moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Serikali yalifunga kanisa la EAGT Moshi kutokana na mgogoro wa Viongozi na Waumini

    Serikali ya Wilaya ya Moshi imelifunga kwa muda kanisa la Evangelist Assembles of God (E.A.G.T) Mawenzi lililopo Mtaa wa Vigae kutokana na mgogoro kati ya waumini na uongozi wa juu wa kanisa. Chanzo cha mgogoro kinadaiwa kuwa ni uongozi wa juu wa kanisa hilo kumuondoa mchungaji mwanzilishi wa...
  2. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Moshi sio kafara kwa sababu zifuatazo

    KAFARA NI NINI? Kafara NI kitu cha thamani kinacho tolewa na MTU Kwa Mungu au miungu Kwa sababu maalumu. SABABU ZA KUTOA KAFARA. Kafara hutolewa Kwa sababu mbalimbali. Kwa sababu ya muda na nafasi nitazielezea chache Kwa ufupi: 1.TO PROVE YOUR LOYALTY AND OBEDIENCE TO THE GOD OR god(s)...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mauaji Moshi: RC Mghwira asema utaratibu wa kukanyaga mafuta uliandaliwa vizuri ila vibaka walivamia kutokea nje na kusababisha maafa

    Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro amesema paliwekwa mabeseni ya mafuta katika mageti yote ila cha ajabu katika geti moja palitokea kundi la vijana kutoka nje ya uwanja na kulazimisha kuingia ndani kwa nguvu ndipo watu wakaanza kukanyagana. Akizungumza katika ibada ya kuwaaga marehemu mama Mghwira...
  4. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Watumishi wanafiki wanaoshangilia tukio la Moshi ni wivu na si mengineyo

    Nasoma page mbalimbali unaona watumishi wa kiroho na wengine wachache wakifurahia tukio la Moshi. Mbaya wengi wanalilia pesa za sadaka zinazokusanywa na Mwamposa. Niwaambie tu haya yote ni unafiki hakuna Makanisa yasiyotoza watu sadaka wala zaka na mkae kimya msiaibike Wengine mnaruhusu hata...
  5. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Mambo kadhaa ya kujiuliza katika kongamano la Moshi lililoua watu 20

    NAAMINI BADO WOTE TUNAAMINI MUNGU TUNAPOWEZA KUITA VIBANDA DINI NAWAZA YAFUATAYO 1))NANI ALIERUHUSU USAJILI WA HII VIBANDA DINI 2))KWENYE MKUTANO WA SIASA SIKUZOTE TUNAONA GARI ZA WAH NDUGU ZETU POLISI JE SHIDA IKO WAPI WASIONEAKNE KWENYE HIO MIKUTANO 3))NANI ALIETOA KIBALIA CHA KONGAMANO LA...
  6. Nsumba ntale tz

    JamiiForums Tanzania Moshi: Watu 20 wapoteza maisha kwa kukanyagana kwenye Ibada ya Mwamposa; Polisi wathibitisha kumshikilia

    Waumini 18 wa Dini ya Kikristo wamefariki dunia usiku huu mjini Moshi, wakati wakikanyagana kugombea kukanyaga mafuta ya upako katika kongamano la kidini la Mtume Boniface Mwamposa, DC wa Moshi Kippi Warioba amethibitisha Updates: 00:45 Idadi ya watu waliopoteza maisha kwa kukanyagana imefikia...
Back
Top Bottom