mpenzi wako

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. amshapopo

    JamiiForums Tanzania Huwa unakagua Simu ya Mpenzi wako? Nini kinakusukuma kufanya hivyo?

    Hata ya Lamomy hushiki?
  2. realMamy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

    Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri. Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo. Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika. Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee. Sasa Je...
  3. Chaka la wakubwa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaweza kuruhusu ex wako awe na mazoea ya ukaribu na mpenzi wako

    Bhana me niliachana na dada mmoja alikuwa mzinguaji sana yaani alizingua alikuwa amezoeana na masela zangu akaanza ushem shem si wakataka kummega akakubali nikamuacha. Sasa nkapata pisi moja hiyo nimeanza nayo mahusiano ex wangu akaanza kumzoea si wakawa marafiki ndo akaanza mazoea nae wakawa...
  4. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako sio ndugu yako

    Mwanaume kumbuka kwamba uyo Lusifa unaemuita mke, mchumba, baby n.k sio ndugu yako uyo, ni stranger tu ambae umekutana nae ukubwani akakubali kujiweka kwako kwa masilahi yake, ana uhuru wa kufanya maamuzi ya kukuacha bila kujali sacrifices zote ulizofanya kwa ajiri yake, na kama cheti cha ndoa...
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mahusiano ya rafiki wa mpenzi wako yanaweza haribu mahusiano yako?

    Ningependa kufahamu, je mahusiano ya rafiki wa mpenzi wako ni jinsi gani yanayoweza athiri mapenzi yako? Maana imekuwa ni changamoto sana, asilimia kubwa ya maisha ya mpenzi wangu yuko na rafiki yake kila sehemu. Sasa mapenzi ya rafiki yake ni yako moto hata mimi naona kbsa kweli yameiva, jamaa...
  6. Nyanda Banka

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namna ya kulinda mahusiano yako na mpenzi wako

    1. Hakikisha mpenzi wako hatilii shaka uaminifu wako. Kikwazo nambari moja kwa maisha ya mapenzi yenye afya ni mawazo ya ukafiri kuwa na wasiwasi na mpenzi wako 2. Maandalizi mazuri Kabla ya Mapenzi sio ajenda. Maisha ya mapenzi yenye afya huanza na maandalizi kati ya wawili Kwa kuvaa nguo...
  7. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unaishi vipi na mpenzi wako mwenye asili ya udokozi?

    Kuna huyu mpenzi wangu nashindwa kumuelewa, amekuwa na tabia ya udokozi udokozi wa hela. Yeye haombi, akiona kuna laki atanivizia nikiwa nimelewa, anachomoa kama arobaini hivi anakaa kimya; huku akijua labda mimi nimepoteza kumbu kumbu. Nikiuliza, mbona hapa hela imepungua; anasema labda...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Je, ni vizuri kumpa mpenzi wako mpya stori zako za nyuma za mahusiano yako?

    Asalam alyekum wakuu. Eti Kwa mfano umeachana na mchumba wako (kwa sababu yoyote ile) uliyekuwa unaishi naye na akaondoka akaenda mbali huko je kama utaendelea kuishi nyumba ile ile na ukapata mpenzi mpya. Je, ni busara kumuweka wazi mpenzi mpya juu ya previous relationship au kiume unatakiwa...
  9. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchumba, mpenzi au mke wako ali wahi kukusitiri dhidi ya fedheha gani iliyokuchochea kumpenda na kumthamini zaidi?

    Katika maisha kuna mambo mbalimbali tunapitia kama binadamu, mengine ya furaha lakini pia mengine ni ya huzuni na ya kutisha.... Hivi ulishawahi kujikuta katika hali, kitendo au mazingira ya fedheha na aibu sana, na haukua na namna ya kuepuka fedheha hiyo, mara ghafla mpenzi, mchumba au mke...
  10. Tlaatlaah

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nini kinakukera kwa mpenzi wako?

    Unampenda, unamuamini, unamkubali, unamjali na kumthamini n.k Kiufupi mnapendana sana na mko pamoja kitambo sasa.... Ila kuna jambo moja tu linakukera, linakufedhahesha sana, linakusononesha sana lakini kwasabu ya mapenzi ya dhati kwake unavumilia, na kulichukulia poa tu... Si unajua tena...
  11. Mbahili

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukio gani alilowahi kukupiga mpenzi wako ambayo hutoisahau?

    Mimi stori iko hivi, Mnamo mwaka 2020 nilianza kuwa na mahusiano na binti mmoja(mcha Mungu sana). Alikuwa anasoma chuo fulani jijini Arusha, nakumbuka hicho kipindi nilifanikiwa kupata tempo mahala fulani( si unajua hela za tempo) so, ikabidi niwe natumia muda mwingi kutembea wakati wa kurudi...
  12. covid 19

    JamiiForums Tanzania Utani gani umewahi kumtania mpenzi wako ikawa ndio sababu ya yeye kukuacha au kusababisha ugomvi mkubwa.

    Mimi nilimwambia aache ubishi maana kwao wanatabia za ubishi isee kiliumana sana..akanitukana eti nina mb*** kama filimbi. Isee nilikiamshaa alivyoondoka nikamblock kabisa.. Wewe ilikuwaje kwako!
  13. MFALME WETU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi. kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
  14. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye

    Utachukua hatua gani wazazi wako wakimkataa mpenzi wako ambaye unataka umuoe au kuolewa naye Twende kazi wadau na maoni yenu
  15. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Part Two: Movies za kutazama na mpenzi wako. Usitazame na watoto

    Usije sema hukuambiwa. Kama kawaida huku ni nyama nyingi, ugali kidogo. 1. SECRETARY Baada ya kutoka hospitali ya magonjwa ya akili kwasababu ya tabia ya kujidhuru mwenyewe, sasa bibie Lee anataka kuyaishi maisha kama mtu wa kawaida. Anautafuta ujuzi wa uchapaji (typing) kisha anaomba kazi ya...
  16. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Filamu hizi tazama na mpenzi wako, usitazame na watoto

    Usiseme hukuambiwa. Huku ugali mdogo, nyama nyingi. Story kiduchu, shughuli ya kutosha. Jikaze mwanetu. 1. NYMPHOMANIAC Bwana Seligman, mwanaume wa makamo anayeishi peke yakez anakutana na mwanamke aliyejilaza njiani akiwa hoi kwa kipigo. Mwanamke huyu anaitwa Joe na story yake hamna...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Onyo la Busara: Ukiwa na Mpenzi wako au mume au mke popote pale usivimbe au kujisifia na ukadharau watu. Ulipo tupo ulipo wapo

    Shalom, Katika maisha enenda kwa namna njema na ipasayo hasa katika mtazamo wa kibinadamu na katika Mungu, heshimu watu, salimia watu usivimbe na usijione una mpenzi mzuri na uko level za juu. Kisa kiko hivi nina jirani yangu dogo mmoja hivi ni Mhaya(Ishomile) kama kawaida mimi mama yangu ni...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Man beaten into comma for stabbing lover downtown Kampala

    Security operatives evacuate an injured man, only identified as Robert Oyot, after he was attacked by a mob for allegedly stabbing his lover at Mini Price shopping centre, downtown Kampala on April 18, 2024. The woman was the first to be evacuated by a military patrol truck to hospital with a...
  19. Zero Competition

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wako akikukosea jitahidi usiwe wa kwanza kumtafuta ili kulinda heshima yako

    Wawili mnapokua kwenye mahusiano ya kimapenzi suala la kugombana ni kitu cha kawaida na mkiona mna zaidi ta miaka miwili au mitatu hamjawahi hata kugombana basi ujue kuna tatizo katika mahusiano yenu. Inawezekana kwakua unampenda sana mwenzako inafikia wakati hata mkigombana kwa kosa...
  20. Mjanja M1

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu ya kutokuwa na hisia kwa mpenzi wako

    Hauna hisia nae kwasababu una tamaa na una hulka ya kimalaya. Jitu lenye tamaa ambalo lishakutana na wanawake wengi au wanaume wengi haliwezi kuwa na hisia kamwe zaidi ya kutamani na kutamani tena. UZI TAYARI.
Back
Top Bottom