Morogoro: Tembo waharibu zaidi ya hekari 700

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
1,939
2,000
Kijiji cha Msongozi kata ya Msongozi wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kimeharibiwa mazao kwa takribani hekari 700

Wananchi katika maeneo hayo ambao wako karibu na mbuga ya Mikumi wameomba serikali iwasaidie kwa kuwa tembo hao wameshindwa kuswagwa kurudi mbugani

Joseph Chuwa, Afisa wanyama pori Morogoro ametaja sababu za wanyama hao kuvamia mji huo kuwa baadhi ya mazao huwavuta tembo kuyafuata lakini pia tembo huwa na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu

Maeneo ya Msongozi ni maeneo yamekuwa yakivamiwa na Tembo mara kwa mara

Clouds FM
 
James Comey

JF-Expert Member
May 14, 2017
5,201
2,000
Huyo afisa ahojiwe vizuri atoe maelezo ya kitaalam. Kama hao tembo walipita kutoka upande mmoja kwenda mwingine wa hizo ekari basi hiyo ni njia ta tembo na hamna kuwalaumu tembo hapo. Siyo kuweka maneno ya kutegesha eti tembo wamevutiwa na harufu lakini pia wanakumbukumbu.
 
Isengelo

JF-Expert Member
Oct 25, 2017
305
500

Sioni tofauti na alivyosems afisa wanyamapori tofauti ni uwaslilishaji tuu ! Btw he is more practical.
 
fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
4,229
2,000
Kijiji cha Msongozi kata ya Msongozi wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kimeharibiwa mazao kwa takribani hekari 700

Wananchi katika maeneo hayo ambao wako karibu na mbuga ya Mikumi wameomba serikali iwasaidie kwa kuwa tembo hao wameshindwa kuswagwa kurudi mbugani

Joseph Chuwa, Afisa wanyama pori Morogoro ametaja sababu za wanyama hao kuvamia mji huo kuwa baadhi ya mazao huwavuta tembo kuyafuata lakini pia tembo huwa na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu

Maeneo ya Msongozi ni maeneo yamekuwa yakivamiwa na Tembo mara kwa mara

Clouds FM
Hayo maeneo ni ya tembo nadhani wananchi ndio wamevamia malisho ya tembo, hivyo wananchi hao ndio wanatakiwa kuswagwa watoke kwenye mashamba ya tembo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom