Wanabodi,
Hii ni Nipashe ya Jumapili ya leo.
Siku zote, nabii huwa hakubaliki nyumbani, lakini sote tunakubali kuwa Mungu siku zote huwa anazungumza na watu wake, kupitia manabii, na nabii anaweza kuwa mtu yoyote hata usiyemtegemea. Japo mimi sii miongoni mwa manabii hawa wa Mungu, lakini...
"Natambua kuwa Binadamu tuna Kasoro zetu na hakuna aliyekamilika 100% ila jitahidi sana Kuishi Kimaadili na kutunza Kutunza Siri za Serikali na Heshimuni Taasisi hii ya Rais hata kama hamumpendi aliyeko" Rais Samia Suluhu Hassan
Chanzo: Gazeti la Nipashe la Leo
"Nawaomba tu kuanzia sasa zile...
COMMUNIQUÉ OF THE EXTRAORDINARY SUMMIT OF HEADS OF STATE AND GOVERNMENT OF THE SOUTHERN AFRICAN DEVELOPMENT COMMUNITY (SADC)
1. The Extraordinary Summit of the Heads of State and Government of the Southern African Development Community (SADC), hereafter called Summit, was held in Lilongwe...
Huyo ndo bingwa wa kutetea serikali ikitaka kukandamiza haki za watu!! Sasa kapelekwa Utumishi kuandaa njia ya Rais siku ya May 1 kutamka rasmi kwamba watumishi mumsamehe hali ya uchumi ni mbaya hivyo muendelee kuvumilia
Habar wadau
Nitaandika machache tu unajua sisi watanzania tunaishi kwa propaganda na kufuata mkumbo nje ya uhalisia sisi ni kama tupo tupo tu ila samahani nini sisi hatuna effects yoyote huko juu na watawala wanalijiua hilo si uchaguz si maamuz si uteuzi si siasa sio mikopo sio barabara wala...
Ningewashangaa sana Simba SC kama kweli wangemsajili Shiboub kwani ameshaishiwa Uwezo na wapo Wachezaji wa Kumzidi Kikosini kwa sasa.
"Hii Michuano ya Mapinduzi Cup ni kama tu Bonanza na kwa Uhusiano wetu mzuri na Shiboub alituomba tu Simba SC aje Kutalii na Kuwasalimia Wachezaji wenzake...
Kwa mujibu wa Takwimu zinazotolewa Sasa na makada, Mawaziri waliopita na watu tofauti Magufuli ndio Raisi aliyekopa fedha nyingi kuliko Rais yoyote Tanzania ingawa kaongoza muda mfupi. Je, fedha zake alifanyia Nini? Takwimu hazidanganyi.
Inasemekana alikopa trilion 29 kwa fedha hizo zilitosha...
Leo nimefanya mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein ambae amenitembelea katika makazi yangu Osterbay Jijini Dar es Salaam.
So nimekuwa nikifollow up case ya Mbowe kupitia Twitter. Nasoma ushahidi uliotolewa hadi sasa.
Ninaona kuna element za kwamba Mbowe alikuwa anapanga mipango kadhaa ya kisiasa. Mfano kuna witness mmoja aliyekuwa mpiga picha wa Sabaya, alieleza jinsi Mbowe alivyomtafuta ili ajue moves za Sabaya...
Kama Mtanzania mpenda Viongozi wangu na Utendaji wao mzuri naomba Kujulishwa yuko wapi Makamu wangu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania?
Nikimwona Uwanja wa Uhuru Keshokutwa (Alhamisi) katika Siku ya Uhuru wetu GENTAMYCINE nitakuwa ni mwenye Furaha na nitajitahidi 'nipenyepenye' mpaka...
Ndio hivyo tena, December imeshaingia.
Unamipango gani? wenda ika match na ya wadau humu.
Mimi bado nawaza sijajua nipange nini, kwasababu hayapangiki.
Ila nasikia WAVE nyingine inakuja/Imefika. Sasa December itakuwaje?
Poa. Fresh Basi.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameendelea kutoa wito kwa wawekezaji kuja kuwekeza nchini kwa sababu Tanzania ina ardhi, barabara na umeme wa kutosha.
Aidha, Waziri Majaliwa pia ameiagiza Wizara ya Viwanda na Biashara kuendelea na utaratibu wa kukutana na wizara au taasisi za serikali na binafsi...
16 November 2021
Singapore
Naibu waziri mkuu Mh. Heng Swee Keat akiwa na Dr Philip Mpango makamu wa rais wa Tanzania.(Picha kwa hisani ya wizara ya TEHAMA Singapore).
Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Philip Mpango yupo nchini Singapore kuhudhuria mkutano wa kimataifa wa Jukwaa la Majadiliano ya...
Ukilala ukiamka, ukafuatilia uteuzi, utendaji na miradi mkakati iliyoanzishwa na serikali ya awamu ya tano, utaona wazi viongozi niliowataja walikuwa wanasali na kuomba JPM atakufa lini ili wafanye yakao.
Ila hawakumbuki kuwa wanaongoza wananchi 60m ambao hawajawahi kuwaomba kura wala...
Makamu wa Rais Dkt. @dr_philip_isdor_mpango leo 🗓Nov 14,2021 anatarajia kuondoka Nchini kuelekea Sentosa Island Nchini 🇸🇬Singapore kushiriki mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ), Wenye lengo la kujadili masuala mbalimbali ikiwemo muelekeo mpya wa...
Kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kuhusu ukosefu wa ajira hapa nchini kwa makundi yote yaaani wenye elimu za juu, kati na hata chini ,lakini serikali za awamu zote zijaona kama zimekuja na mpango mkakati juu ya ili kundi ili kulinusuru maana hatua ya sasa hali imekuwa ni mbaya kuliko...
Ni takribani miezi 3 kupita baada ya Uingereza na kenya kukubaliana mpango wa kuwa ajiri wahudumu wa afya (nurses) kutoka Kenya, Leo hii Nov 12, 2021 serikali ya uingereza imetangaza kusitisha mpango huo na kisha kuhoji uhaba wa nurses ktk vituo vya afya vya kenya, ikisema Kenya inahitaji...
Kutokana na shauku kubwa ya maendeleo niliyo nayo na ukizingatia kuwa nchi yetu ina kila mazingira ya kutufanya uchumi wa nchi yetu ukuwe kuliko mataifa mengi, ndipo najiuliza hiki chama tulichokipa dhamana kituongoze kina mpango wowote kutupeleka huko!?
Au mpango wao ni kupambana na wapinzani...
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?
Tizama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.