moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Moshi mweupe kesi ya Sabaya

    Arusha. Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai ole Sabaya na wenzake wawili leo wamefutiwa mashtaka katika kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha kisha kufunguliwa tena mashtaka hayo kosa moja likiongezeka. Wakili wa Serikali Mkuu, Tumaini Kweka aliileza mahakama hiyo kuwa...
  2. Mbatizaji Mkuu

    JamiiForums Tanzania Meya Raibu ataka kazi iendelee na ikamilike, Milioni 300 zakopeshwa Moshi

    MEYA RAIBU ATAKA KAZI IENDELEE NA IKAMILIKE Utekelezaji wa sheria na maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan umefanyika katika manispaa ya Moshi kwa kutoa mikopo yenye Tshs Milioni 302,904,000 kwa vikundi 133, vikujumuisha vikundi 91 vya Wanawake, 39 vya Vijana na vitatu 3 vya walemavu. Akiongea...
  3. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike ili kiwanda cha Kibo Match kifufuke?

    Katika product mbovu kutoka nchi ya Kenya ipo sokoni kwenye mzunguko kwa kiasi kikunwa basi ni Viberiti vyao vile vinaitwa Kasuku, aisee ni Product yenye quality mbovu sana! Unaweza tumia njiti zake mda unawasha ile baruti ikapuputika, mara vinawaka kwa kuungua havitoi moto, mara kisiwake...
  4. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Kwanini watz wenye uelewa duni wana dhana mbaya dhidi ya watanzania wa kaskazini?

    Kanda ya kaskazini ina makabila mengi sana lakini dhana hii inalenga mikoa mitatu tu Kilimanjaro, Arusha na Manyara lakini kabila lengwa ni Wachagga. Watanzania wasiojielewa wamedai Wachagga ni wezi, majambazi, wabaguzi na wakabila je ni kweli? Katika makabila yaliosambaa sana Tanzania...
  5. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ni gereji gani mzuri Moshi kwa kunyosha magari

    Wakuu igweee Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
  6. GeoMex

    JamiiForums Tanzania Meya wa Moshi aagiza Sh3.2 milioni za kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza Sh3.2 milioni zilizotengwa na halmashauri ya manispaa hiyo kwa ajili ya kununua bastola ya mkurugenzi kurejeshwa. Raibu ametoa tamko hilo leo Ijumaa Mei 28, 2021 katika kikao cha baraza la madiwani kilichofanyika katika ofisi za mkuu wa Mkoa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Naomba picha ya Stendi kuu ya mabasi Moshi nione kama ina tofauti na ile ya Bukoba tujiridhishe na CHADEMA!

    Sina mambo mengi naomba bwashee yoyote mwenye picha ya stendi kuu ya mabasi pale Moshi aitupie hapa. Manispaa ya Moshi kwa muda mrefu imeongozwa na Chadema nataka kujiridhisha na ubunifu wao. Hapa Iringa Chadema walijitahidi wakatujengea Stendi ya kisasa pale Igumbilo ila sijajua kule Mbeya kwa...
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: TAKUKURU yashinda kesi dhidi ya Watuhumiwa wawili walioshitakiwa kumhonga OCD Moshi

  9. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Laptop computers 10 zaibwa shule ya sekondari Moshi Technical - Mkoa wa Kilimanjaro

    Kumekuwepo na usiri mkubwa , kwenye sakata la wizi wa laptop computers 10 uliofanyika shule ya Moshi Technical kule kilimanjaro, ambapo shule hii Ina kitengo maalumu cha wanafunzi wenye matatizo ya kutokusikia vizuri. Hii ni mara ya pili kufanyika kwa wizi huo ndani ya mwaka mmoja. Kimsingi...
  10. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania Kwanini Moshi kuna Bajaji nyingi kuliko Daladala?

    Ukienda Moshi sasa hivi Bajaj ni kama zimepamba mji mzima, halafu zinasimama popote kuchukua abiria. Hii imetokana na nini au imeekaaje kwa wajuaji?
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: Waendesha bodaboda wamwaga chakula msibani, wadai marehemu alikuwa ananyimwa msosi

    Waendesha bodaboda wa kituo cha Kisangiro kata ya Kilema Kaskazini wilayani Moshi Mkoa wa Kilimanjaro wamevamia msiba wa Lenard Abel (20) na kumwaga chakula na pombe kwa madai kuwa marehemu alikuwa hapewi chakula alipokuwa hai. Walifika katika msiba huo saa 9 alasiri jana Jumatatu Mei 3, 2021...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Meya aagiza mabosi Moshi klabu kukamatwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamatwa kwa wajumbe wa bodi ya wadhamini ya kiwanja cha gofu cha klabu ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro na kuwekwa ndani kwa madai ya kutolipa Sh26 milioni za kodi ya ardhi tangu mwaka 2013. Pia, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  13. Kibosho1

    JamiiForums Tanzania Mji mdogo wa Himo usipopewa hadhi ya Halmashauri chini ya Rais Samia wananchi watamkumbuka sana Hayati Magufuli

    Kupitia mgombea wa ubunge wa Vunjo Dkt. Charles Kimei aliahidi kuishawishi serikali iweze kuufanya mji mdogo wa Himo kuwa halmashauri ili kupanua mji huo unaokuwa kwa kasi na pia itafanya maendeleo kuja kwa haraka sana sababu baadhi ya huduma wananchi wanalazimika kwenda mpaka Moshi (manispaa)...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mstahiki Meya wa Halmashauri ya manispaa ya Moshi, Juma Raibu Juma

    Mh. Juma Raibu Juma, Uliahidi kushirikiana na Madiwani wote pamoja na Watendaji wa Halmashauri katika kufanya kazi kwa bidii , weledi na kuzingatia maadili ili kuharakisha Maendeleo ya Manispaa ya Moshi na kutekeleza Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya Mwaka 2020-2025. Mimi nikiwa...
  15. F

    JamiiForums Tanzania Meya Manispaa ya Moshi adai kuhongwa Shilingi milioni 5

    Menya wa Manispaa ya moshi Juma Raibu, ameibu madai mazito dhidi ya Kampuni ya Kilimanjaro Bus akidai kampuni hiyo ilijaribu kumhonga kiasi cha shilinig Milioni tano ili aisitishe mpango wake wak utaka kuvunjwa kwa sehemu ya uzio uliowekwa kweney hotel ya Kampuni hiyo iliyop katikati ya mji wa...
  16. mjusilizard

    JamiiForums Tanzania Gari kutoa moshi mweupe na kula mafuta sana ikiwa silensa ni shida ya nini?

    Salaam wakuu, Nimeona changamoto kwenye gari manual ya petrol ambapo ikiwashwa inatoa moshi mweupe kwa bomba la moshi na pia wakati huo huo mafuta yanalika sana, inaweza kuwa ni shida ya kwenye nini kabla sijawapelekea mafundi?
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kanda ya Kaskazini si Moshi kwa wachaga tu

    Imagine wewe ni laiser/Msuya/Mchome/Sumaye halafu unasikia mtu analeta mada ya Nothern zone huku akifikiri ukiongelea Nothern zone unaongelea Moshi/Wachaga. Kuna baadhi ya watu mnawakuza sana wachaga kila zinapoletwa mada za Nothern zone ilihali ni sehemu tu ya watu wa kaskazini. Ukiongelea...
  18. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Meya Moshi awakabidhi wazabuni wanane kwa TAKUKURU

    Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamtwa kwa wazabuni wanane wanaodaiwa kula fedha za Halmashauri zaidi ya Sh47 milioni pamoja na viongozi wa vikundi 45 vya asasi za kuweka na kukopa (Vicoba). Viongozi hao wanadaiwa kuwa wameshindwa kurejesha zaidi ya Sh94 milioni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa hospitali bora ya uzazi kwa Moshi

    Naomba anayefahamu hospital nzuri kwa mambo ya uzazi. Kwa mfano kama mtu anahitaji kwenda kupima ubora wa mbegu za kiume.
  20. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini

    Kwa siku tano mfululizo maeneo haya umeme ifikapo jioni unakatwana bila taarifa kwa sisi wateja labda Kama tangazo Hilo sijalisikia. Maeneo ya ubungo Mandela Rd kuanzia external, maziwa, hadi darajani unaotazamana na rivaside. Pamoja na kuwa jirani kabisa na mitambo ya umeme ya ubungo...
Back
Top Bottom