mpango

  1. Dr Akili

    Mwaka jana Serikali ilitangaza kuanza kununua mafuta moja kwa moja toka kwa wazalishaji. Mpango huu umefia wapi na kwanini?

    Tarehe 31 October 2021, waziri wa Nishati, January Makamba akiwa Arusha alitangaza serikali kuanza kununua mafuta ya petroli na dizeli moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji wa nchi rafiki, kupitia Shirika la Taifa la Mafuta (TPDC),ili kuondokana na changamoto za gharama kubwa za wanunuzi wa kati...
  2. P

    Mama SSH yuko madarakani kwa mpango wa Mungu kama ilivyokuwa kwa Ester wa Biblia.

    Wapendwa nawasalimu kwa jina la Jamhuri, kazi iendelee Binafsi nimekuwa nawaza sana kuhusu utawala wa huyu Mama yetu SSH namna anavyopiga makasia kuirudisha Tz ktk utawala wa kisheria, haki na usawa tofauti na mtangulizi wake. Wote tunatambua kuwa mtangulizi wake (mwendazake) alikuwa...
  3. BestOfMyKind

    Makamu wa Rais Dkt. Mpango ndio anafaa kuwa Rais hasa kipindi hiki cha uchumi legevu

    Mungu atusaidie, Huyu mpemba mwenzangu tumepigwa. Halieleweki analo ongea. Haeleweki anakokwenda. Anakotupeleka ndio giza gizaaaa. Bora mmanyema ameshafanya kazi benki ya dunia anajua uchumi wa dunia ukoje.
  4. L

    Nina mpango wa kuoa mwishoni mwa mwaka huu ila...

    Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na nikimsemesha tunaongea vizuri. Mawazo yanaenda kubadilika kabisa hawa wadada sijui walikua wapi...
  5. BigTall

    Makamu wa Rais Mpango amwambia Balozi Polepole kuwa na nidhamu ya matumizi ya fedha

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Phillip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi anayekwenda kuiwakilisha Tanzania Nchini Malawi Mheshimiwa Balozi Humphrey Polepole. Mazungumzo hayo yamefanyika Ofisini kwa Makamu wa Rais mkoani Dodoma. Makamu wa Rais amempongeza...
  6. mgt software

    Hayati Magufuli alikuwa na maono juu ya mpango wa Magereza kuwa na shughuli za uzalishaji. DPP ndiye kikwazo

    Wana JF Nimefuatilia sana maono ya aliyekuwa Rais wa awamu ya tano mawazo ya magereza kuwa na shughuli za kilimo , viwanda na ufugaji. Hayati Magufuri aliyasema hayo wakati magereza wakitaka kuongezewa chakula na fedha za kujikimu wakati wafungwa wapo bure wanasaga fedha za serikali. Kwanini...
  7. B

    Kwanini baadhi ya wana CCM wanaamini Watanzania wanotaka Katiba Mpya Sasa wanapaswa kukamatwa na kuchukuliwa hatua Kali za kisheria?

    Wana CCM wengi wanaungana na Mhe. Rais kwamba Katiba Mpya inapswa kusubiri Hadi baada ya uchaguzi 2025. Wengi wanaamini mtu anayesema Katiba Mpya ni Sasa ni SAWA na wahalifu wanaopaswa kufungwa jela au kufanywa chochote kibaya. Baadhi ya waumini wa msimamo huu ni viongozi wakuu na hivyo...
  8. M

    Mbowe amewasaliti watanzania, hana nia na mpango wa kuig'oa CCM madarakani, anazuga mitaani akiokoteza vijisenti vya kujaza matumbo yake

    Aliachiwa na Mama Samia kwa mkataba maalumu. Eti wajenge nchi. Sasa mtu makini utajenge nchi na hii CCM? Sasa hivi hasikiki kama ana mpango wa kuhakiaha CCM inag'oka madarakani. Kumbe jela ni njia ya kunyamazisha watu.
  9. JanguKamaJangu

    Uingereza yakosolewa mpango wa kuhamishia wakimbizi Rwanda

    Serikali ya Uingereza imekosolewa maamuzi yake ya kutaka kuwahamisha wakimbizi kutoka nchini humo na kuwapelekea Rwanda ikioneana ni kama inafanya biashara ya kuuza watu. Uingereza imeingia makubaliano na Rwanda kuhusu maamuzi hayo ambapo safari hiyo ya kilometa 6,000km itawahusu wote...
  10. John Haramba

    Urusi yazipa onyo Finland na Sweden mpango wao wa kujiunga na NATO

    Urusi imetoa onyo kwa Finland na Sweden kuhusu mpango wao wa kujiunga na Nato, wakiamini kuwa mpango huo hakuwezi kuleta utulivu Ulaya. Msemaji wa Kremlin, Dmitry Peskov amesema muungano huo unabaki kuwa kama 'chombo kinacholenga makabiliano'. Marekani inaamini nchi hizo zinaweza kuomba...
  11. R

    Ukweli Usemwe: Mtu ambaye anaiba uchaguzi anaweza kuwa na maono/ mpango wa maendeleo wa muda mrefu?

    Kuna vitu vinashangaza sana ktk hii dunia. Kuna watu wanasikika wakisema Nchi haina maono na haina mipango ya maendeleo ya muda mrefu. Nchi iliyojaa wala rushwa, wabadhilifu, wasioheshimu viapo vyao, wakanyaga katiba ya nchi na wafujaji wa mali za umma wanawezaje kuwa pioneers wa maendeleo...
  12. Suzy Elias

    Join the chain ya Chadema ni zaidi ya mpango mkakati hongereni sana!

    Wapo wajinga wanaoamini join the chain ya Chadema ni jambo la kijinga na kupuuzwa. Ukweli ni kwamba join the chain ni zaidi ya mpango kazi na ni suala la muda tu tija ya jambo hilo itaonekana wazi. Faida kubwa ya join the chain ni kukiweka Chadema karibu/jirani na watu jambo ambalo ni zaidi ya...
  13. lee Vladimir cleef

    Biden hakukosea ndio mpango uliokuwepo, ila ametoa Siri kizembe. USA walimshindwa Castro, watamuweza Putin?

    Kwa kifupi Biden hajaropoka TU,Bali amejikuta akitoa Siri kwa kukosa kifua. Ni kama yule Rais alosema wanajeshi wakiwa vitani halafu akatokea msaliti wanajeshi humshughulikia.mda mfupi baadae Kuna mtu mmoja akamimimniwa vipande vya vyuma mwilini. Rais huyo alijikuta anakosa kifua na hatimae...
  14. funaku

    Lazima Tanzania iwe na mpango maalumu wa kutengeneza Silaha za kujilinda

    Bajeti ya kila mwaka inaputa tu lakini sijawahi kuona bajeti mahususi ya kuunda silaha zetu. Tanzania ina Uranium lakini sijasikia bajeti ya kuunda Silaha kali za nyuklia kwa ulinzi wetu. Je, tunaogopa walami? Hakuna siku walami wataturuhusu kuunda silaha kali za kivita bali sisi tunatakiwa...
  15. The Assassin

    Wanasayansi: Vidonge vya uzazi wa mpango kwa wanaume vina uhakika wa 99% kuzuia mimba

    Wanasayansi kutoka American Chemical Society huko nchini Marekani wamegundua ama wamefanikiwa kutengeneza dawa za uzazi wa mpango kwa wanaume ambazo zina uhakika 99% kuzuia mimba. Wanasayansi hao wanatarajia kuanza majaribio kwa binadamu mwezi June 2022 na wana matumaini kua hili litafanikiwa...
  16. Marco Polo

    NIDA wamenijibu kuwa hawana mpango wa kutoa vitambulisho vya Utaifa tena

    Hili suala la vitambulisho vya taifa limekuwa kero sana. Kuna watu wengi wamejiandikisha toka 2017 ila mpaka sasa hawana vitambulisho. Leo nimeenda kufuatilia kitambulisho changu nilichojiandikisha 2018 na hayo ndio majibu niliyopewa. Kuna kitu gani kipo NIDA? Mbona viongozi wako kimya huku...
  17. FRANCIS DA DON

    China ina mpango wa kuichukua Taiwan kama Urusi inavyotaka kuichukua Ukraine?

    Jana nilikuwa na mazungumzo na mchina mmoja juu ya mgogoro unaondelea baina ya Urusi na Yukrein. Kubwa kabisa nilimuuliza, ni kwanini uChina haitaki kumchukulia hatua kali Urusi ili kuonyesha kupinga anachokifanya Yukrein ambacho ni kitendo haramu cha uvamizi? Akajibu kwamba anachofanya Putin...
  18. Idugunde

    Rais Samia arejea Tanzania akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu kikazi

    Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
  19. John Haramba

    Waziri Mkuu auponda mpango wa kutumia viberenge kupanda Mlima Kilimanjaro

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka wadau wanaopendekeza matumizi ya viberenge katika kupanda Mlima Kilimanjaro kutathimini kwa kina mpango huo ambapo ameonyesha kutoridhia mikakati hiyo. "Nasikia mnataka kuweka kiberenge cha kupanda Mlima Kilimanjaro, mnataka kuua mlima? Mkiweka...
  20. Carlos The Jackal

    Serikali, Wizara ya Mambo ya Nje inawasaidiaje Watanzania walioko Ukraine?

    Wakati Mataifa ya watu US, Uingereza, Ujeruman, Israel yakiendelea kuwataka RAIA wake watoke Ukraine. Ni wazi pia kuna Watanzania walioko Nchini Ukraine kimakazi, kikazi, kimasomo n.k Mnawasaidiaje sasa, Hasa kwenye kipindi hiki cha mgogoro mkubwa ambao muda wowote Vita inaweza kutokea? Au...
Back
Top Bottom