mpango

  1. S

    Nina mpango wa kufungua shule ya chekechea na Primary. Naombeni mawazo tafadhali

    Ndugu zangu, nimepata mawazo ya kufungua shule ya chekechea maeneo ya kiluvya, tuna eneo mimi na mkwe wangu la heka tisa. Tunataka kuanza na chekechea, baadaye tuongeze hadi primary baada ya kuisoma biashara na mwenendo wake. Naomba mwenye uzoefu na biashara hii atuambie changa moto zake...
  2. Tanzania, siding with UAE firm, plans to evict Maasai from ancestral lands

    By Laurel Sutherland on 18 February 2022 - In northern Tanzania, more than 70,000 Indigenous Maasai residents are once again facing eviction from ancestral lands as the government reveals plans to lease the land to a UAE-based company to create a wildlife corridor for trophy hunting and elite...
  3. Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango azindua sera ya Taifa ya Mazingira ya mwaka 2021

    MHE. DR PHILIP MPANGO, MAKAMU WA RAIS WA JMT KATIKA UZINDUZI WA SERA YA TAIFA YA MAZINGIRA YA MWAKA 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri Ya Muungano wa Tanzania Mhe .Dkt. Philip Mpango Ashiriki katika uzinduzi wa Sera ya Taifa ya Mazingira ya Mwaka 2021 iliyozinduliwa leo 12 Februari, 2022 Jijini...
  4. B

    Nimevutiwa na mpango wa CHADEMA wakukusanya rasilimali na kuboresha makazi ya akina Lingwenya, Azory na wengine wanaougulia machungu

    Nimefanikiwa kukutana kijiweni na baadhi ya viongozi wa Bavicha wakiwa Mwanza nakujadiliana nao kuhusu mikakati Yao ya muda mfupi katika eneo la kusaidia jamiii wakasema wanalo wazo soon litamature na Kuanza utejelezaji. Mawazo Yao yamejikita kufanya haya Kwa jamiii 1. Familia ya Azory GWANDA...
  5. N

    Ni kweli Luteni Urio alitoa taarifa ya tukio au baada ya kushtukiwa mpango wake akawageuka?

    Kuna kila dalili Luteni Urio alikuwa na mpango wa kula hela za Mbowe kupitia wale vijana na wakati huo huo alikuwa na matarajio kuwa CHADEMA ingeshinda angepata ukubwa Jeshini. Hilo lina asilimia kubwa ya ukweli. Luteni Urio baada ya kuona mambo yamebadilika aliamua kugeuka ingawa inavyosemwa...
  6. Anayepanga ratiba za shughuli Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni nani?

    Habarini wazalendo wenzangu. Napata ukakasi sana juu ya kuelewa aina ya ziara anazofanya makamu wetu wa Rais, mbona ni kama haonekani kabisa kwenye ramani kwa anachokifanya? Suala la pili ni hizi ratiba za kila siku kushinda Kigoma huyu mzee kila akionekana kwenye ramani, ina maana yeye ni...
  7. M

    Pamoja na kujitutumua kwa nguvu zote. Watanzania Bara hawana mpango na Act Wazalendo na walishaitoa mioyoni kabisa

    Kinaonekana kama chama cha kikanda kilichojaa udini na ukanda ambacho kilipata sapoti za wazanzibari sababu ya marehemu Maalim Seif. Ni chama ambacho ni mamluki ya chama tawala cha Ccm hivyo kipo hapo kama geresha tu kuwa kuna upinzani hapa Tanzania huku kikififisha nia thabiti ya kuwakomboa...
  8. U

    TANZIA Makamu wa Rais Mstaafu Dkt. Gharibu Bilali afiwa na Mamake Mzazi

    Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Philip Mpango amemtembelea kumpa Pole Credit Bilali aliyempoteza Mamake Mzazi Marehemu Safia Abeid Mama Mzazi wa Dkt Mohamed Gharibu Bilali alifariki Januari 3 na kuzikwa Januari 4 Unguja
  9. Je, Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango ni Msaliti wa kupambana na Covid-19 au hujuma?

    Dunia nzima, Viongozi wanakuwa ni mfano wa kupambana na Corona, lakini baadhi ya Viongozi wa Tanzania wanaonesha kujali akiwepo Rais Samia Rais, Samia watendaji wako watatuua kwa Corona hadi tuishe. Watatumaliza. Wao sawa wanatibiwa bure, sisi bibi na babu zetu Mkishawaambukiza nani...
  10. TANZIA Askofu Gerald Mpango ambaye ni kaka wa Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango afariki dunia

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango amefiwa na kaka yake Askofu Mstaafu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Gerald Mpango. Askofu Gerald Mpango amefariki tarehe 19 Januari 2022 Jijini Dar es salaam alikokuwa akipatiwa matibabu. Makamu wa Rais Dk Philip Mpango...
  11. Kwanini Dkt. Philip Mpango ni Roman Catholic halafu kaka yake Askofu Gerald Mpango alikuwa Anglican?

    Nauliza hii imekaaje watoto wa baba mmoja ila wamekuwa na imani tofauti japo wote Wakristu? Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango akiwa na Kaka yake, Marehemu Askofu Gerald Mpango
  12. Endapo itathibitishwa Kuungua soko la Kariakoo na sasa Karume ni mpango, wanaopanga mipango hii ni Magaidi?

    Tuendelee kutiririka, huku tukijikumbusha kesi ya ugaidi inayomkabili mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe.
  13. Pesa ndiyo mpango wa maisha, ukiwa na pesa unaweza kumudu kuwa single

  14. Kujiuzulu kwa Ndugai ni mpango wa Mungu kwa Tanzania ili tupate Spika Bora. CCM itateua Spika Bora au Bora Spika kama kawa?

    Wanabodi, Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo. Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
  15. Makamu wa Rais Dkt. Mpango: Kuna Mawaziri wana tuhuma za Uchawi

    "Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo "Nawaomba tu kuanzia sasa zile...
  16. B

    Dr Philip Isdor Mpango, attends The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC)

    COMMUNIQUÉ OF THE EXTRAORDINARY SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT OF THE SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY (SADC) 1. The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC), hereafter called Summit, was held in Lilongwe...
  17. M

    Jenista Mhagama katumwa kuharibu mpango wa kuongeza mishahara?

    Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
  18. Kwa ninavyomfahamu Ndugai, ipo siku atalipa kisasi

    Mgogo wangu yule huwaga hana uvumilivu kabisa na nililonalo hakika ipo siku atabomoka tu. Muda utaongea.
  19. R

    Malumbano Spika Ndugai vs Raia Samia ni mpango mkakati, Watanzania msizuzuke

    Habar wadau Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala...
  20. Shiboub amekuja tu Kutalii Mapinduzi Cup ila Simba SC hatuna mpango wa Kumsajili..Kasema Boss Try Again

    Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa. "Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…