Nalaani vikali DC MOSHI kukamata mafundi ujenzi site kisa wanajenga nyumba isiyokuwa na kibali cha ujenzi

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,284
21,403
Pamoja na ukiritimba wa vibali vya ujenzi kuwa bei juu ukiambata na mazingira ya rushwa kuanzia wapimaji katika halimashauri nyingi Tanzania!

Lakini haiondoi haki na wajibu wa kila mtu!

Taratibu za ujenzi katika halmashauri zote zinataka mtu yoyote anayehitaji kufanya ujenzi Tanzania lazima;

1. Awe na michoro iliyoidhinishwa kutoka mchoraji aliyesajiliwa (registered architecture) gharama inaweza kua laki 3 hadi 1mil au zaidi
2. Malipo ya kibali cha ujenzi kila manispaa wana bei zake wanachaji kwa square meter kulingana na ukubwa wa eneo linalojengwa (building area) ambapo square mita moja inaweza kuwa (elf 2~10 au zai) hivyo kwa eneo la sq 400 hivyo unaweza kulipia vibali vya ujenzi laki nane au 1mil ili wakupatie building permit

3. Mbali na pesa hiyo bado kuna pesa ya maombi ambayo huwa fixed inaweza kuwa elfu 50 au zaidi etc

Anyway nisirefushe mada! Yote kwa yote hata kama sheria ni ngumu wamiliki wanalazimika kuzifuata kabla ya kujenga!

Mkuu wa wilaya wakiongozana na polisi wamekamata mafundi waliokuwa wakijenga kwenye nyumba iliyosimamishwa ujenzi kwa kutokuwa na vibali!

Swali! Anaetakiwa kukamatwa ni fundi au mmiliki?

What if kama mmiliki wa jengo aliwadanganya mafundi kwamba kila kitu kipo kashakamilisha?

Ni fundi gani na njaa hii atathubutu kumuuliza bosi vibali wakati kazi zenyewe za kusotea?

Unaanzaje kukamata mafundi wabangaizaji innocent na kuwasondeka kwenye difenda wakati jengo linamwenyewe, jengo lipo, mwenyekiti wa mtaa yupo, mjumbe yupo etc!

Cha ajabu kila fundi kaambiwa alipe laki nne ili aachiwe, wapo 15!

Kosa lao kwenda kujenga nyumba pasipo kumhoji bosi wao kibali cha ujenzi!

Waziri Tamisemi mh Bashungwa, na Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu,kazi, Ajira vijana wazee na wenye ulemavu shughulikieni mapema jambo hilo, DC na mkurugenzi hawana hekima!

Rais ikimpendeza fukuza hao ili nao watoke ofisini waone maisha yalivyo magumu kwa wabeba zege

AJIRA ngumu

Pia unaweza kusoma mada hii
 
Halmashauri zingine jengo likiandikwa STOP kutokana na vibali,inatakiwa mafundi wamuombe mwenye jengo copy ya stakabadhi/bank slip ya malipo ya vibali na wawe nayo site muda wote.

BTW ni Registered architect siyo architecture!
 
Yaani vibarua athubutu kumuomba kibali boss!
Sijui kama maisha ya site unayajua wewe!
Kazi adimu mtu anapata wapi nguvu hiyo! Akijibiwa hayakuhusu fundi atafanyaje? Vaeni maisha ya hao vijana ndipo mtajua wanaonewa sana!
Anatakiwa kuombwa kibali ni mwenye jengo
 
Mambo ya ajabu kabisa

Ova
Badala wajiulize kwanini watu hawachukui vibari waangalie kama kuna changamoto, wao wanatumia mabavu!
Wangeshusha bei za vibari kila mtu angeomba kibari!
Kwanza kibari cha ujenzi hakitakiwi hata kuzidi elfu hamsini!
Kwasababu mtu huyohuyo analipia pango la ardhi, pango la nyumba n.k

Kibari cha ujenzi ilitakiwa kuwa bonus! Kuliko ilivyo sasa!
Gharama za vibari kuanzia michoro hadi malipo pesa yake unapata tofari elf 2 ambayo inatosha kujenga boma zima!
Ninani atataman kuomba kibari kwa mtindo huo?
 
Hi nchi wananchi Kama wanakomolewa
 
Huu ujinga niliwahi kumshikia panga Mtu wa ardhi na hakurudi tena. Nimejichanga nimenunua kiwanja Kwa kudunduliza, nimetafuta ramani Kwa wachoraji wanaotaka Kwa 3.5k, nakwenda ardhi kuomba kibali napigiwa hesabu zaidi ya laki 4, nikaona huu Sasa ni ujinga, nikaenda kujenga ili kama ni hasara nipate tu wakivunja. Nimeinua ukuta usawa wa madirisha anakuja kiherehere toka ardhi eti simamisha ujenzi nionyeshe kibali. Sikutoka Musoma kama Mtalii. Namshukuru alinifundisha kuwa Msimamizi wa Muda wote wa ujenzi. Maana wengine walioniletea ujinga ni Watu wa misitu àmbao baada ya kupiga kenchi naelekea kuezeka wananiambia mbao nilizotumia hazijagongwa mhuri. Aisee Acha niishie hapa.
 
Tunaongozwa na viongozi wanaopenda kufanya vitu kwa mihemko na kujaza front page za magazeti lakini, wanajuabkabisa sio sahihi ila kwakua haifanyiwi kwa famia, ndugu au marafiki
 
Pamoja na ukiritimba wa vibali vya ujenzi kuwa bei juu ukiambata na mazingira ya rushwa kuanzia wapimaji katika halimashauri nyingi Tanzania!

Lakini haiondoi haki na wajibu wa kila mtu!

Taratibu za ujenzi katika halmashauri zote zinataka mtu yoyote anayehitaji kufanya ujenzi Tanzania lazima;

1. Awe na michoro iliyoidhinishwa kutoka mchoraji aliyesajiliwa (registered architecture) gharama inaweza kua laki 3 hadi 1mil au zaidi
2. Malipo ya kibali cha ujenzi kila manispaa wana bei zake wanachaji kwa square meter kulingana na ukubwa wa eneo linalojengwa (building area) ambapo square mita moja inaweza kuwa (elf 2~10 au zai) hivyo kwa eneo la sq 400 hivyo unaweza kulipia vibali vya ujenzi laki nane au 1mil ili wakupatie building permit

3. Mbali na pesa hiyo bado kuna pesa ya maombi ambayo huwa fixed inaweza kuwa elfu 50 au zaidi etc

Anyway nisirefushe mada! Yote kwa yote hata kama sheria ni ngumu wamiliki wanalazimika kuzifuata kabla ya kujenga!

Mkuu wa wilaya wakiongozana na polisi wamekamata mafundi waliokuwa wakijenga kwenye nyumba iliyosimamishwa ujenzi kwa kutokuwa na vibali!

Swali! Anaetakiwa kukamatwa ni fundi au mmiliki?

What if kama mmiliki wa jengo aliwadanganya mafundi kwamba kila kitu kipo kashakamilisha?

Ni fundi gani na njaa hii atathubutu kumuuliza bosi vibali wakati kazi zenyewe za kusotea?

Unaanzaje kukamata mafundi wabangaizaji innocent na kuwasondeka kwenye difenda wakati jengo linamwenyewe, jengo lipo, mwenyekiti wa mtaa yupo, mjumbe yupo etc!

Cha ajabu kila fundi kaambiwa alipe laki nne ili aachiwe, wapo 15!

Kosa lao kwenda kujenga nyumba pasipo kumhoji bosi wao kibali cha ujenzi!

Waziri Tamisemi mh Bashungwa, na Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu,kazi, Ajira vijana wazee na wenye ulemavu shughulikieni mapema jambo hilo, DC na mkurugenzi hawana hekima!

Rais ikimpendeza fukuza hao ili nao watoke ofisini waone maisha yalivyo magumu kwa wabeba zege

AJIRA ngumu
Heshimu sheria za nchi, kutojua sheria ni upumbavu wako siyo udhuru. Km suala ni njaa kwanini hakwenda kuiba? Hili lilikuwa jukwaa la Great Thinkers limevamiwa na mazuzu. Sintashaanga kuona watakaomwunga mkono mleta uzi, limeshavamiwa km Ukraine
 
Pamoja na ukiritimba wa vibali vya ujenzi kuwa bei juu ukiambata na mazingira ya rushwa kuanzia wapimaji katika halimashauri nyingi Tanzania!

Lakini haiondoi haki na wajibu wa kila mtu!

Taratibu za ujenzi katika halmashauri zote zinataka mtu yoyote anayehitaji kufanya ujenzi Tanzania lazima;

1. Awe na michoro iliyoidhinishwa kutoka mchoraji aliyesajiliwa (registered architecture) gharama inaweza kua laki 3 hadi 1mil au zaidi
2. Malipo ya kibali cha ujenzi kila manispaa wana bei zake wanachaji kwa square meter kulingana na ukubwa wa eneo linalojengwa (building area) ambapo square mita moja inaweza kuwa (elf 2~10 au zai) hivyo kwa eneo la sq 400 hivyo unaweza kulipia vibali vya ujenzi laki nane au 1mil ili wakupatie building permit

3. Mbali na pesa hiyo bado kuna pesa ya maombi ambayo huwa fixed inaweza kuwa elfu 50 au zaidi etc

Anyway nisirefushe mada! Yote kwa yote hata kama sheria ni ngumu wamiliki wanalazimika kuzifuata kabla ya kujenga!

Mkuu wa wilaya wakiongozana na polisi wamekamata mafundi waliokuwa wakijenga kwenye nyumba iliyosimamishwa ujenzi kwa kutokuwa na vibali!

Swali! Anaetakiwa kukamatwa ni fundi au mmiliki?

What if kama mmiliki wa jengo aliwadanganya mafundi kwamba kila kitu kipo kashakamilisha?

Ni fundi gani na njaa hii atathubutu kumuuliza bosi vibali wakati kazi zenyewe za kusotea?

Unaanzaje kukamata mafundi wabangaizaji innocent na kuwasondeka kwenye difenda wakati jengo linamwenyewe, jengo lipo, mwenyekiti wa mtaa yupo, mjumbe yupo etc!

Cha ajabu kila fundi kaambiwa alipe laki nne ili aachiwe, wapo 15!

Kosa lao kwenda kujenga nyumba pasipo kumhoji bosi wao kibali cha ujenzi!

Waziri Tamisemi mh Bashungwa, na Waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu,kazi, Ajira vijana wazee na wenye ulemavu shughulikieni mapema jambo hilo, DC na mkurugenzi hawana hekima!

Rais ikimpendeza fukuza hao ili nao watoke ofisini waone maisha yalivyo magumu kwa wabeba zege

AJIRA ngumu
Sababu kubwa ya Tanzania kuwa na squatter nchi nzima ni watu kuwa na mawazo kama yako

Nchi nyingine haujengi tu kiholela ndo maana sehemu kubwa ya makazi ya watu Tanzania ni kubaya sana

ukienda nchi nyingine kama Europe, china, Japan, Korea unajiuliza hawa watu waliwezaje mbona miji Yao mizuri sana Waliwezaje kuwa na miji mizuri ni kwa sababu ya sheria Kali ya ujenzi ambayo huku Tanzania watu akiwemo mleta uzi hawataki kuifuata wanataka watu wajenge wanavyojisikia
 
Back
Top Bottom