Leo ni siku ya kumpumzisha aliyekatwa shingo na "wasiojulikana"

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,795
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.

Ikumbukwe kuwa kuna uzi uliletwa humu juzi kuwa Moshi, Kilimanjaro kata ya Mwika Uuwo kuna mama alikatwa shingo hadi kufa na watu wasiojulikana na jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro akasema chanzo cha kifo ni wivu wa kimapenzi basi leo ndio tufamuhifadhi kwenye nyumba yake ya milele.

R.I.P shangazi inauma sana tunamwachia Mungu ndie hakimu wa mwisho.

Aunt Moshi.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umekuwepo mtindo wa watu kujiliwaza shida zao kwa ku-post picha za watu waliofariki. Unakuta mtu hana uhusiano kabisa na marehemu lakini katika njia ya kujiliwaza anapopata picha yake ana-share kwenye social media na kujifanya ni ndugu yake. Huu ni ugonjwa wa akili.
 
ukiona hivyo ujue amekosa cha kufanya mtu uliye busy huwezi shobokea msima wa mtu asiyekuhusu bila ruksa ya familia yake
 
Umekuwepo mtindo wa watu kujiliwaza shida zao kwa ku-post picha za watu waliofariki. Unakuta mtu hana uhusiano kabisa na marehemu lakini katika njia ya kujiliwaza anapopata picha yake ana-share kwenye social media na kujifanya ni ndugu yake. Huu ni ugonjwa wa akili.
Labda wa Ivo wanataka rambirambi
 
Lala panapo stahili shangazi
kwa vile swala lipo polisi ningekuuliza maswali kadhaa
 
Back
Top Bottom