Moja ya kitu ambacho siwezi thubutu kukifanya ni Kumnunulia Mwanamke Chupi

TUKANA UONE

JF-Expert Member
Jan 3, 2018
1,816
5,151
Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!.

Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE"

Mambo hayo ni :-

1.KUMSOMESHA
2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI")

Mambo mengine yote naweza kuyafanya kwa uhakika na ukamilifu wa asilimia 💯 lakini hayo mawili hata unishikie mtutu wa Bunduki.
Hilo la kwanza kuna wadau wamelizungumzia sana hapa JF lakini naamini hili la pili halipo hapa JF tangu ianzishwe,sasa leo nitaligusia tu kimtindo.

Kwanini siwezi kumnunulia chupi mwanamke?

1. Siwezi kumnunulia chupi kiumbe ambaye akitoka hapo anakwenda kuvuliwa hiyo hiyo chupi na mwanaume mwingine bila aibu.

2. Chupi hiyo hiyo uliyomnunulia itakwenda kufuta uchafu wa kwenye mkuyenge wa mwanaume mwingine wakimaliza kupigana miti.

3. Kupitia chupi uliyomnunulia atakuwa anapewa sifa za kijinga na janaume lake huko "Baby chupi imekukaa utamu kweli".

4. Chupi utakazokuwa ukimnunulia yeye atakuwa anataka kila mara kwenda kumfunulia bwana'ake ili aone namna zinamkaa.

5. Kupitia chupi hiyohiyo uliyomnunulia akitoka kupigwa mkuyenge atabeba laana huko atakuletea nyumbani.

Mimi Binafsi mwanamke wangu au mpenzi wangu inapaswa anunue chupi kwa pesa na gharama zake siyo zangu!.

Mambo mengine yote nitafanya ila si hayo mawili.

Nipo Ununio njooni mniue kama mmekwazika!.
 
Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!.

Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE"

Mambo hayo ni :-

1.KUMSOMESHA
2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI")

Mambo mengine yote naweza kuyafanya kwa uhakika na ukamilifu wa asilimia 💯 lakini hayo mawili hata unishikie mtutu wa Bunduki.
Hilo la kwanza kuna wadau wamelizungumzia sana hapa JF lakini naamini hili la pili halipo hapa JF tangu ianzishwe,sasa leo nitaligusia tu kimtindo.

Kwanini siwezi kumnunulia chupi mwanamke?

1.Siwezi kumnunulia chupi kiumbe ambaye akitoka hapo anakwenda kuvuliwa hiyo hiyo chupi na mwanaume mwingine bila aibu.

2.Chupi hiyo hiyo uliyomnunulia itakwenda kufuta uchafu wa kwenye mkuyenge wa mwanaume mwingine wakimaliza kupigana miti.

3.Kupitia chupi uliyomnunulia atakuwa anapewa sifa za kijinga na janaume lake huko "Baby chupi imekukaa utamu kweli".

4.Chupi utakazokuwa ukimnunulia yeye atakuwa anataka kila mara kwenda kumfunulia bwana'ake ili aone namna zinamkaa.

5.Kupitia chupi hiyohiyo uliyomnunulia akitoka kupigwa mkuyenge atabeba laana huko atakuletea nyumbani.

Mimi Binafsi mwanamke wangu au mpenzi wangu inapaswa anunue chupi kwa pesa na gharama zake siyo zangu!.

Mambo mengine yote nitafanya ila si hayo mawili.

Nipo Ununio njooni mniue kama mmekwazika!.
Tuanzie hapa kwanza una umri gani,umeanza kujihusisha na mahusiano mdaa ganii,una mahusiano,yapo level gani,umeoa and if umeoa how many kids uko nao ,ukijibu hayo maswali hiyo hoja yako haina mashiko maana nguo ya ndani ni kama zingine tuuu

au
 
Ukihitaji salamu nenda kwa waswahili wenzio,kwangu utaambulia chuya tu!.

Kuna mambo mawili ambayo siwezi katakata na sitothubutu kuyafanya kwa kiumbe anayeitwa "MWANAMKE"

Mambo hayo ni :-

1.KUMSOMESHA
2.KUMNUNULIA NGUO YA NDANI (Waswahili huita "CHUPI")

Mambo mengine yote naweza kuyafanya kwa uhakika na ukamilifu wa asilimia lakini hayo mawili hata unishikie mtutu wa Bunduki.
Hilo la kwanza kuna wadau wamelizungumzia sana hapa JF lakini naamini hili la pili halipo hapa JF tangu ianzishwe,sasa leo nitaligusia tu kimtindo.

Kwanini siwezi kumnunulia chupi mwanamke?

1.Siwezi kumnunulia chupi kiumbe ambaye akitoka hapo anakwenda kuvuliwa hiyo hiyo chupi na mwanaume mwingine bila aibu.

2.Chupi hiyo hiyo uliyomnunulia itakwenda kufuta uchafu wa kwenye mkuyenge wa mwanaume mwingine wakimaliza kupigana miti.

3.Kupitia chupi uliyomnunulia atakuwa anapewa sifa za kijinga na janaume lake huko "Baby chupi imekukaa utamu kweli".

4.Chupi utakazokuwa ukimnunulia yeye atakuwa anataka kila mara kwenda kumfunulia bwana'ake ili aone namna zinamkaa.

5.Kupitia chupi hiyohiyo uliyomnunulia akitoka kupigwa mkuyenge atabeba laana huko atakuletea nyumbani.

Mimi Binafsi mwanamke wangu au mpenzi wangu inapaswa anunue chupi kwa pesa na gharama zake siyo zangu!.

Mambo mengine yote nitafanya ila si hayo mawili.

Nipo Ununio njooni mniue kama mmekwazika!.
We jamaa una chamba sana kwani akipigwa miti unaumia nni mbona na wew unawavua vyupi tuliyo nunua sisi ...... ukipata piga ukikosa kausha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom