moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

    Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani. Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto...
  2. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Iran kunazidi kufuka moshi, kamanda adungwa kisu na kufa kwenye maandamano

    Raia wa Iran wamechoka na sheria za kidini za kumzuia mwanamke asionekane nywele, hii ni baada ya mdada mmoja kuuawa kisa kaonyesha sehemu ndogo tu ya nywele zake. Japo Waajemi au Persians wana akili, IQ zao huwa zimewazidi Waarabu na ndio maana wamefikia mpaka kwenye hatua za kutaka...
  3. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namtafuta mwanadada anaitwa Neema, wa pale Moshi

    Huyu mwanadada tulikutana naye mwaka 2007, nikiwa naishi old moshi, na yeye akiishi kwao mtaa wa rau Moshi. Tulikuwa na mahusiano, kipindi hicho na nilitegemea awe ubavu wangu wa kushoto, ila kutokana na kupotezana, ilishindikana. Alisoma, majengo sekondari Moshi; mrefu wa wastani na ulikuwa...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kigogo ccm moshi mjini matatani

    WAKATI uchanguzi ndani ya chama cha mapinduzi ccm ukitarajiwa kufanyika wiki ijayo kwa ngazi ya wilaya,katibu wa Itikadi na uenezi wa chama hicho manispaa ya moshi,seleman Aman anazongwa na mikasa mbali mbali ikiwamo kudaiwa kuendesha biashara ya vinywaji baridi na kisha kuondoka kwenye nyumba...
  5. Kisambusa

    JamiiForums Tanzania LAAC yaagiza ukaguzi maalum stendi mpya ya Moshi Manispaa

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (LAAC) imemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum kwenye ujenzi wa stendi ya Kimataifa iliyopo kata ya Mfumuni, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro baada ya maelezo ya mradi kujikanganya. Makamu Mwenyekiti wa...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Soko la pumba Moshi na Arusha?

    Habari za majukumu ndugu zangu, Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi. Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora. Mawasiliano zaidi 0658644485
  7. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania AMUZZ, hii bar ambayo ipo Moshi, Kilimanjaro imenikosha sijawai kuona shangwe kama hili

    Kumbe Moshi, Kilimanjaro ndio kumewaka namna hii hakika hakuna mpinzani nimejaribu kutupia hapa vibweka vyake uploading imeshindikana ni hatari sana labda mnaweza kuchungulia insta, mimi ni mpenzi wa viwanja lakini cha namna. hata vilivyopo hapa Dar, havikamati hili shangwe! WASALAAM.
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Moshi: Mahakama yamuachia huru Wendy Mrema aliyetuhumiwa kumuua mama yake mzazi na kumzika

    Wendi Mrema, yule mwanadada toka Moshi aliyetuhumiwa kumuua mama yake naye Kaachiwa huru. Taarifa zaidi inafuata. ----- Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imemuachia huru Wendi Mrema aliyekuwa akituhumiwa kumuua mama yake mzazi. Uamuzi huo umetolewa na Hakimu, Naomi Mwirinde, leo Agosti 19...
  9. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Nini kinaendelea kwa Makalani wa Moshi vijijini siku 8 kabla ya zoezi la sensa kufanyia? Kamishina wa Sensa Taifa Anna Makinda uje fasta

    Sijui kinachosemwa ni kweli au la? Kwanza tangu zoezi lianze liligubikwa na malalamiko mengi sana Mfano Makalani waliokuwa wakifunzwa walilalamikia kupikiwa chakula kibichi uku wakikatwa shilingi elf 5000 Kila siku kwa ajili ya kununua chakula aliyekuwa anapika wanafunzi walipo lalamika...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Anasubiria walisahau Ili ajiuzie ndio maana amelificha kichakani

    Wajua kwa vijana wa hawawezi amini ya kuwa wizi katika taasisi za umma hasa ubadhilifu wa Mali za umma ilikuwa ni miongoni mwa maadili ya watumishi wa umma Ili waajiriwe. Yaani kuna kipindi Ili upate ajira serikali I ulitakiwa kusema wazi yakiuwa wewe upo tayari kuwa kibaka ndo unapata ajira...
  11. Nick J Vuitton

    JamiiForums Tanzania Wahudumu wa Baa wanahitajika Moshi

    Wahudum wa bar wanahitajika haraka umri miaka 18-30 awe na uzoefu na kazi tajwa msafi na mwenye kauli nzuri kwa wateja. Location Moshi Njia Panda. Kwa wahitaji piga 0685940663
  12. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Technical Operator (Mwanza and Moshi) at Diageo

    Job Description: Please indicate your preferred location (Moshi or Mwanza) on your application About Us Diageo is the world’s leading premium drinks company with an outstanding collection of brands, such as Johnnie Walker, Smirnoff, Baileys, Captain Morgan, Tanqueray and Guinness. Our purpose –...
  13. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Mgogoro shamba la mwekezaji Moshi watua Mahakamani

    Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth Stegmaier ambaye ni Raia wa Ujerumani na chama cha ushirika cha Uduru umeingia sura mpya baada ya pande zote mbili za mgogoro huo kukimbilia mahakamani. ======= Moshi. Mgogoro baina ya mwekezaji katika shamba la Makoa, Elizabeth...
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Picha Kutoka Maktaba ya Ally Sykes: Vijana wa Nyakati Moshi 1955

    Katika picha hiyo hapo chini aliye hai kadri ya ufahamu wangu ni Mrs. Frank Humplink. Katika watu hawa saba mimi nimebahatika kukutana na wanne: Mrs. Humplink nimekuwa nikienda nyumbani kwake Lushoto wakati wa uhai wa mumewe, Frank Humplink, Peter Colmore nimezungumza na yeye nyumbani kwake...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Ramadhani Kingai, sasa urudi Moshi CCP, urudie somo la PGO

    Ramadhani Kingai sasa ndio DCI wetu! Kama alipitia somo la GPO(General Police Orders) kule Moshi CCP(Chuo Cha Polisi) , basi ni wazi kuwa hakufaulu lakini akaingia kazini hivyo hivyo. Nasema hivi kutokana na track record yake , hasa katika kesi iliyomuumbua kitaaluma, kesi ya Ugaidi wa Mbowe...
  16. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Miundombinu ya Arusha na Moshi inaleta aibu katika soko zima la utalii na uwekezaji

    Katika kipindi hichi cha mwezi wa sita hadi mwishoni mwa mwaka tumeshuhudia kabisa idadi ya watalii ilivo kubwa na inazidi ikiongezeka kadri siku zinavyozidi kwenda katika miji hii miwili ya kitalii. Ni aibu kwa mji wa kitalii kama Arusha na Moshi kuwa na aina ya masoko na vituo vya mabasi...
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania KWELI Juma Raibu Meya aliyevuliwa Madaraka Moshi akanusha madai ya kung'oa miundombinu aliyoiweka alipokuwa madarakani

    Hii ndio taarifa mpya iliyotufikia kwenye Jumatatu hii ya Pasaka , Kwamba Mheshimiwa Juma Raibu aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro , kabla ya kung'olewa hivi karibuni , ameanza kampeni kabambe ya kuondoa miundo mbinu yote aliyojitolea akiwa madarakani . Wakati wa madaraka...
  18. kyagata

    JamiiForums Tanzania Ataweza kuishi Moshi kwa salary ya laki 8?

    Kuna jamaa yangu kapata kazi huko Moshi mkoani Kilimanjaro, salary ni laki 8 baada ya makato yote. Je ataweza kuishi hapo Moshi kwa huo mshahara, maana anasita kwenda kumwaga wino?
  19. P

    JamiiForums Tanzania Moshi Co-operative University (MoCU)-special thread

    Uzi special kwaajili ya chuo pendwa Cha ushirika moshi,tuchangie uzuri ,udhaifu ,kozi zitolewazo,wahadhiri waliopo namna wanavotoa huduma kwa wanafunzi nk.Karibuni🙏
  20. Kelela

    JamiiForums Tanzania Changamoto: Jinsi ya Ku-apply Chuo cha Upolisi Moshi

    Habari za leo WanaJF, Rejea, kichwa cha uzi hapo juu. Napata changamoto namna ya kutuma maombi katika tovuti ya Chuo cha Upolisi Moshi TPS MOSHI – NIDHAMU UAMINIFU NA HAKI maana kwenye website yao button ya APPLY NOW haifanyi kazi. Kama kuna mtu anajua direct link ya kuapply naomba anisaidie.
Back
Top Bottom