Anayesema Moshi pagumu kwa wageni, ugumu wake ni nini?

King Loto

JF-Expert Member
Nov 28, 2018
1,573
1,344
Wanajamii, Salam Alleykum na Bwana Yesu asifiwe sana.

Hivi mbona wasambaa na watu wa Tanga wengi wako hapa mbuyuni, soko manyema, Dar Street, mtaa wa Ismail tena wasomali kama wote, TPC kuna hadi Wanyaki wa Mbeya japo kule ni Moshi Vijijini, watumishi wengi hapa Moshi sasa hivi ni watu wa kanda maalumu, watu wa Singapore (Singida) wapo wengi tu tena wamejaa utadhani wazawa Ghala street kuna wasomali na wahindi, hizi Shirinjiko na Hindu temple zipo tu za kutosha, nowadays kabila zote zipo.

Sasa wale wanaosema kuwa Wachagga wanaishi na nyie kwa ugumu nawashangaa sana tena sana.

Kuna watu nawasikia nawashangaa sana eti sijui nini na nini Moshi. Mara yule jamaa alisema moshi mmechelewa sana, sasa bila wewe tungeweza vipi Baba yetu.
 
Huwezi kuona ajira zikiwepo na biashara zitakuwepo, amna aliyekatazwa kuinvest there's nothing like monopoly system 😅
Kuutetea ukabila kwa kujidai haupo ni kazi ngumu pia.

Mgeni ni rahisi kutoboa Moshi ukiwa unafanya biashara haramu na ku cover kwa biashara halali ambayo itakuwa haina wateja.

Mchagga hawezi kuliacha duka la Mchagga mwenzie aje kununua kwako Mmatengo
 
Kuutetea ukabila kwa kujidai haupo ni kazi ngumu pia.

Mgeni ni rahisi kutoboa Moshi ukiwa unafanya biashara haramu na ku cover kwa biashara halali ambayo itakuwa haina wateja.

Mchagga hawezi kuliacha duka la Mchagga mwenzie aje kununua kwako Mmatengo
Mbona kuna Wapare, Wasambaa na Wanyaturu wengi tu nawajua wana maduka Moshi na fremu zao ni 300k.
 
Sehemu ambayo vingozi wa srikani wanashirikiana na majambazi kuvamia mahoteli usiku, hapafai kulala. Fanya kazi mchana, usiku ondoka nenda Arusha. Maana yamkini, ukawa unatuhumiwa kuwa ni mpinzani wa kisiasa, usionekane asubuhi umeenda wapi.









Ni hatari sana kulala Moshi.
 
Hizo ni cover tu mkuu
Mjibu simple tu hao ni wenyeji, sio wageni wakuja hao wengi wamezaliwa na kukulia hapo hapo. Na pia hao anaowataja na maeneo ni hapo kati kati ya mji ambapo wanakuja watu mchanganyiko kufuata mahitaji ila akisogee majengo, kiboriloni, soweto, rau, kcmc,kibosho,shanty, mbokomu, mfumuni n.k ambapo ndipo kwenye wakazi aone hao anaowataja wanafanya biashara vipi.

Moshi kwa mgeni kibiashara pagumu sana sio utani, labda uende na mtaji mkubwa na biashara tofauti, kidoogo utapata unafuu.
 
Sehemu ambayo vingozi wa srikani wanashirikiana na majambazi kuvamia mahoteli usiku, hapafai kulala. Fanya kazi mchana, usiku ondoka nenda Arusha. Maana yamkini, ukawa unatuhumiwa kuwa ni mpinzani wa kisiasa, usionekane asubuhi umeenda wapi...
Arusha ni pabaya zaidi hizi ni criminals kama kwingineko.
 
Mjibu simple tu hao ni wenyeji, sio wageni wakuja hao wengi wamezaliwa na kukulia hapo hapo. Na pia hao anaowataja na maeneo ni hapo kati kati ya mji ambapo wanakuja watu mchanganyiko kufuata mahitaji ila akisogee majengo, kiboriloni, soweto....
Daah karibu mi nitakuwa mwenyeji wako
 
Moshi ni pagumu kuanza biashara. Ila watu wakiisha kufahamu na ukaunda urafiki nao biashara inakuwa ni nzuri. Watu wanajenga mazoea ya kununua kitu kwa fulani. Hivyo mpaka ujenge jina na kuaminika. Na utasikia watu wakimtaja mtu zaidi kuliko jina la biashara yake.

Hivyo kama ndio unaanza inabidi uwe mvumilivu na utoe huduma ya uhakika kufikia kuaminiwa na kutambulika.
 
Moshi ni pagumu kuanza biashara. Ila watu wakiisha kufahamu na ukaunda urafiki nao biashara inakuwa ni nzuri. Watu wanajenga mazoea ya kununua kitu kwa fulani. Hivyo mpaka ujenge jina na kuaminika. Na utasikia watu wakimtaja mtu zaidi kuliko jina la biashara yake.

Hivyo kama ndio unaanza inabidi uwe mvumilivu na utoe huduma ya uhakika kufikia kuaminiwa na kutambulika.
Ndiyo kulivo
 
Kuutetea ukabila kwa kujidai haupo ni kazi ngumu pia. Mgeni ni rahisi kutoboa Moshi ukiwa unafanya biashara haramu na ku cover kwa biashara halali ambayo itakuwa haina wateja. Mchagga hawezi kuliacha duka la Mchagga mwenzie aje kununua kwako Mmatengo
Wana umoja sana hao jamaa tena wale wakongwe huwa wanaunda cartels wanaweza hata kukufanyia figisu wakakuchoma TRA au wakutumie maaskari tu waje kukusumbua.
 
Back
Top Bottom