Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka kwa Moshi wa Kupikia

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,352
8,033
Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani.

Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto kuzaliwa Njiti na Mimba Kuharibika.

Amesema kutumia saa moja kwenye jiko lenye moshi ni sawa na kuvuta sigara 300 ambapo ukimpima mwanamke wa Kijijini kwa X-Ray ni sawa na mtu aliyevuta Sigara muda mrefu, ule Moshi ambao ni sumu unaofanya wadudu wasikae jikoni ndio unaingia kwenye mapafu.

=============================

WASTANI wa Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia.

Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana jijini Dodoma, wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya nishati mbadala nyumbani.

Makamba ambaye yuko nje ya nchi kikazi, alitoa ujumbe huo mbao ulirekidiwa kabla ya kusafiri.

“Nilitamani kuhudhuria semina hii, lakini nimepata safari niko nje ya nchi, lakini kabla sijaondoka nilisema nitaacha rekodi ya ujumbe wangu,” alisema.

Alisema kuwa wastani wa Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia kwa kuugua magonjwa ya mfumo wa hewa.

Alisema matumizi ya nishati mbadala yataokoa maisha ya kinamama na wote wanaotumia kuni.

“Saa moja kwenye jiko lenye moshi ni sawa na kuvuta sigara 300, ukimpima mwanamke wa Kijijini kwa X-ray ni kama mtu aliyevuta sigara muda mrefu, ule moshi ambao ni sumu unaofanya hata wadudu wasikae jikoni ndio unaingia kwenye mapafu,” alisema.

Alisema kuwa hiyo inonesha wanawake Tanzania wanameza moshi unaowaua taratibu.

” Madhara mengine ni watoto kuzaliwa njiti na mimba zinazotoka, ule moshi wa kupikia madhara yake hayazunguzwi sana, tunatakiwa kuchukua hatua. zinazostahili katika kumkomboa na kumsaidia mwanamke,” alisema.

Naibu Spika, Mussa Zungu alisema kuwa, matumizi ya kuni yamekuwa na madhara makubwa.

“Mlima Kilimanjaro unapoteza barafu kutokana na miti kukatwa, milima ikiishiwa barafu hakutakuwa na utalii tena,” alisema.

Mkurugenzi wa Masoko na Uendelezaji wa Teknolojia, Mhandisi Advera Mwijage, alisema kuwa wanahamasisha matumizi ya nishati vijijini.

HABARI LEO
 
Wastani wa Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia.

Waziri wa Nishati, January Makamba alisema hayo jijini Dodoma, wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Wabunge Wanawake kuhusu matumizi ya nishati mbadala nyumbani.

Makamba ambaye yuko nje ya nchi kikazi, alitoa ujumbe huo ambao ulirekodiwa kabla ya kusafiri.

Chanzo: Habari Leo
 
Akili matope wabunge wanawake wanapikia kuni? Ameshindwa kujajengea uwezo wananchi vijijini anawajengea wabunge?!
 
Waziri wa Nishati January Makamba ametoa takwimu hizo wakati wa Semina ya Kuwajengea Uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya Nishati Mbadala Nyumbani.

Waziri Makamba ametoa taarifa hiyo akiwa nje ya nchi ambapo ametaja madhara mengine yanayosababishwa na Moshi wa Kupikia kuwa ni Watoto kuzaliwa Njiti na Mimba Kuharibika.

Amesema kutumia saa moja kwenye jiko lenye moshi ni sawa na kuvuta sigara 300 ambapo ukimpima mwanamke wa Kijijini kwa X-Ray ni sawa na mtu aliyevuta Sigara muda mrefu, ule Moshi ambao ni sumu unaofanya wadudu wasikae jikoni ndio unaingia kwenye mapafu.

=============================

WASTANI wa Watanzania 33,000 hufariki kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia.

Waziri wa Nishati January Makamba alisema hayo jana jijini Dodoma, wakati wa semina ya kuwajengea uwezo Wabunge wanawake kuhusu matumizi ya nishati mbadala nyumbani.

Makamba ambaye yuko nje ya nchi kikazi, alitoa ujumbe huo mbao ulirekidiwa kabla ya kusafiri.

“Nilitamani kuhudhuria semina hii, lakini nimepata safari niko nje ya nchi, lakini kabla sijaondoka nilisema nitaacha rekodi ya ujumbe wangu,” alisema.

Alisema kuwa wastani wa Watanzania 33,000 wanakufa kila mwaka, kutokana na moshi wa kupikia kwa kuugua magonjwa ya mfumo wa hewa.

Alisema matumizi ya nishati mbadala yataokoa maisha ya kinamama na wote wanaotumia kuni.

“Saa moja kwenye jiko lenye moshi ni sawa na kuvuta sigara 300, ukimpima mwanamke wa Kijijini kwa X-ray ni kama mtu aliyevuta sigara muda mrefu, ule moshi ambao ni sumu unaofanya hata wadudu wasikae jikoni ndio unaingia kwenye mapafu,” alisema.

Alisema kuwa hiyo inonesha wanawake Tanzania wanameza moshi unaowaua taratibu.

” Madhara mengine ni watoto kuzaliwa njiti na mimba zinazotoka, ule moshi wa kupikia madhara yake hayazunguzwi sana, tunatakiwa kuchukua hatua. zinazostahili katika kumkomboa na kumsaidia mwanamke,” alisema.

Naibu Spika, Mussa Zungu alisema kuwa, matumizi ya kuni yamekuwa na madhara makubwa.

“Mlima Kilimanjaro unapoteza barafu kutokana na miti kukatwa, milima ikiishiwa barafu hakutakuwa na utalii tena,” alisema.

Mkurugenzi wa Masoko na Uendelezaji wa Teknolojia, Mhandisi Advera Mwijage, alisema kuwa wanahamasisha matumizi ya nishati vijijini.

HABARI LEO
watuelimishe pia kuhusu madhara ya gesi tulinganishe tofauti.
 
Akili matope wabunge wanawake wanapikia kuni? Ameshindwa kujajengea uwezo wananchi vijijini anawajengea wabunge?!
Wanapikia hata mikaa yenye Moshi mkubwa, hii kitu nimependa ukianza mjini kutoa elimu ni rahisi kuwafikia watu wa kijijini, huku mjini Kuna watu wanaonekana mambo safi lakini hawana elimu hata ya lishe Bora, pia Kuna sehemu zinazopika chakula kingi bado zinapikia Kuni, mfano mashuleni hata ni shule ya mbunge utakuta zinapikia Kuni, mahospital unakuta wanapikia Kuni, vyakula vinavyopikwa kwaajili ya misiba na sherehe wanapikia Kuni kwa Imani ya kuokoa gharama hivyo wakijua hayo madhara na majiko makubwa ya gesi na umeme vikiuzwa gharama ya chini huduma hizo zitatumika mjini na vijijini itafikishwa hiyo elimu na huduma na wao hata wakija mjini watakuta mabadiliko kwa wote siyo waje mjini hospital na kwa ndugu zao wakute Kuni zinatumika, itakuwa ngumu kwao kupokea mabadiliko.
 
Waziri kuwaga mkweli mbona bibi yangu hajafa saiz anamiaka 93
Ila anapika kwa mateso hivi kwanini mnapenda shida? Na kwanini hampendi vitu vizuri? Sasa hizo Kuni unaweza kupikia kwenye nyumba ya tiles bila kibanda cha udongo au nje kwenye udongo? Sasa vijiji vinataka vigeuke kuwa sehemu zenye maendeleo hiyo Moshi kama wavuta sigara inatakiwa ziondoke Ili mazingira ya Kila mtu kuishi yawe yanaokoa muda na salama, hivi unajua kuosha vyombo vilivyopikia Kuni? Sasa bibi yako akipata jiko la gesi au umeme huoni utampunguzia maisha magumu ya kupambana na Moshi.
 
  • Kwa akili yako unadhani watu hawajui mambo mazuri?
  • Ukiwasikia viongozi wananavyoongelea maswaibu ya watu wa vijijini utadhani mtu anaongelea mambo ya nje ya nchi.
 
HAPO KUNA MOJA KATIKA MAWILI AU YOTE;-
1. KUNA MFANYABIASHARA WA GESI ANATAKA ATANUE SOKO... KWAHIYO HAO AKINA MAKAMBA NA ZUNGU WASHAPATA CHAO.

2. KODI KWENYE MAUZO YA GESI HAITOSHI... KWAHIYO WANATAKA MATUMIZI YAONGEZEKE... WAPATE KODI YA KUTOSHA...

HUYU ZUNGU HUYU... NI MNYAMA ZAIDI YA SHAYTWAAN... ANA TAMAA SANA...
 
Saa moja kwenye jiko lenye moshi ni sawa na kuvuta sigara 300, ukimpima mwanamke wa Kijijini kwa X-ray ni kama mtu aliyevuta sigara muda mrefu, ule moshi ambao ni sumu unaofanya hata wadudu wasikae jikoni ndio unaingia kwenye mapafu,” alisema.
January unazunguka as if una mapenzi ya dhati kwa watanzania, ipo siku utaropoka hata ndoto za mchana kwamba u r branding Taifa gas na si vinginevyo!!
 
Ila anapika kwa mateso hivi kwanini mnapenda shida? Na kwanini hampendi vitu vizuri? Sasa hizo Kuni unaweza kupikia kwenye nyumba ya tiles bila kibanda cha udongo au nje kwenye udongo? Sasa vijiji vinataka vigeuke kuwa sehemu zenye maendeleo hiyo Moshi kama wavuta sigara inatakiwa ziondoke Ili mazingira ya Kila mtu kuishi yawe yanaokoa muda na salama, hivi unajua kuosha vyombo vilivyopikia Kuni? Sasa bibi yako akipata jiko la gesi au umeme huoni utampunguzia maisha magumu ya kupambana na Moshi.
Wewe kutumia gesi au umeme kupikia uwezo huo unao?
 
Mna bahati nzuri sana muliozaliwa katika familia za kishua, kuni kwangu na ukoo wetu ndio kila kitu. Kama na wewe unayaelewa maisha ya kuni tujuane
Msiwe mnatengeneza mafiga ya majiko ndani na wala msipikie ndani msije mkalala na moshi

Lasivyo mtazid kuteketea ndugu zangu wasukuma
 
Back
Top Bottom