moshi

Moshi Monsters was a British website aimed at children aged 6-12, with over 80 million registered users in 150 territories worldwide. Users could choose from one of six virtual pet monsters (Diavlo, Luvli, Katsuma, Poppet, Furi and Zommer) they could create, name and nurture. Once their pet had been customized, players could navigate their way around Monstro City, take daily puzzle challenges to earn 'Rox' (a virtual currency), play games, personalize their room and communicate with other users in a safe environment, although this has been disputed. Moshi Monsters officially closed on 13 December 2019.

View More On Wikipedia.org
  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Soko Kuu la Mitumba Memorial Moshi lingejengwa kisasa, linaleta aibu

    Soko la Mitumba aina zote maarufu kama Memorial, lililopo katika manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro lipo katika hali ya kusitikitisha kutokana na kuwa limejengwa katika mfumo wa vibanda vya miti. Soko hilo pia limekuwa maarufu kutokana na kuwa na wateja wa mataifa mbalimbali wanaokuja kununua...
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Aliyevuliwa Umeya Moshi autaka tena, achukua fomu kuomba upya

    Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine. Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura...
  3. Hajto

    JamiiForums Tanzania Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi

    Habari zenu mabibi na mabwana, naomba kuuliza, juzi tarehe 10 Juni, 2022 UTUMISHI wametangaza ajira Chuo cha Ushirika Moshi, Je, kwenye barua address unatumia ile ya wao UTUMISHI ama address ya Chuo cha Ushirika Moshi, maelezo ya lugha pale chini yamenichanganya Msaada wenu tafadhali
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  5. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Nimempoteza Baba Mzazi Hospitali ya KCMC Moshi

    Wakuu napenda kuwapa taarifa kwamba nimempoteza Mzee Wangu Leo Hapo KCMC Moshi. Mzee alikuwa anasumbuliwa na Kansa maana alikuwa na Ukungu Kwenye Maini. Niko njiani naelekea Marangu-Kilimanjaro. Asante sana Wakuu Wangu
  6. F

    JamiiForums Tanzania Juma Raibu awavua nguo waliomvua Umeya Moshi

    Aprili 11 mwaka huu baraza la madiwani wa halmashauri ya manispaa ya Moshi lilifanya maamuzi magumu ya kung'oa kwenye kiti chake cha umeya,Juma Raibu ambaye ni diwani wa kata ya Bomambuzi . Miongoni mwa tuhuma zilizomng'oa Raibu kwenye nafasi yake ni pamoja na madai ya rushwa katika utoaji wa...
  7. Ngarob

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya afikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi na kufunguliwa kesi mpya. Amkataa Mwendesha Mashtaka wa TAKUKURU

    Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi kufunguliwa mashitaka mengine yanayomkabili, leo Jumatano Juni Mosi, 2022 Sabaya amefikishwa Mahakamani hapo Sa 11:40 Asubuhi. =========================== Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoa...
  8. tzhosts

    JamiiForums Tanzania SOLD: Eneo Lenye Pagale Mbili linauzwa-Boma Ng'ombe

    Eneo lenye Pagale Mbili Linauzwa Eneo Lipo Boma Ng'ombe kwa Wasomali.KM 1 kutoka barabara kuu ya Moshi Arusha. Eneo lina Pagale Mbili Moja Self ya Vyumba 3 na NYingine in ni Double yenye Master Room. Bei ya Eneo ni Milioni 18 ila Maongezi yapo. Kwa mawasiliano Piga Simu nama 0757323060.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Panya road hatari maarufu Mungu Moshi waibuka halmashauri ya Mlimba-Morogoro

    Maisha na mali ya wananchi wa halmashauri ya Mlimba kata ya Mngeta na Mchombe yako hatarini kutokana na kuimbuka kwa kundi hatari la panya road maarufu kwa jina la Mungu moshi yaani bangi ndiyo Mungu wao. Vijana hawa kati ya miaka 15 mpaka 25 wanajihusisha na uporaji kwa kutumia mapanga, visu na...
  10. aka2030

    JamiiForums Tanzania Moshi ndio Manispaa ya ovyo kushinda zote Afrika Mashariki

    Ni Manispaa ya ajabu sana ukitembea mita 500 kutoka katikati ya mji unakutana na mashamba ya mahindi. Nyumba zimechanganyikana na mashamba Iendelee tu kuwa Manispaa haifai kuwa jiji inapitwa mpaka na Kahama
  11. idoyo

    JamiiForums Tanzania Miji muhimu ya Kifedha Tanzania, nje ya Dar: Mwanza, Arusha, Moshi

    .
  12. E

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kufurahia sikukuu Moshi

    Habari wakuu .. Nauliza kwa wenyeji wa moshi au wenye uzoefu. Ni sehemu gani nzuri ya kufurahi na kuenjoy Moshi Ahsanteni
  13. Shujaa-zamani

    JamiiForums Tanzania Nina mpango wa kuhamia Arusha, wenyeji naomba majibu ya maswali yangu machache

    Hamjambo! Nitaenda nchi la Tanzania kukaa katika eneo la mto wa Usa. Mini ni mtu mweusi na mwanaume. Ninataka kuunganisha na jamii ya Usa. Je, kuna vitambaa amavyo ninapaswa kuvaa? Nikitaka vitambaa vilivyotengenezwa, nitanunua wapi? Nitapofika ninaweza kupata wapi vikundi vya kijamii, ni...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Nimeishi Moshi, Bukoba, Lushoto aisee watanzania tuna ukarimu sana tofauti na tunavyoshambuliana kwa tofauti zetu

    Aisee nimejifunza kitu kimoja kuhusu sisi watanzania baada ya kutembea mikoa tofauti na kuishi huko. Watanzania tunaweza kuwa tunatofautiana na kurushiana maneno mitandaoni juu ya sijui kabila fulani, hivi mkoa fulani hivi..ila kiuhalisia tunaishia kwa upendo sana. Ok kiufupi, nimezunguka mikoa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Moshi: Adai kupatiwa maji ya baraka yalioathiri uke wake!

    Ummy Msika (45)mkazi wa Kata ya Bomambuzi Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro ameiomba mamlaka za kiuchunguzi kumsaidia kuchunguza na kumkamata rafiki yake aitwaye Mama Bahati kwa madai kuwa alimpatia maji ya baraka yaliyopelekea kumuathiri sehemu zake za siri. https://t.co/kX1YFZDpZ2
  16. S

    JamiiForums Tanzania Juma Raibu: Sijaondoa msaada wowote niliotoa Moshi, gazeti limetumika kunichafua

    Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua. ---- Kesho kutwa nitachangia vifaa vya ujenzi kwa Kata za Mjini Manispaa ya Moshi ili waweze kujenga...
  17. emmarki

    JamiiForums Tanzania Nimenunua kilo ya mbegu za maboga 12000 Moshi

    Wadau, Nikiwa nahangaika kupata materials ya lishe kwa ajili ya shangazi yangu mwenye kisukari. Nilizunguka soko la mbuyuni Moshi kila kona kutafuta mbegu za maboga sehemu moja nilienda bei Kg 1 ni kuanzia 15000, nikajua hataki kuniuzia kwa sababu mwaka jana nilinunua 8000 kwa kilo. Nikaenda...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Kilimanjaro: TAKUKURU yaingilia sakata la Meya aliyeng’olewa Moshi

    Juma Raibu Taasisi ya Kuzia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) imethibitisha kuwa inamchunguza aliyekuwa Meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ambaye alivuliwa wadhifa huo Aprili 11, 2022, kwa tuhuma mbalimbali. Kamanda wa Takukuru Mkoa wa Kilimanjaro, Frida Wikes alisema walipokea taarifa na...
  19. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Moshi: Meya Juma Raibu ang'olewa kwa kupigiwa kura za kutokuwa na imani naye

    Kura 18 zimemkataa. Alikuwa na kashfa ya kushiriki birthday ya shoga mmoja hapo Moshi. Ni kashfa iliyotrend sana kwenye vyombo mbalimbali vya habari kama magazeti. Nafikiri ndio hiyo imemng'oa labda kama kuna sababu nyingine tutajua Kapigiwa kura Leo, 18 zimemkataa na 10 zimemkubali...
  20. sonofobia

    JamiiForums Tanzania Kigamboni: Moshi mkubwa watanda winguni na kuleta taharuki

    Kuna moshi mkubwa Kigamboni na inasemekana ni reserve ya mafuta inaungua. Inatengenezwa scarcity? ===
Back
Top Bottom