moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. luangalila

    JamiiForums Tanzania Moshi Mjini: Sanamu ya askari pale YMCA ni alama ya Historia gani?

    Wadau habarin Kwa mliowahi kuishi Moshi najua huwa mnafahamu pale round about ya YMCA ina sanamu kubwa ya Askari aliye shika silaha, kwa kipindi nilicho ishi moshi pale sikuwahi kueikia historia yenye kuelezea ile sanamu pale Je, iliwekwa kama urembo au ina maana yake kama ilivyo kwa ile...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Meya Mji wa Moshi awa mkandarasi ujenzi wa madarasa kwa fedha za IMF

    Bila mkuu wa wilaya ya Moshi kujulishwa kuhusu utangazaji wa kutafuta mkandarasi wa kujenga madarasa ya shule za sekondari kupitia fedha za IMF, Meya wa Moshi manispaa, amejinyakulia tenda ya Tsh 400 milion ya ujenzi wa madarasa. Swali la msingi, halmashauri imempata mkandarasi asiyejulikana...
  3. dexterous

    JamiiForums Tanzania Hii tabia ya uvutaji wa sigara ovyo ikomeshwe

    Wasalam Iko hivi kuna tabia/mazoea kwa wavutaji wa sigara wanaovuta sigara kiholela barabarani na sehemu zenye mikusanyiko ya watu bila kujali afya za watu wengine Embu fikiria uko njiani unatembea mbele yako kuna mtu anavuta sigara na ule moshi anaoupuliza wote unawarudia mliokuwa nyuma yake...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Ikitokea moshi ikawa jiji maana yake itakuwa imeruka stage?

    Mi navyojua lazima imepitiea kuwa mkoa kwanza kisha jiji. Sasa sidhani kama moshi ni mkoa ila tayari wanalazimisha kuwa jiji bila hata kuwa mkoa. Hii ni sawa na prof ndalichako ana PhD lakini hana masters sijui iliwezekana vipi. Hata slaa ana PhD lakin hana masters. Tueleweshane jamani ili...
  5. maishapopote

    JamiiForums Tanzania Alichokifanya Mwalimu Nyerere Mwaka 1995 mbele ya Macho yangu

    Nikiwa Darasa la Saba Mwaka 1995, kama kijana yoyote wa Moshi Mjini Nilikua na Hamasa Kubwa Kisiasa, Na Moshi Mjini Ilikua Imewaka Moto Kisiasa. Bwana Mrema Alikua Amejiunga na NCCR Mageuzi, Nayo NCCR ikaunganisha Nguvu Na CHADEMA Wakaweka mgombea Ubunge Bwana MTUI...na Urais Akawa Bwana...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Diwani Moshi matatani, TRA yafunga akaunti zake

    Taarifa kutoka Moshi zinatonya kuwa diwani mmoja wa Chama cha Mapinduzi(CCM) Manispaa ya Moshi ameingia matatani baada ya kubainika amekuwa akiendesha biashara ya utoaji wa mikopo bila kuwa na leseni na hivyo kukwepa kodi . Kwa sasa Diwani huyo(jina kapuni)anachunguzwa na TRA kwa ukwepaji wa...
  7. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Amuua nduguye kwa kukataa kuchangia nyama ya 1,500 waliyokula

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia mkazi mmoja wa Kijiji cha Ndungi katika Wilaya ya Moshi kwa tuhuma za kumuua ndugu yake, William Shoo kwa madai ya kukataa kuchangia nyama ya Sh1, 500 waliyonunua. Akizungumza na waandishi wa habari leo Oktoba 11, 2021 Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Bi. Maida Springer Moshi na yaliyomfika Ally Sykes 1957

    ALLY SYKES, JULIUS NYERERE, ALLY MWINYI TAMBWE NA BI. MAIDA SPRINGER MOSHI 1957 Kutoka mswada wa Ally Sykes, ''Under the Shadow of British Colonialism The Autobiography of Ally Kleist Sykes.'' Kama niliyotangulia kueleza kuwa nilikutana na Bi. Meida Springer katika Nyaraka za Sykes. Maida...
  9. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya kumpumzisha aliyekatwa shingo na "wasiojulikana"

    Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema. Ikumbukwe kuwa kuna uzi uliletwa humu juzi kuwa Moshi, Kilimanjaro kata ya Mwika Uuwo kuna mama alikatwa shingo hadi kufa na watu wasiojulikana na jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro akasema chanzo cha kifo ni wivu wa kimapenzi basi leo ndio...
  10. mshale21

    JamiiForums Tanzania Moshi, Kilimanjaro: Mwanamke auawa kwa kuchinjwa, Polisi yasema kuna viashiria vya visasi

    Moshi. Elice Matafu, Mkazi wa Kijiji cha Mrimbo Uuwo, Kata ya Mwika Kaskazini, Wilaya ya Moshi ameuawa kwa kukatwa shingo na watu wasiojulikana nyumbani kwake. Mwanamke huyo ameuawa usiku wa saa 2 akiwa nyumbani kwake. Kamanda wa Polisi Mkoani Kilimanjaro, Simon Maigwa amethibitisha kuuawa kwa...
  11. Hajto

    JamiiForums Tanzania Usafiri wa mabasi ya Moshi kutokea Dar

    Habari zenu mabibi na mabwana, Naombeni kuuliza usafiri wa kutokea Dar ni basi lipi zuri na kujua nauli zao ni kiasi gani lile la hali kati ama ambalo linaenda na unafuu wa tozo,Basi linaloanzia Shekilango ama Mbezi napo nijue,
  12. King Loto

    JamiiForums Tanzania Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

    Wanajamii, Salam Alleykum na Bwana Yesu asifiwe sana. Hivi mbona wasambaa na watu wa Tanga wengi wako hapa mbuyuni, soko manyema, Dar Street, mtaa wa Ismail tena wasomali kama wote, TPC kuna hadi Wanyaki wa Mbeya japo kule ni Moshi Vijijini, watumishi wengi hapa Moshi sasa hivi ni watu wa kanda...
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA fanyeni haya ili Kesi ya Mwenyekiti wenu Taifa, Mbowe iwe rahisi kumalizika naye pia akapumzike

    1. Punguzeni Shutuma kwa Mahakama 2. Punguzeni Vitisho 3. Punguzeni Matusi 4. Punguzeni Mikakati ya Fujo 5. Punguzeni Kuhamasishana 6. Punguzeni Kukamia Kukomoa 7. Punguzeni Propaganda za hovyo 8. Punguzeni kujifanya Wajuaji mno 9. Punguzeni kuwa na Viherehere 10. Punguzeni kulalamika...
  14. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Moshi: Majeneza yaadimika

    Na Mary Mosha, MOSHI HUDUMA za mazishi na uuzaji wa majeneza kwenye Mji wa Moshi zimetajwa kuongezeka katika siku za karibuni. Kutokana na ongezeko hilo, baadhi ya watoa huduma wameiomba serikali kuona namna ya kuwasaidia wasilipe kodi na tozo mbalimbali kwa kuzingatia wanatoa huduma na sio...
  15. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Tatizo la UVIKO-19: Mwaka huu Moshi kutaendeka kweli?

    Dah! Taarifa za msiba zimekuwa nyingi sana. Kwanza naamini Watanzania wanakufa sababu ya uzembe na kujitakia wenyewe. Mtu anakufa kwa nimonia watu mnajazana msibani kwenda kuzika bila tahadhari yoyote unategemea nini hapo? Umeenda kuzika mara 3 je Disemba utaenda tena. Mkoa wa Kilimanjaro...
  16. naliwe

    JamiiForums Tanzania Wachaga acheni kusafirisha maiti kwenda Kilimanjaro, mnachochea maambukizi ya Corona

    Habari wakuu, Huku kwetu hali si shwari, nipo ugogoni vifo ni vingi mno cha ajabu wengi wao ni watu wa Kaskazini. Walianza wawili inasemekana walienda kuzika huko Moshi, baada ya kurudi aliumwa na kufariki wakaenda kumzika Moshi,baada ya kurudi kwenye mazishi, vifo tena vitatu wakapeleka huko...
  17. 2019

    JamiiForums Tanzania Watu wenye umri mkubwa wanataokea Moshi, mikoa mingine hawatangazwi au hakuna?

    Ukifuatilia taarifa nyingi watu wengi wenye umri mkubwa naskia tu Moshi, wengi wao hujulikana baada ya kufa. Ajuza afariki Moshi akiwa na miaka 106 | Mwananchi Je mikoa mingine hautangazwi au hakuna wenye umri huo? Baada ya kufa wanafanyiwa sherehe. Milardayo, BBC Swahili na gazeti la...
  18. K

    JamiiForums Tanzania FedEx wana tawi Moshi?

    Napenda kufahamu kama FedEx wana tawi lao Moshi? Na nawezaje agiza mzigo kutumia FedEx na nikapata mzigo wangu? Naomba msaada kwa wazoefu
  19. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania SoC01 RC Makalla na Uongozi wa Dar: Fuateni ushauri huu Dar es Salaam itakuwa na mazingira safi kuliko Moshi

    Kwanza kabisa kuondolewa kwa mifuko ya plastiki bado hakujafanya mazingira kuwa safi. Nini tatizo kwa mkoa wa Dar es Salaam? Jibu ni rahisi tu, tatizo ni msongamano wa watu pamoja na wafanyabishara wadogo (machinga) huu ndio ukweli. Japo ili kufanya mkoa huu kuwa safi si lazma uwatoe ila...
  20. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Moshi mweupe kesi ya Sabaya

    Arusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena mashtaka hayo kosa moja likiongezeka. Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka aliileza mahakama hiyo kuwa...
Back
Top Bottom