FedEx wana tawi Moshi?

KeXMO

Member
Jul 25, 2021
20
0
Napenda kufahamu kama FedEx wana tawi lao Moshi? Na nawezaje agiza mzigo kutumia FedEx na nikapata mzigo wangu?

Naomba msaada kwa wazoefu
 
Nacho elewa,hata kama hawana tawi Moshi, mzigo wako ukiagizwa lazima Wana mechanism za kukufikishia mzigo wako,wanaweza wakukuletea wenyewe au wakuutma kwa njia nyingine...Mimi nlitmia UPS nkaupata
 
Wana tawi mkuu.. mwanzo lilikua pale Kahawa house lakin kwa sasa wanehamishia ofisi boma road karibu na ofisi za uhamiaji. Opposite kabisa na jengo la YWCA
 
Agiza tuu kama kule wamekubali kupokea mzigo wewe wape.
Watafanya namna yoyote uupate
 
Nacho elewa,hata kama hawana tawi Moshi, mzigo wako ukiagizwa lazima Wana mechanism za kukufikishia mzigo wako,wanaweza wakukuletea wenyewe au wakuutma kwa njia nyingine...Mimi nlitmia UPS nkaupata
boss nmekupata na vp gharama za ups. Ziko vp kwa uzoefu wako
 
Wana tawi mkuu.. mwanzo lilikua pale Kahawa house lakin kwa sasa wanehamishia ofisi boma road karibu na ofisi za uhamiaji. Opposite kabisa na jengo la YWCA
Nashukuru kiongozi nitajaribu kufika niweze kupata information Zaid
Blessed bro!!
 
Back
Top Bottom