movies

  1. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Tukumbushane movies za zamani za Nyumbani

    Habari za Asubuhi movie lovers hope mmeamka Salama..back to the bussines,movie gani za zamani unazopenda au kukumbuka Sana?? Kiasi kwamba ukiiona tena unapatwa Na nostalgia??Mimi nitataje chache. 1:Kifo Haramu 2:Shamba Kubwa 3:Nsyuka 4:Gubu La wifi 5:Chiku na Kapili 6:Shumileta Nawe shusha zako
  2. M

    JamiiForums Tanzania King'amuzi gani kinaonesha Movies za MGM?

    Anayejua Kingamuzi gani naweza kununua nikaona zile Movie za zamani za MGM zenye Nembo ya Simba anijuze. Maana Nazielewa Sana. Najua humu kuna wataalamu hawashindwi kitu.
  3. Swahili Subtitler

    JamiiForums Tanzania Subtitles za Kiswahili kwa movies na series zote zinapatikana

    Kwema wakuu! Faida ya kuangalia Movie au Series ni kuelewa kiundani neno kwa neno na Story nzima. Kwa wale wapenda Movies na Series kutoka nje ya nchi ambazo hawatumii Kiswahili kama lugha mama, wanaelewa ugumu wa kushindwa kuelewa kinachoendelea kwenye Movie au Series husika sababu tu ya...
  4. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Movies 2022: Ipi kati ya hizi unategemea itawatendea mashabiki haki?

  5. S

    JamiiForums Tanzania Best movies 2021

    Kwa wale wapenzi wa movies naomba mdondoshe Movies Kali za mwaka huu iwe actions or horror ambazo kwako wew ndio best movies in 2021 🔥 Nataka nami nisibaki nyuma natamani kuzitazama 🤝
  6. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Quotes kali kutoka bongo movies

    Wakuu naomba tushirikishane quotes kali kutoka bongo movies.
  7. P

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Transcend External 2 TB 100,000 & 3 TB 200,000 used,mint condition

    Habari, Zipo external za transcend, used but in mint condition. 2TB kwa 100,000 FIXED 3TB kwa 200,000 FIXED Call 0712198128 Call 0712198128 Call 0712198128
  8. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania Kuuza na kukodisha movie: Biashara simple faida kubwa

    Habari wana jukwa hili tamu,moja kwa moja ngoja nienda kwenye point,kuna biashara ya LIBRARY YA KUINGIZA NYIMBO NA KUKODISHA CD ni biashara inayoonekana ya kawaida sana,ila ni biashara yenye pesa nyingi tu,ninaposema pesa nyingi nina maana faida kibao,isiyo na presha ya mtaji kukata,mara bidhaa...
  9. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Music na Movies. Wireless earbuds za bei rafiki zinazokaa na charge muda mrefu

    Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe. Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana...
  10. rr4

    JamiiForums Tanzania FinanceBuzz will pay an individual $1,300 to watch 13 scary movies in October

    #Repost CNN @download.ins --- FinanceBuzz will pay an individual $1,300 to watch 13 scary movies in October, in an effort to find out whether the size of a movie's budget impacts its scariness. They will monitor the person's heart rate during the films using Fitbit, the company said.⁠ ⁠ The...
  11. my name is my name

    JamiiForums Tanzania Hivi wazungu hawawezi kutengeneza movies/ series bila gay scenes?

    Movies zao karibia zote lazima ziwe na characters ambao ni gays. Nlikuwa nangalia Bridgerton, nmeangalia mpk episode ya 3 sijaona scenes zenye hyo mambo mpk nkajisemea wamejtahidi kweli 😂 Hee kufika episode ya 4 wameonyesha gays km kawaida yao. Halafu scene yenyewe ina km sekunde 5 tu hta...
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima Kaathiriwa na Filamu za Hollywood "Fiction movies" Pamoja na Mambo dhahania

    GWAJIMA AMEATHIRIWA NA FILAMU ZA HOLLYWOOD "FICTION MOVIES" PAMOJA NA MAMBO DHAHANIA. Na, Robert Heriel. Gwajima anaonekana ni muumini mkubwa wa filamu za kimarekani "Hollywood", hasa zile fiction movies, adventure movies na Horror movies. Ukimsikiliza Kwa umakini mkubwa Ndugu Gwajima...
  13. Living Pablo

    JamiiForums Tanzania Naombeni orodha ya movies za kihalifu

    Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomben mnitajie list ya movie kali za kihalifu au kihuni kama hizi nlizowah kuziona mimi. -Living Pablo -Narcos season -El Mariachi Mostly zinakuwa za South America hasa Mexico na Colombia.
  14. Darucha

    JamiiForums Tanzania Wanyaturu wamemkosea nini huyu DJ anayetafsiri filamu na series za nje? Haoni kama anatengeneza chuki ya ukabila?

    Huyu DJ mtafsiri wa movies na series za nje anawaponda sana Wanyaturu sijui wamemkosea Nini kwa kweli anaudhi sana huyu. Kila kitu yeye ni Wanyaturu, Wanyaturu mpaka Kero yaaani. Wanyaturu kamshtakini huyu kwa kuwafanya muonekane watu wa Karne ya 20. Hizi ni baadhi ya kauli zake anazozitoa...
  15. Lee

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Best Turkish series & movies

    Wapenzi wa series za Uturuki nikiwa mmoja wapo, japo kuangalia kwa subtitles ni changamoto ila kwenye story wanajitahidi hasa kwenye visa kuanzia vya mapenzi, missions n.k Zifuatazo ni baadhi ambazo nimezielewa story zake 1. ARIZA 2. Tesklat 3. Zemheri 4. Sol yanim Ongezea list wale wapenzi...
  16. Kimbioko

    JamiiForums Tanzania Stori za kidini katika movies

    Natumai wanajamvi hili wazima. Naomba mwenye kujua majina ya movies zinazolezea masuala ya matukio ya dini za Kiislam na Kikristo..mfano maisha ya Nabii Ibrahim, safari ya Wana wa Israel kutoka utumwani Misri, nk. Itapendeza hata Kama utaniwekea link niweze kufuata na kuaccess vizuri
  17. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Movie Zone: katika sub-movies au movies ni actor/ actress/ Director gani ukigundua kahusika humo ndani lazima uitafute??

    Kwa ukweli mimi kama mdau wa movies nikiri kuwa kuna waigizaji au waongoza movies ni magenious, ni talented haswa na hii hufanya nifuatilie sana kazi zao kwa sababu wanajua nn wanafanya. Kati ya actors ninaowakubali sana ni Henry Cavill, Ryan Raynold hawa jamaa kama vipaji wanavyo sana.
  18. Castr

    JamiiForums Tanzania Movies in Pictures

  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Athari mbaya za Bongo Movies kuwa na Vilaza wengi ndani ya jamii

    ATHARI MBAYA ZA BONGO MOVIE KUWA NA VILAZA WENGI NDANI YA JAMII Kwa Mkono wa, Robert Heriel Wapo watu wataona nimewaandama hawa ndugu zetu, lakini lazima ukweli tuuseme. Hatuwezi sema kuwa hakuna athari chanya walizotupatia Bongo Movies ndani ya nchi yetu, zipo faida kadhaa, kama vile, kutoa...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bongo Movies wengi ni vilaza, si ajabu wameilaza sanaa ya uigizaji. Wasomi ingieni huko

    BONGO MOVIE WENGI NI VILAZA, SIO AJABU WAMEILAZA SANAA YA UIGIZAJI Anaandika, Robert Heriel Hapana shaka sanaa ya Uigizaji kwa sasa imelala Usingizi wa Pono, imelala fofofo na waigizaji wake wanakoroma. Wapo kwenye ndoto za majinamizi wabaya wanaowakimbiza kwenye mitaro huko usingizini. Tangu...
Back
Top Bottom