Kwa wapenzi wa Music na Movies. Wireless earbuds za bei rafiki zinazokaa na charge muda mrefu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,468
23,744
Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe.

Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana kupatikana za 20,000 -30,000 nzuri tu. Na zenye kukaa na charge muda mrefu
 
Kama Hazchem plate alivyosema . Earbuds kutokana na udogo wake kupata is itakayokaa na chaji zaidi ya masaa 5 ni ngumu.

Kwenye specifications za earbuds watakuambia inakaa masaa 20 lakini hapo wamejumuisha masaa ya charging case yake, yaani utaichaji mara 4 ndio case itaisha chaji.

Over ear Headphones, backneck na earhook zipo zinazokaa masaa 10 na kuendelea....
 
Thank you very much
 
Mkuu udogo wa hivi vidubwana ndio chaangamoto yake ya ukubwa wa betrii

Huwezi kupata bora zaidi ya hapo
Tatizo pekee la hizo za bei ndogo ni sound quality na betrii zake zinachoka haraka yaani baada ya muda tu kataanza kushuka muda wa kukaa na chaji
 
Nahitaji wireless earbuds ambazo zinaweza kaa na charge kwa muda mrefu. Lets say masaa 8-12. Kama unazifahamh please nijulishe.

Na bei iwe rafiki tu ya kitanzania.maana nmeshanunua sana na kukuta ni bomu masaa unakuta 3-4 charge imeisha na wameniuzia tsh 50,000 + kuna mtu anasema inawezekana kupatikana za 20,000 -30,000 nzuri tu. Na zenye kukaa na charge muda mrefu

Kwa bei hiyo huwezi pata hata a decent wired earphones...

Mie natumia Powerbeats pro ambayo naona huku bongo wanauza around 500-550k

Uzuri wa powerbeats zina ear hooks zinazozuia zisianguke na zinafaa sana kwa mazoezi.

Karibu
 
Hapo umeongea hamna earbud ya 30K ikawa na sound nzuri utakuta wameweka noise cancellation na haileti effect yoyote.

Zinazoeleweka haziwi chini ya 100$ hizo janja janja za bei chini zinaumiza masikio halafu ndio zipo kibao zinauzwa k/koo
 
Mhh.. Nimetumia wireless earbuds nyingi kusema ukweli ukitaka inayokaa na chaji masaa 8-12 unabidi uongeze pesa kidogo.

Aliexpress zipo kuna Soundpeats sonic (Tshs 97,000 hivi) zinakaa na chaji karibu masaa 11, kuna Edifier tws1 Pro (sasa hivi zipo on sale $35) hii ina sound quality nzuri plus inacheza mida hiyo hiyo kwenye battery life.

Au kama utatafuta kwa hapa bongo hakikisha unatafuta Bluetooth headphones zenye Bluetooth 5.2, maana zilikuwa designed kutumia charge ndogo hivyo headphones nyingi zenye hii chip mara nyingi huwa na battery life nzuri.

Napenda kumsikiliza huyu jamaa kabla ya kufanya mnunuzi ya headphones; https://youtube.com/c/ELJefeReviews
 
Kama Hazchem plate alivyosema . Earbuds kutokana na udogo wake kupata is itakayokaa na chaji zaidi ya masaa 5 ni ngumu.

Kwenye specifications za earbuds watakuambia inakaa masaa 20 lakini hapo wamejumuisha masaa ya charging case yake, yaani utaichaji mara 4 ndio case itaisha chaji.

Over ear Headphones, backneck na earhook zipo zinazokaa masaa 10 na kuendelea....
Naomba unitajie jina la neckband nzuri ninunue. Ambayo inakaa muda mrefu na imara pia....
 
Back
Top Bottom