mpenzi wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili zinazoashiria mpenzi wako wa kike anakuitaji

    Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:- Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto Anasahau sahau kitu...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baadhi ya wanaume hamko serious, weekend outing na mpenzi wako unaishia kumnunulia maji ya Tsh. elfu 1 tu, kweli?

    Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya mgahawa mara akaingia mdada mmoja mzuri kweli nikasema dooh. Mungu ni fundi ile nimeingia ndani mdada...
  3. chugaa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unawezaje kumfanya mpenzi wako awe na Exposure?

    Wasalaam JF, Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu. Tatizo Academic exposure yake ipo chini sana , sizungumzii ile exposure ya Kidimbwi na Juliana. Kifupi huyu binti amesoma na...
  4. Mama pretty

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume ukigundua mpenzi wako ana mpenzi mwingine anayemuhudumia na wewe huna uwezo huo utamsamehe?

    Wakuu habari, Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe? Ni hivi, kijana hana uwezo kiivo kuweza kutimiza mahitaji ya binti, binti anakua na mahusiano mengine ambayo anatimiziwa kila...
  5. Bata batani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dalili 6 zinazoonyesha mpenzi wako hajaachana na ex wake

    1.Ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subiri au usubiri au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake 2.Ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point 3.Ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha...
  6. kilamba lamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukikuta meseji ya kimapenzi kwenye simu ya mpenzi wako, kipi cha kwanza cha kufanya?

    Natumai mu wazima sana. Utafanya nini cha kwanza unapokuta meseji ya kimapenzi ya mtu mwingine kwenye simu ya mpenzi wako .je utafatilia kimya kimya ujue ukweli, au utaamua kumkalisha chini mpenzi wako na kumwambia ukweli?
  7. Harrykany

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi ukiporwa simu na mpenzi wako baada ya kugundua kuwa unamsaliti, utachukua maamuzi gani?

    Mida ya saa 20:30. Nilikua natembea zangu road, Ile naangalia mbele naona watu wawili, wanasukuma njiani, mwanamke anaelekea barabarani jamaa anamfata nyuma. Kwa speed. Yule Dada alipo fika barabarani bajaji ikafika akataka kupanda jamaa akaenda kwa nguvu kumzuia. Yule Dada akamsukuma jamaa...
  8. HUKU ABROAD

    JamiiForums Tanzania Cha kufanya baada ya kuachana na mpenzi wako

    Ukweli ni kwamba mkiachana. Sio kwamba mmeachana. Ni kama mme pumzishana Sasa akitokea ni mwanamke ameringa kabisa Cha kufanya 1. FUTA namba yake ya What's App asione Picha zako 2. Kama ulimfollow . Mu unfollow chap chap alafu mblock 3. Kama ulikua na mchongo una. Fanya, utaona pole pole...
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawahi kubembelezwa na mpenzi wako uvue Kondomu katikati ya tendo lakini ukaendelea na msimamo wa kutokuvua ?

    Heshima kwenu wakubwa na wadogo Katika ulimwengu wa sita kwa sita binadamu huwa tunakua wadhaifu sana na inafikia wakati kutokana na raha ya tendo unaweza muhaidi mpenzi wako kwamba utampatia vitu flani ambavyo kiuhalisia wala huna uwezo navyo na yote hii husababishwa na zile raha tuzipatazo...
  10. Nyankurungu2020

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako kukataa kukupa penzi kwa madai anaumwa kiuno, hakuna dalili ya kupigiwa?

    Hawa viumbe wanamajaribu sana. Mtu anajua kabisa huna mahala pa kupiga mzigo zaidi yake. Unamuita kwa geto ili upige shoo. Anakuja na anadai hawezi kukupa tena anadai kiuno ndio kipo hoi. Huyu mtu kweli ni muaminifu? Hicho kiuno kuumwa kinaumwa bila shoo ya pembeni?
  11. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huwa unatumia mbinu gani kumuacha mpenzi wako ambaye umemchoka bila kumtamkia kwamba humtaki?

    Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano. Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine hupunguza tu mawasiliano mpaka mahusiano yanakufa kabisa. Binafsi ninapotaka kuachana na mwanamke...
  12. kilamba lamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unamchukuliaje mpenzi wako ambaye anakujibu "shida yangu haikuhusu"

    Nawasalimu wana Jambi. Natumai mu wazima. Aiiisee! Nimekaa hapa kuna jambo kidogo limenipandisha hasira. Iko hivi , nimempigia manzi kwa kutegemea muda huu atakuwa home . lakini katika kumuuliza akaniambia ametoka kidogo . Ikabidi nimuulize , umeenda kufanya nini huko ulipoenda . Akanijibu kuna...
  13. frenderPH

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna gani ulitenganishwa na mpenzi wako wa utotoni?

    Wadau wangu wa JF natumaini mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku ya kujitaftia mfumo wa mkono kwenda kinywani kama kawaida mixer maVibe ya mechi ya leo Simba na Yanga sipati picha hahaha Anyway Pia nipende kuwapa pongezi mabinti wote wazuri watakao pitia uzi huu coz nyie ndio chachu ya...
  14. Brigadier Isaac

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, umewahi kufanyiwa visa kisa kumkatalia mtu kuwa mpenzi wako?

    Habari wa JF members. Leo nilikuwa nimekutana na rafiki yangu niliyewai soma naye shule moja hivi ambayo baadae nikaja kuhama tulikua tukielekezana habari za baada kutengana muda mrefu, baadaye mazungumzo yakahamia ishu moja kipindi nasoma iyo shule kabla sijahama ishu yenyewe ilikuwa inahusu...
  15. kilamba lamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano ya mpenzi wako na EX wake?

    Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya kuwa na wewe. Na hii ni kwa wote, wanaume na wanawake? Ukweli wako kwa upande wako ni muhumi hapa.
  16. Ethan Cruz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ishara 9 za kutambua kama mpenzi wako anaku-control

    #1 Wakati wowote mnapokosana, ni wewe ndiye unayelaumiwa. Ukiwa na huyu mwanamke na kila wakati mkiwa mnagombana, mwisho lazima uchukue lawama hata kama kosa ulilofanya si lako. Na utapata mwanamke huyu ataushikilia msimamo wake na atatumia mbinu zozote zile kuhakikisha kuwa lawama inakuangukia...
  17. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dunia iko kasi, zamani mnachati kwa meseji na mpenzi wako usiku kucha unasikia hisia mpaka rohoni

    Daaaahhh kuna vitu ukivikumbuka unaweza kulia. Dunia iko kasi sana. Enzi zetu mnachati na mpenzi wako kwa sms mpaka unahisi Mungu dunia aliiumba kwaajili yenu tu. Sasa hivi mkichati kidogo tu mnaombana vikojoleo, mkitumiana chatting inakata kwa siku hiyo mnasubiri siku nyingine. Mkichati siku...
  18. Bata batani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni maneno gani matamu unaweza kumwambia mpenzi wako yakamfanya asisimuke na kukupenda?

    Kwa wale wataalamu wa maneno Hebu tusaidiane ni maneno Gani ukimwambia mtoto wa kike au kiume akiwa kama mpenzi yakamfanya moyo wake usisimke na kukupenda zaidi. Kama unayo hebu tupia maneno matamu ya kumsisimuaa mpenzi wako kiasi kwamba akasisimka na kukupenda hatari.
  19. stritglow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi wako, au yeye alikuwa akikuita?

    Kwenye mapenzi kuna vionjo vingi, na moja ya vionjo hivyo ni kuitana pet names mbalimbali. Majina hayo yanaweza yakawa yale honey, dear, sweety, bae au yale ambao mmetungiana nyie wenyewe. So kama mada inavosema ni jina gani la utani ulikuwa ukimuita mpenzi/crush wako, au yeye alikuwa akikuita...
Back
Top Bottom