Naombeni orodha ya movies za kihalifu

Living Pablo

JF-Expert Member
May 17, 2020
3,229
10,092
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomben mnitajie list ya movie kali za kihalifu au kihuni kama hizi nlizowah kuziona mimi.

-Living Pablo
-Narcos season
-El Mariachi

Mostly zinakuwa za South America hasa Mexico na Colombia.
 
**** unapenda series nenda kachek Queen of the south ma drug dealer hawa hatari sana full action full kuwindana hii series Kali sana
Screenshot_20210611-214439.jpg
 
Habari zenu wakuu, kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomben mnitajie list ya movie kali za kihalifu au kihuni kama hizi nlizowah kuziona mimi.

-Living Pablo
-Narcos season
-El Mariachi

Mostly zinakuwa za South America hasa Mexico na Colombia.
South America tena???????????
 
Back
Top Bottom