Ati tujifunze Kwa Kiswahili masomo ya sekondari, icho Kiswahili chenyewe mnakijua? au mnataka kuzalisha kizazi cha lomolomo? Je, kwani tumesahau visa na Mikasa ya vijana wadogo maarufu kama panya road? Kwa idadi wapo wangapi au tunahitaji wangapi zaidi Ili kujua kua swala la ajira ni changamoto...