movies

  1. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Biashara ya movies za nje ni 🔥 sana Kkoo, ni nini kiliua soko la filamu za Tanzania?

    Leo nimepita mtaa wa Likoma maeneo ya Kariakoo kuna biashara kubwa sana ya movies za nje. Zinagombewa na zinauzika sana,nakumbuka kuna wakati Tanzania tulikua juu sana kwenye mambo ya kuigiza,yalikuja malalamiko mengi kuwa wasanii wanaibiwa kazi zao huku wafanyabishara wakidaiwa kufaidika...
  2. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli wasanii wa bongo movies wameshindwa kutunga tamthiliya pendwa itakayopata mashiko nchini?

    Tanzania ina wasanii wengi mno lakini cha kusikitisha ubinafsi umewapiga kiasi cha kuua kabisa ubunifu wao. Wazee wenzangu tunakumbuka tamthiliya ya tausi ilivyokuwa na mashiko wakati ule. Hivi inaingi akilini nchi ya uchumi wa kati tunaangalia tamthiliya za wenzetu zilizofasiriwa kwa Kiswahili...
  3. The Dictator

    JamiiForums Tanzania Wonder Woman 2 Movie (WW84): Wale wapenzi wa movies (big screen) mzigo uko mlangoni

    Baada ya kusubiri kwa muda mrefu tangu june ilipotakiwa itoke na kuahirishwa mara 2 hatimae kitu kimeanza kutoka rasmi. Tambua tarehe ya ufunguzi katika nchi yako ukaenjoy. Pia itapatikana katika app ya HBO MAX kwa malipo ya $14 tu. The latest international release schedule appears below...
  4. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Bless weekend yako na hizi movies..

    Kama si muda kubana, tungaliona thread hii tangu jana (Ijumaa), lakini hakuna kilichoharibika, bado ni weekend so twende na hizi hapa kuanzia usiku huu... Hii itakuwa ni thread yangu ya nane sasa katika mfululizo wa 'movies to watch'... kama ni mgeni, basi waweza zipitia moja baada ya nyingine...
  5. I AM NO ONE

    JamiiForums Tanzania Tv show na movies za HBO na HBO Max zinachochea mapenzi ya jinsia moja kwa kwenda mbele

    Habari wapenzi wa burudani nimeona nilete kwenu hii issue nimetizama movies nyingi kiasi zikiwemo za hbo huko mambo ni mazito kidogo yaani ukiwa unacheck movies zake inabidi uwe peke yako au uwe na demu wako maana sio kukaa na watoto maana unaeza aibika. Huko ni mchezo wa wanaume kwa wanaume...
  6. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Chukua muda wako kutazama hizi Movies Weekend hii

    Nina furaha nimerudi tena uwanjani hapa ikiwa ni toleo langu la saba sasa kuhusu movies mbalimbali. Ni matumaini yangu mko salama. Sasa Weekend ndo' hiyooo inasogea, wengine hatuna mambo ya clubs wala drinking, tunafanyaje? Tunakaaa ndani kutazama movies. Bila kupoteza muda, tutazame movies...
  7. Brastus Jnr

    JamiiForums Tanzania Site ya kudownload movies

    Natafuta site nzuri kwa ajili ya kudownload movie kwenye simu.
  8. Xzone

    JamiiForums Tanzania List ya Websites za Kudownload Movies kwa MB Ndogo

    1. https://www.fzmovies.net/ Ni moja ya tovuti yenye mkusanyiko mkubwa wa sinema ambazo unaweza kuangalia kwenye simu au kompyuta yako. Pia Inaruhusu Watazamaji Kupakua Sinema. 2. Mobile Movies - Tovuti hii ilijengwa kwa ajili ya watu wanaotumia simu za kawaida(mobile), Sinema Zote Zipo...
  9. mwaswast

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Bongo Movies vs Kenyan Movies

    Movie industry in East Africa inaendelea kupiga hatua sana haswa kwenye quality ya picha, creativity, graphics na storyline. Kenya Kama kawaida ndio kinaara ifikapo quality in terms of production and creativity ukilinganisha na Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Kenyan Movie Bongo Movies
  10. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Movies kali za weekend hii (Session 06)

    Ni matumaini yangu mko poa. Ni ‘weekend’ sasa, muda ambao tunapata mapumziko, hivyo basi si vibaya kama tukipata wasaa wa kupakua na kutazama filamus kadhaa kwa ajili ya burudani na pia kujifunza. Bila kupoteza muda, tuzame kwenye hizi hapa ambazo naamini hautajutia ukizipatia muda na bundle...
  11. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Wewe ni mpenzi wa Movies? (Session 05). Tupia jicho hapa..

    Niaje, wakuu? Kama kawaida tunakutana katika mfululizo wetu wa tano sasa wa kugusiana filamu kuhamasishana kuzitazama na kuzielewa. Bila maneno mingi, na tuanze. Karibu. IDENTITY ya 2003. Kuna watu wanaamini hamna kitu kinachotokea duniani kwa bahati mbaya. Kila kitu kimepangwa na kipo kwa...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Hivi mnaoangalia au kupenda movies mnapata raha gani?

    Sijui kama ni mimi au kuna wengine tunaoona movies ni kama michezo ya kitoto au watoto wadogo. Mimi akili yangu imegoma kabisa kuzielewa movies. Hata nikiangalia baadae sikumbuki nilikua naangalia kitu gani. Naona kama ni childish sana. Nimejitahidi kuangalia movies lakini wapi akili yangu...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Wahenga tukumbushane 80’s movies

  14. Y

    JamiiForums Tanzania Movies: Nimeamua kukesha leo nipakue movie, wakuu naomba movie zile latest kali nianze nazo kwa usiku wa leo

    Wakuu habarini .. Kwa wapenzi wa movie naombeni mnitajie movie kali latest zinazohit kwa kipindi hiki ,,ili usiku nianze nazo maana sina info. Juu ya movie yoyote kali zilizo be released.. Msaada wakuu.. Category za movie ziwe ; 1. Action 2. Romance 3. Thriller 4. War 5. Crime Kuhusu...
  15. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Mzee, unapenda movies kali? (Session 04). Weekend hii ruka na hizi!

    Habari zenu wandugu? Ni kitambo kidogo sasa hatujakutana kwenye hiki kijiwe chetu cha movies kutokana na mambo ya hapa na pale lakini natumai kila kitu kipo poa! Pasipo kupoteza muda, leo tutazamia ‘session ya 04’ kwenye huu mfululizo wetu wa kuhamasishana kutazama filamu mbalimbali kwa...
  16. Forgotten

    JamiiForums Tanzania NETFLIX wanafeli wapi?

    Wiki hii nilipata nafasi ya kuangalia movie pamoja na series mpya kutoka NETFLIX ORIGINALS. Hizi zote wameziandaa wenyewe; EXTRACTION (Movie) Hii imejipatia umaarufu mkubwa sana kutokana na kuwa full packed na fights za kutosha, kwa wapenzi wa action movie hii lazima uikubali. Ila walipofeli na...
  17. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Unapenda MOVIES? (SESSION 03) Usikose hizi wiki hii...

    Niaje wazee? Natumai mnaendelea vema huku mkiendeleza mapambano dhidi ya janga hili la Corona. Tafadhali usipuuzie, ni serious na inaua. Usingoje serikali ikuchukulie hatua, bali chukua mwenyewe kwa ajili ya familia yako. Basi kama ilivyo kawaida, leo hii nitajaribu kushirikiana nanyi baadhi...
  18. Fabijr

    JamiiForums Tanzania Kama uliipenda Fast and Furious, tazama hii pia

    Wale mnaomkubali kinyama Vin Disel kaja na BLOODSHOT. Movie kali ya action 2020 Pakua Bure Hapa ShrinkMe.io
  19. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Unapenda movies? Tazama hizi weekend hii!

    Habari wapenda filamu wenzangu. Ni siku nyingine tena tumepewa nafasi ya kukutana hapa na kujadiliana mambo kadhaa kadhaa kuhusu utazamaji wa filamu, starehe ambayo kwa sasa ukizingatia na hali ya mlipuko wa Corona inatufaa zaidi kwa kutuhamasisha tukae ndani kujiepusha na michangamano isiyo ya...
  20. SteveMollel

    JamiiForums Tanzania Unapenda movies? Pitia hapa kidogo

    Kutokana na mlipuko na kusambaa kwa homa kali ya mapafu – Corona (COVID -19) ni muda sasa wa kupunguza rapsha za hapa na pale tujitulize nyumbani muda wote ama muda mwingi zaidi. Ni kweli ni kadhia kubwa, huchosha sana, lakini hatuna budi kwa ajili ya usalama wetu binafsi na familia zetu. Basi...
Back
Top Bottom