Dada punguza maswali ya kijinga kwa mpenzi wako

Money Penny

JF-Expert Member
Jun 20, 2016
15,921
14,821
Kuna mwamba amenicheki jana, akawa na malalamiko yake ana mdate dada wa miaka 37, na yeye mwamba ako na miaka 45

Sasa kero yake moja tu, anasema wame date kwa miezi 6, juzi dada anamwuliza huyu kaka swali hili;

''Babe, samahani nikuulize swali, eti kwanini unanipenda, kwanini umenichagua mimi''

Mwamba: Money Penny hili swali kwa wanaume linatukera sana, basi tu kwanza hatunaga majibu nalo sisi wanaume.

eti wanaume mlioko huku, kuna ukweli kwenye hili analosema huyu mwamba?

au anamtafutia binti wa watu sababu?
 
yaani swali la kwanini umenipenda kwanni umenichagua waulizane watu washaoana huowako na anniversary za kutosha sasa mtu hamjaoana, hamjachumbiana mpo katika harakati za kunjunjana unauliza kwanini umenipenda woooi
hatareee
 
Watu tupo anniversary ya 26 katika ndoa na hatujawahi kuulizwa swali la kijinga kama hilo.

Huyo mdada ni kimeo 😁
Ila kuna maswali ya kijinga mkeo anakuulizaga na humwoni kimeo maana ushalibeba meo lako sio?
 
Back
Top Bottom