uliniachia maumivu makali sn.
 
Na uzoefu wako wote ukaachwa?
Dah.
 
Kuishi maisha ya maigizo... Aisee kwangu mimi haya maisha siyawezi. Kujionyesha kwenye mitandao ya kijamii ukiwa kwenye migahawa kwangu mimi siwezi ila mwenzangu yeye aliyaona kawaida nikimkataza anaona ninamzuia uhuru wake nikaona isiwe kesi ni bora tuachane maana nilikuwa naona hatuendani kitabia.

But for me it's okay. I choose my life to be as Ghost, no friends, no family, no love. Now I live like a stranger

#amtheGhost
May be yes may be no but am spies not very far not very close to this, but I guess may be same genus
 
Back
Top Bottom