Plot4Sale Kiwanja kikubwa hatua 50 kwa 22 kinauzwa Mbezi Mwisho, 2km kutoka Morogoro Road

MrsPablo1

JF-Expert Member
Jun 9, 2013
792
1,308
Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo .

kiwanja kimepimwa
Maji ya dawassa
Umeme
Na huduma zote za kijamii zipo
Ukubwa wa kiwanja ni 50 kwa 22 sawa na sqm 1100.
Bei ya kiwanja ni 28 million Tshs.
Karibu uwasaliane na mimi mwenye kiwanja

📞 0758851175,0713220021.

Ukileta mteja pia utapata commission

C85BFD53-079B-48F4-9E38-FC57AF53D4DB.jpeg
5BEA30A3-6291-4013-9ED8-7FD73B497E19.jpeg
0BC32814-0682-4534-97DD-21DEFB8EA070.jpeg
 
Lab
Kiwanja kipo Mbezi Mwisho kilometa moja na nusu kutoka Morogoro Road njia nane na kilometer 2 kutoka Kituo kipya cha mabasi Ubungo .

kiwanja kimepimwa
Maji ya dawassa
Umeme
Na huduma zote za kijamii zipo
Ukubwa wa kiwanja ni 50 kwa 22 sawa na sqm 1100.
Bei ya kiwanja ni 40 million Tshs.
Karibu uwasaliane na mimi mwenye kiwanja

📞 0758851175,0713220021.

Ukileta mteja pia utapata commission
View attachment 1441588
View attachment 1441589View attachment 1441590View attachment 1441591
Labda kingekuwa mitaa ya kariakoo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom