Uchaguzi 2020 Babu Tale achukua fomu ya kuwania Ubunge kupitia CCM katika jimbo la Morogoro

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,815
4,565
Meneja wa Diamond na WCB, Babu Tale mapema leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Morogoro Vijijini kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM.

Tale.jpg
Tale1.jpg
 
Victoire,
Huu ni utamaduni mmbaya sana tulio nao Tanzania, mtu anaanzisha rumours ambazo hazina ukweli wowote halafu unakuta watu wanasimbaza na kuaribu reputation ya mtu kwa upuuzi unaoanza kama mzaha.

Babutale bungeni ata sijui anaenda tafuta nini lakini si sahihi kuusisha kifo cha mkewe na harakati za kutafuta maisha yake.

That is very wrong kwa mtu makini.
 
Anakwenda kuwatetea wana Mkuyuni. Wewe hautaki million 250 kiinua mgongo kwa miaka 5 tu? Wakati Mwalimu anasotea million 70 kwa miaka 40 ya utumishi.
 
Anakwenda kuwatetea wana Mkuyuni. Wewe hautaki million 250 kiinua mgongo kwa miaka 5 tu?Wakati mwalimu anasotea million 70 kwa miaka 40 ya utumishi.
Hakuna asietaka hila kwa fujo hizo za wagombea 30+ bora tutafute mbinu zingine tu za kupata mkate hakuna namna.
 
Huu ni utamaduni mmbaya sana tulio nao Tanzania, mtu anaanzisha rumours ambazo hazina ukweli wowote halafu unakuta watu wanasimbaza na kuaribu reputation ya mtu kwa upuuzi unaoanza kama mzaha.

Babutale bungeni ata sijui anaenda tafuta nini lakini si sahihi kuusisha kifo cha mkewe na harakati za kutafuta maisha yake.

That is very wrong kwa mtu makini.
Huko makete kuuwa mtoto, mzazi, mke au mume kwa ajili ya utajiri au cheo ni jambo la kawaida sana!
 
Inashangaza sana binadamu wanapenda kuzusha mambo, halafu watu wanakubali bila ata kudai ushahidi
 
Huko makete kuuwa mtoto, mzazi, mke au mume kwa ajili ya utajiri au cheo ni jambo la kawaida sana!
Mkewe kafia hospitali na medical condition ambayo wahusika awajaamua kuiweka wazi.

Wachana na habari za barabarani watu kujitungia mambo utadhani wao ndio walimfanyia marehemu autopsy.

Kibaya zaidi Tale alikuwa anampenda mkewe ata kwenye interview zake alikuwa akimsifia tu; si sahihi kumtungia mtu mambo.
 
Inashangaza sana binadamu wanapenda kuzusha mambo , halafu watu wanakubali bila ata kudai ushahidi
Sehemu ambayo ignorance is high that is normal uwezi zuia ndio maana ata Tale nae anaendelea na maisha yake.

Lakini utegemei mtu makini nae asikilize habari za vijiweni na kuzipa maanani wakati marehemu afya ilikuwa mgogoro tunaambiwa tangia mwezi May.
 
Back
Top Bottom