moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu atembelea soko leo Moshi, afanya makubwa, awanunulia wafanyabiashara vifaa vya biashara

    WAFANYANYABIASHA WA SAMAKI MOSHI WALAUMU KUCHANGISHWA FEDHA ZISIZO NA MAANA NA WAHUNI WA SOKO JIPYA LA MAILISITA, PAMOJA KUIBIWA IKIWEMO UMBALI WA ENEO HILO, WAAHIDI KURUDI SOKO LA PASUA MEYA RAIBU AWANUNULIA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA SAMAKI Na Mwandishi Wetu Katika hali ya kustaajabu kundi la...
  2. B

    JamiiForums Tanzania MOTO MOSHI: ofisi za Tanroad mkabala na Kristo mfalme inawaka Moto muda huu

    Hello guys, Taarifa iliyopo na ya kweli ni kwamba ofisi za Tanroad Moshi karibu na idara ya maji inawaka Moto kwa takribani 3 hrs Sasa fire wameshindwa kuzima,kwa kukosa vifaa na magari, Wanasubiria gari kutoka KIA NA ARUSHA NItazidi ku update
  3. May Day

    JamiiForums Tanzania Kama tumemuacha huru aliyesababisha vifo pale Moshi huyu 'Mfalme' wa Mwanza tunamtesa kwa lipi?.

    Mimi ni miongoni mwa wapingaji wakubwa wa hizi shughuli za kiroho zinazofanywa na Wajanja wachache na kunufaika kwa migongo ya Wengine...na nilitamani sana kuona lile lililotokea pale Moshi wakati ule likifikia kutoa haki kwa wale Wahanga. Hivi karibuni kumetokea tukio pale Mwanza na sasa...
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Hili ndio soko kuu la samaki Moshi, Mji unaondaliwa kuwa Jjiji

    Hapa ndipo walipohamishiwa Wafanyabiashara wa soko kuu la samaki kutoka eneo la manyema mbuyuni na kuletwa hapa maili sita. Lengo na kuwahamisha wafanyabiashara hao na kuwaleta hapa ni kile kinachodaiwa kuwa ni katika kuiandaa moshi kuwa jiji na hivyo kuondoa mlundikano wa kuwa sehemu moja...
  5. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Mnakumbuka matukio ya ujambazi miaka ile Moshi na Arusha, njoo tukumbushane mawili matatu

    Miaka ile kanda ya kaskazini iligubikwa na matukio mazito ya ujambazi, nakumbuka ilikuwa haupiti mwezi bila tukio kubwa la ujambazi kutokea. Mnakumbuka wizi wa benki ya NMB pale Mwanga kama sikosei? Mnamkumbuka kamanda Chico? Mnakumbuka kuna battle ya risasi ya majambazi na polisi ilidumu kwa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanasheria aliye Moshi Mjini

    Urgent: Natafuta mwanasheria aliepo moshi mjini, karibu inbox ila uwe unajua kazi yako na gharama ndogo na nafuu kwa Mtanzania asie na pesa. Nawasilisha, bloggerboy
  7. KIMAROO

    JamiiForums Tanzania Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Kabila la Wachaga linafahamika kwa wengi kuwa linapatikana mkoani Kilimanjaro.Kwa asili, Wachaga ni mchanganyiko wa Wamasai, Wasambaa, Wataita, Wakamba na Wakahe. Wachaga walianza kuhamia kwenye miteremko ya Mlima Kilimanjaro kwenye karne ya 17. Walipofika wakiwa katika vikundi vidogovidogo...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kabla ya hii mipaka ya kisiasa, Moshi ilikuwa Kenya na Mombasa ilikuwa Tanzania?

    Kwa anayejua Tafadhali kabla ya ile mikataba ya Kijermani na Kiingereza hali ilikuwaje. Nimesoma mahali kuwa hata baba yake Obama siyo mkenya ni mtanzania ndio maana Obama alifika hadi Tarime kwa akina Heche kuwasalimia. Nasubiri majawabu! Maendeleo hayana vyama.
  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro marathon ni kesho, kinachoendelea Huko Moshi ni ulevi na ngono usiku huu kesho zawadi zote zinaelekea Kenya

    Watanzania huko Moshi Kilimanjaro Kesho ni washerekeaji tu wa Kilimanjaro marathon . Hawana uwezo wa kupata zawadi Hata moja. Wakenya ninasikia wamekuja wengi wamelala tayari kuanza bio Kesho na kuondoka na zawadi zote. Wabongo ni ulevi usiku kucha na ngono Yakima asubuhi Hakuna cha...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Moshi: Anayetuhumiwa kumuua mama yake kwa panga afikishwa mahakamani

    Washitakiwa watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi mjini Moshi leo Jumatano Februari 23, 2022 wakikabiliwa na mashtaka ya kumuua Patricia Ibreack Paul (66) mkazi wa Rau mjini Moshi Kisha kuuzika mwili wake kwenye shimo nje ya makazi yake. Washitakiwa hao ni Wendy Mrema ambaye ni...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

    Hali si shwari ndani ya baraza la madiwani la Manispaa ya Moshi ambako madiwani wamekuja juu wakimtaka meya wao, Juma Raibu kujiuzulu fasta baada ya clip moja kusambaa mitandaoni ambako amesikika akiunga mkono mapenzi ya jinsia moja. Juma Raibu anadaiwa wiki iliyopita alikuwa mgeni rasmi kwenye...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Semina ya Mwalimu Christopher na Diana Mwakasege - huduma ya Mana - Moshi, Kilimanjaro tarehe 16 mpaka tarehe 20 Februari 2022

    MWALIMU CHRISTOPHER & DIANA MWAKASEGE - HUDUMA YA MANA - SEMINA, MOSHI, KILIMANJARO TAREHE 16 MPAKA TAREHE 20 FEBRUARI 2022. Bwana Yesu Asifiwe! HUDUMA YA MANA - MANA MINISTRY - Mwalimu Christopher & Diana Mwakasege Karibu sana watu wa Moshi na Mitaa ya Karibu, kwa walio mbali unaweza...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti CCM Moshi Mjini atumia msiba kuwashambulia waliobwagwa kura za maoni 2020

    Msiba wa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),Shambe Sagafu aliyefariki mwanzoni mwa wiki ,uligeuka kuwa uwanja wa siasa baada ya mwenyekiti wa chama hicho Moshi Mjini, Alhaj Omar Amin Shamba kuwashambulia kwa maneno makali baadhi ya makada wa Chama hicho waliojitosa kuomba kuteuliwa na chama hicho...
  14. Sifael Mpollo

    JamiiForums Tanzania Ujana ni kama Moshi, ukitoka haurudi; Maendeleo ya taifa letu yanahitaji watu na watu wenyewe ni vijana

    Na. Sifael Essau Mpollo. Rais wa 32 wa Marekani Franklin Delano Roosevelt aliwahi kusema “We cannot always build a future for our youth, but we can always build our youth for the future.” Kwa tafsiri isiyo rasmi katika Kiswahili ni kwamba "Siku zote hatuwezi kujenga mustakabali wa vijana wetu...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Moshi: Moto wateketeza Soko la Mbuyuni

    Soko la matunda na mbogamboga Mbuyuni lililopo wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro likiteketea kwa moto. Juhudi za kuuzima moto huo zikiendelea na bado chanzo cha moto hakijafahamika.
  16. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Serikali itashirikiana na Machifu, Viongozi wa Kimila

    Akishiriki Tamasha la Utamaduni lililofanyika leo Januari 22, 2022 Mkoani Kilimanjaro Rais Salia Suluhu Hassan ameeleza, "Kumekuwa na maneno mengi ndani ya Tanzania kuhusu Serikali na Uchifu. Tumeamua kuwa na jukwaa la pamoja baina ya Serikali, Machifu na Wazee wa Kimila ili kuhifadhi Mila na...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Tamasha la Kilimanjaro kufanyika Januari 22, 2022 katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika, Moshi

    Vikundi zaidi ya 11 kutoka wilaya zote za mkoa wa Kilimanjaro vinatarajiwa kuonesha sanaa za maonesho katika Tamasha la Kilimanjaro linalotajiwa kufanyika jumamosi ya Januari 22, 2022 katika Viwanja vya Chuo cha Ushirika Moshi. Hayo yamesemwa na Afisa Sanaa wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na...
  18. T

    JamiiForums Tanzania Moshi: Binti amuua Mama yake mzazi kisa Mali. Mwili wagundulika ulipozikwa baada ya mwaka mmoja

    MOSHI: BINTI AMUUA MAMA YAKE MZAZI ILI ARITHI MALI, MWILI WAGUNDULIWA BAADA YA MWAKA MMOJA • Meya Juma Raibu ashindwa kujizua amwaga machozi na kulaani vikali, awaasa vijana kuacha tamaa na starehe •Meya Raibu ampongeza Rpc Kilimanjaro ACP Simon Maigwa na timu Yake Kuendelea Kusikiliza Na...
  19. I

    JamiiForums Tanzania Natafuta viwanja Moshi Mjini, budget ni Million 3

    Habari ya leo, Naomba mnisaidie kujua maeneo gani kuna viwanja vizuri kwa Moshi manispaa Budget ni Million 3 mpaka 4 Asanteni.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Madereva mnaotokea njia ya Kaskazini msiendeshe magari kizembe

    Nije katika mada, jana nimeshuhudia uendeshaji wa magari wa kizembe mno mno kwa madereva watokao njia ya Moshi. Madereva hao wazembe karibu wanisababishie ajali tatu. Yaani mtu ana overtake kizembe sehemu isiyo stahili huku wakiwa wanashindana kukimbiza magari, seriously? Na wengine yawezekana...
Back
Top Bottom