mpango

  1. JamiiForums Tanzania Video: Dkt. Mpango arejea ofisini, apokelewa kwa bashasha

    Utukufu wa Mungu ni wa ajabu sana!
  2. JamiiForums Tanzania Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali ili kuboresha afya za Watanzania

    Bodi ya maziwa yazindua mpango wa unywaji maziwa kwa wanafunzi na watumishi wa serikali nchini. Wizara ya mifugo na Uvuvi kupitia Bodi ya Maziwa Tanzania, imeanza utekelezaji wa mpango wa unywaji wa maziwa kwa wanafunzi wa shule za msingi sanjari na ofisi za serikali ukiwa na malengo kuboresha...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Kutokomeza umaskini ni matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa

    Mafanikio ya China ya kupata "ushindi kamili" kwenye vita vyake vya kutokomeza umasikini uliokithiri kunatajwa na wasomi wengi kama matokeo ya mpango kabambe, utawala bora na nia njema ya kisiasa nchini humo. Dk. Beatrice Matiri-Maisori ambaye ni mshauri wa maswala ya uchumi na diplomasia kati...
  4. JamiiForums Tanzania Machozi ya Dkt. Mpango yasiende bure

    Kwanza naomba nianze kwa kumpa pole Dkt. Philip Mpango kwa kupambania afya yake kwa hizo wiki 2. Mungu amjalie apone kabisa mapema ili aweze kujumuika na familia yake. Tukirudi kwenye mada, kwanza kama hujaitazama ile interview nenda youtube ukaitazame ndipo urudi hapa kuendelea kusoma. Kama...
  5. JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Narudi kuchapa kazi, Mungu amenivusha. Leo siku ya 3 sijatumia mtungi wa Oxygen

    Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini na kazi ndogondogo nimekwishaanza za kulitumikia Taifa. Watanzania tuendelee kumwomba Mungu kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugulile: Kama hauna uhakika na taarifa usipost, usiretweet, ku-like wala kukomenti

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewatahadharisha wanaochapisha taarifa wasizokuwa na uhakika nazo. Kuanzia jumatatu, Februari 21, Ndugulile amesema wataanza kuwachezesha wote wanaotoa taarifa potofu na wanaofanya utapeli. Amesema kama hauna uhakika na...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Dkt. Philip Mpango: Mimi ni mzima, walionizushia kifo nimewasamehe

    Katika kuuaga mwili wa Balozi John Kijazi Karemjee, Rais Magufuli amesoma hadharani ujumbe mfupi wa simu aliyotumiwa na Waziri Mpango akimjulisha Rais juu ya Afya yake. Nukuu ''Mheshimiwa Rais asante nimepata ujumbe wako kupitia kwa mke wangu, kwa Neema ya Mungu naendelea vizuri, nakula na...
  8. JamiiForums Tanzania Tusaidie Serikali kubuni na kutoa mapendekezo mapya ya Kodi ili kuimarisha mpango wa kujitegemea

    Nilizaliwa Tanzania na nitakufa na kuzikwa Tanzania. Watanzania wengi sana tunapenda vitu vizuri, lakini kanuni ya vitu vizuri ni Lazima uumie Kwanza wakati unaelekea vitu vizuri, hii ndiyo kanuni ya maisha. Katika nchi yetu kumekuwepo na kauli mbiu ya Tanzania Lazima tujitegemee. Ni Jambo...
  9. JamiiForums Tanzania Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa: Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Wenye ubunifu wanakosa kufanya maamuzi, michango yao inaishia chini

    Sikiliza Video fupi ya Mchango wa Mbunge wa Jimbo la Igunga kwenye kuchangia Mpango wa Maendeleo wa Taifa Bungeni ======= Akizungumzia suala la Ushirikishwaji katika Utumishi Umma, Mbunge wa Igunga, Nicholaus Ngassa amesema: "Kuna changamoto kwenye Utumishi wa Umma. Tuna Sheria ya Utumishi wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

    Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA. Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake...
  11. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali na mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2021/22: Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Sh. trilioni 36.26

    SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88. Maeneo ya kipaumbele mwaka huu ni kuchochea uchumi shindani na shirikishi, kuimarisha uwezo wa uzalishaji...
  12. JamiiForums Tanzania Msimamo wa Rais Dkt Magufuli dhidi ya ugonjwa wa Corona ndio ulikuwa mpango wa Mungu kwa Afrika

    MSIMAMO WA RAIS DKT MAGUFULI DHIDI YA UGONJWA WA CORONA NDIO ULIKUWA MPANGO WA MUNGU KWA AFRIKA. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo nitazungumza mambo makubwa ambayo yatapambwa na ushahidi wa kiimani. Hivyo kwa wasomaji wangu ili uweze kunielewa juu ya makala hii utahitaji utulivu mkubwa wa...
  13. JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Nitaheshimu ukomo wa miaka 10 ya Urais kulingana na Katiba ya Tanzania

    Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi. Hii kauli imemaliza...
  14. JamiiForums Tanzania Kama Kifo ni mpango wa Mungu basi Mungu wenu atakuwa katili sana, mnawezaje kuwa nae?

    Mnaounga mkono huyo askofu kwanini mnamwabudu huyo mungu? Mungu wangu mimi ni tofauti na huyo, Mungu wangu ni mwingi wa upendo, Rehema na asie na hasira mdio maana hahusiki na vifo
  15. JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mpango anapaswa kujibu swali la Hawa Mchafu kwa vitendo

    Nimekutana na clip ya sessions za bunge kuhusu swali tata lakini genuine la Hawa Mchafu ambalo limehoji very specific kwa nini fedha za dawa na fedha za deni la MSD hazijapelekwa kulipia dawa. Swali hilo limejibiwa na Waziri wa afya ingawa majibu hayajajotosheleza sababu kubwa ya majibu...
  16. JamiiForums Tanzania Tanzania yasema haina mpango kupokea chanjo za Covid19

    Serikali kupitia Wizara ya afya imesema kuwa haina mpango wa kupokea chanjo ya Covid19 ambayo imekuwa ikiripotiwa kuwepo na kutumika katika mataifa mengine. Hayo yamesemwa leo Jumatatu Februari Mosi, 2021 na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Doroth Gwajima wakati...
  17. JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa mpango wa Mungu Afrika kutawaliwa ili tupate Injili au kujua dini?

    Nimekuwa nikijiuliza hilo swali apo juu mara kadhaa kama tusingetawaliwa kuanzia waarabu mpka mkoloni mzungu inamaanisha hizi dini zisingekuepo.Je,hayo yalitokea kama mapenzi ya Mungu?
  18. JamiiForums Tanzania Dkt. Mpango awataka watumishi fedha kujihadhari na Corona

    Waziri wa Fedha na Mipango Dk Philip Mpango, amewataka watumishi wa wizara hiyo kuchukua tahadhari zote kuhusu ugonjwa wa corona, licha ya kukiri kuwa Tanzania haina maambukizi ya virusi hivyo kwa sasa. Dk Mpango alitoa kauli hiyo jana wakati akifungua mkutano wa baraza la wafanyakazi wa Wizara...
  19. JamiiForums Tanzania TBC fanyeni mpango makala za Denis Mpagaze zisikike kwenu

    Habari zenu wana jamvi, Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye mada iliyo nileta hapa. Ni kwa muda sasa nimekuwa nikifwatilia makala zinazoandaliwa na huyu kijana wa kitanzania bwana Denis Mpagaze. Makala hizi kwa wale tuliowahi zitegea sikio, hapana shaka mtakubaliana na mimi kuwa ni...
  20. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Apple ina mpango wa kuanza kuunda autonomous electric vehicles (A-EVs) na kuwa barabarani 2027

    Kampuni ya Apple ina mpango wa kuingia ubia na Kampuni ya Hyundai ya South Korea. Kuanza kutengeneza magari ya umeme yanayojiendesha bila dereva. Lakini Apple pia bado ipo kwenye mazungumzo na makampuni mengine ya magari jinsi inaweza kuingia ubia nao! Hii ni big blow kwa kampuni kubwa ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…