movies

  1. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Nini kinapelekea Single Movies kutokufanya vizuri Tanzania?

    Tangu Kanumba kufariki, soko la Movie moja moja hapa Tanzania limekuwa gumu sana, na waigizaji wengi sasa wamejikita kwenye vipande vya video fupi fupi za kupost instagram na YouTube, na waigizaji wakubwa wamejikita zaidi kwenye Tamthilia. Soko la Movie Moja moja (Single Movie) kwa kweli...
  2. V

    JamiiForums Tanzania Wale wapenda Movies za kuchekesha hasa(elewa neno hasa) mje hapa

    Mm napenda a good laugh,hasa nikishamoka,pembeni nipo na juisi yangu pendwa ya miwa na vichapuza,then niweke muvie Kali ya komedi nichekee mpaka basi. Katika safari yangu ya kucheka nimegundua kuwa kucheka sio rahisi kwani movie itakayokuchekesha Leo kesho utaona ya kitoto so laughing is hard...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta machine ya kufanya voice over ( kama zile wanazo tumia ma Dj wanao tafsiri movies kwa kiswahili)

    Anae jua nitapata wapi hii machine pamoja na bei yake anijulishe tafadhali. With much thanks in advance
  4. Best Daddy

    JamiiForums Tanzania Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  5. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Movies 50 kali za kivita za muda wote

    Top 50 war movies. 1. Saving Private Ryan (1998) 2. Apocalypse Now (1979) 3. Full Metal Jacket (1987) 4. Platoon (1986) 5. Black Hawk Down (2001) 6. Das Boot (1981) 7. The Thin Red Line (1998) 8. Paths of Glory (1957) 9. Hacksaw Ridge (2016) 10. 1917 (2019) 11. Dunkirk (2017) 12. Patton...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi kamwe msiwaruhusu watoto wenu kuangalia filamu za kutisha (zombie & violent movies), kuna mkakati hatari wa shetani kwenye movie hizi!

    Same. Mwanafunzi wa darasa la sita shule ya msingi Majengo wilayani Same, mkoani Kilimanjaro Brian Elisha Godson (12) amejiua kwa kujinyonga akitaka kuigiza kama filamu ya kujinyonga aliyoipenda kuiangalia akiamini hatakufa. Godson anadaiwa kufanya jaribio hilo kwa kujinyonga na shuka saa 12...
  7. Kiplayer

    JamiiForums Tanzania Movies za kizungu, kichina, kihindi, kifilipino zilizowekwa kiswahili ni mizinguo

    Binafsi huwa nikikutana na movi za aina hii basi natafuta njia nyingine kuzikwepa. Walioweka kiswahili wananogesha hadi wanaharibu. Angalau waweke subtitles.
  8. WA UKAYE

    JamiiForums Tanzania Biashara ya movies na jinsi ya kufuatilia

    Habari wadau, Nimuda sasa nimekua na wazo la kuanzisha biashara ya kuuza movies mbalimbali ambazo nitakua nimeserve kwenye server fulani. Tatizo mimi ni muajiliwa na sintokua na muda wa kuifuatilia kwamba kwa siku zimezwa movies ngapi kwa kunyonywa kutoka kwenye computer Naomba wadau kama kuna...
  9. Mtemi Eno

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  10. Scars

    JamiiForums Tanzania Moja ya vitu ambavyo directors wa action movies wanafeli

    Mazungumzo mafupi kati ya Jambazi aliyeshilia mateka na Starling anayetaka kumuokoa mateka Jambazi: "Weka silaha yako chini, ukisogea hatua moja namuua huyu" Starling: "Sawa nimekubali naweka silaha chini" Jambazi ambaye kamuwekea silaha kichwani mateka na kumuamuru starling ambaye...
  11. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Movies 15 ambazo hupaswi kuzikosa kwenye Library yako muda wote

    1. Lone Survivor (2013) 2. The Covenant (2023) 3. Extraction (2020) 4. 13 Hours (2016) 5. Operation Red Sea (2018) 6. Without Remorse (2021) 7. Mad Max: Fury Road (2015) 8. Saving Private Ryan (1998) 9. The Old Guard (2020) 10. The Hurt Locker (2008) 11. Hacksaw Ridge (2016)...
  12. Ricky Blair

    JamiiForums Tanzania Movies za Yesu

    Kati ya movies za Yesu ipi ulioikubali sana? Kati ya ile ya 1979 ambayo ilikuwa so popular hadi waliitafsiri kwa kiswahili au the passions of Christ? Personally me ile ya kwanza ilikuwa nzuri sana but lugha haikuwa halisia kwani Yesu hakuongea kiingereza bali Aramaic ila stori was good na...
  13. monotheist

    JamiiForums Tanzania Msaada wa app au jinsi ya kudownload latest movies

    Yeyote anayefahamu jinsi ya kudownload latest movies maana ninejaribu megabox kwa kutumia torrent sipati matokeo mazuri na pia popcorn time kwangu haifanyi kazi tena Mwenye njia mbadala anipe maujuzi
  14. NDUKI

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Movie, John Wick 4 vipi?

    Salaam kwenu. Naulizia hiyo movie hapo juu kwa mwenye direct link au hata torrent ambayo sio CAMRip au WebCam iwe HD naomba anijuze please. Natanguliza shukran.
  15. Logikos

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mtu wa movies halafu haujaiona Casablanca?

    Ni kama wewe ni muwindaji haujawahi kumuona simba, au ni mvuvi haujawahi kumsikia nguva. Okay maybe utasema simba wapo mpaka leo na sio mfano halisi, basi niseme ni kama wewe ni palaeontologist na haujawahi kusikia habari za dinosaur.
  16. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Bongo movie bila steven kanumba

    Ni miaka 11 Sasa tokea kifo Cha star mkubwa wa maigizo,the great Steven kanumba kutokea,kanumba alikuwa na content yake special iliyokuwa inambeba,sijaona wakuziba pengo lake,bongo movies ya Sasa Amna aliofikia level ya kanumba kwenye kuigiza,kipaji mpaka production. Steven kanumba baada ya...
  17. Jorge WIP

    JamiiForums Tanzania Je, ungependelea kupokea Personalized Movies recommendations ndani ya Email Inbox yako 📨?

    Weekend ikiwa inakaribia, Kwa sisi wapenzi wa Movies ambao tunafanya shughuli zetu nyingine mbali mbali huwa inakuwa ngumu kupata Movies sahihi za Kuangalia kwa sababu hatuna vyanzo wala muda wa kuzunguka internet kupata Movies tunazozitaka. Kutatua hilo kuna hii Movie Newsletter by...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Weekend Movies

    Wadau wa movies,Kuna movie moja imechezwa Africa na watoto wawili, mmja dogo wa kiume na mwingine wa kike(west Africa) hope Cameron. Madogo wote wanandoto za kuzamia ulaya kupitia Morocco to Spain.Madogo wanapanda ndege kule matayle ya ndege yanapojikunjia..........wapo juuu barid kinomaa...
  19. Bzero

    JamiiForums Tanzania Nimenunua flash 32gb lakini ukiweka movies au audio au photo haziplay na wala hazioneshi

    Flash nmenunua ila kwenye computer inasoma vizuri na ukiweka movies zinaonyesha zimeingia ila ukiitoa kwenye computer halafu ukairudisha tena hazionekani movies yaani inasoma haina kitu kama kuna msaada naweza kuupata kwa anayefahamu jinsi ya kuiseti.
  20. Forest Hill

    JamiiForums Tanzania Wapenzi wa Gangster movies tukutane hapa

    Hello ndugu zangu wapenzi wa Gangster movies ni movie gani ya mahadhi haya unaipenda??kwanini??quote gani unaipenda??Mimi Naipenda Sana The Godfather haswa scene ambayo Don Corleone anachezea paka
Back
Top Bottom