Ikitokea moshi ikawa jiji maana yake itakuwa imeruka stage?

Ikitotanzila

JF-Expert Member
Sep 22, 2020
1,409
2,263
Mi navyojua lazima imepitiea kuwa mkoa kwanza kisha jiji. Sasa sidhani kama moshi ni mkoa ila tayari wanalazimisha kuwa jiji bila hata kuwa mkoa.

Hii ni sawa na prof ndalichako ana PhD lakini hana masters sijui iliwezekana vipi. Hata slaa ana PhD lakin hana masters. Tueleweshane jamani ili turuke viunzi vingine kama ni wastage of time hata mimi natamani niwe prof bila hata kuwa na masters wala phd.
 
Ndugu Ikitotanzila

Mkoa sio kigezo cha kuwa jiji hata Dar es Salaam ni mkoa huku jiji likiwa Ilala (Ilala City inside Region of Dar es Salaam).

Ukitoka Tarafa, Wilaya katika Wilaya ni either mji, manispaa kisha jiji. Moshi kwa sasa hadhi ni manispaa kinachofuata ni jiji.

Kwa ufupi manispaa katika taifa ndio majiji ya kesho lets say Sumbawanga, Kahama, Morogoro, Bukoba, Iringa, Tabora haya yatafuata kuwa majiji endapo yakikidhi vigezo.
 
Mi navyojua lazima imepitiea kuwa mkoa kwanza kisha jiji. Sasa sidhani kama moshi ni mkoa ila tayari wanalazimisha kuwa jiji bila hata kuwa mkoa.

Hii ni sawa na prof ndalichako ana PhD lakini hana masters sijui iliwezekana vipi. Hata slaa ana PhD lakin hana masters. Tueleweshane jamani ili turuke viunzi vingine kama ni wastage of time hata mimi natamani niwe prof bila hata kuwa na masters wala phd.
Nchi imejaa vilaza Sana ikiwemo wew
 
Aloo wewe jamaa nikilaza kweli kweli kumbe wew ukisikia jiji unajua ni mkoa mzima ,mfano jiji la mwanza haina maana mkoa wote wa mwanza ni jiji ila jiji lipo nyamagana, dar jiji ni ilala ,
 
Usikate tamaa kwa maneno yangu, ila kwa kweli unahitaji kuongeza maarifa yako!
 
Aloo wewe jamaa nikilaza kweli kweli kumbe wew ukisikia jiji unajua ni mkoa mzima ,mfano jiji la mwanza haina maana mkoa wote wa mwanza ni jiji ila jiji lipo nyamagana, dar jiji ni ilala ,
Na wewe ni mjinga mwingine mkubwa, eti jiji la Dar lipo Ilala au jiji la Mwanza lipo Nyamagana?!!! Jiji la Dar ni manispaa zake zote za Kinondoni, Ilala, Temeke, Ubungo na Kigamboni.
 
Kumbuka marehemu magu kabla hajafariki alivunja hicho kitu ilala pekee ndo ilibaki na hadhi ya jiji zingine zote ni manispaa hata meya wa jiji anatoka ilala.
Nadhani hii ndo ilikua hotuba ya mwisho ya Jpm kwenye kuipa ilala pekee hadhi ya jiji.
 
Hii elimu yetu inatatizo.

Yaan Hadi Tanzania na utawala wake bado Kuna watu hawaelewi.
 
Nakusaidia Kidogo Hapa Upate Mwanga
Kuna Mji Maarufu Na Mkoa
Moshi ~Kilimanjaro
Bukoba ~Kagera
Musoma ~Mara
Songea ~Ruvuma
 
Kumbuka marehemu magu kabla hajafariki alivunja hicho kitu ilala pekee ndo ilibaki na hadhi ya jiji zingine zote ni manispaa hata meya wa jiji anatoka ilala.
Nadhani hii ndo ilikua hotuba ya mwisho ya Jpm kwenye kuipa ilala pekee hadhi ya jiji.
Ile kabla ya magufuli ilikuwa ya kukurupuka
 
Back
Top Bottom