moja

Movement for Justice in Africa (MOJA) is a pan-African left-wing political organization in Liberia, with chapters in Ghana and The Gambia. It was founded in 1973 by Togba Nah Tipoteh, who is currently its president.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali, wazazi na mashirika ya kidini kwa ujumla chagueni mwanga au giza

    Salaam, Binafsi ni kawaida kwangu kuja na bandiko za kukemea tabia na mmonyoko wa maadili kwa jamii nyingi za kiafrika na hususani Tanzania. Jamii nyingi za kiafrika zimepoteza asili yake ya kimalezi na heshima (Tamaduni) kutokana kuvamia dude kubwa ambalo lipo imported halikuwahi kuwepo...
  2. JamiiForums Tanzania Askari wa Israel wazidi kuangamia Gaza. Zaidi ya 100 wauliwa siku moja na kuzikwa kaburi moja

    Gharama ya vita vya Gaza inazidi faida ya malengo Israel iliyojiwekea. Wapiganaji wa Hamas jana waliwazingira askari wa miguu walioingia maeneo yao na kuwaua zaidi ya 100 kwa mpigo. Vita walivyokuwa wakivisubiri Hamas sasa ndio vimeanza
  3. JamiiForums Tanzania Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto

    Msaada tafadhali. Tanga kuna usafiri wa moja kwa moja kwenda Kondoa kupitia Kiteto? Na nauli yake imekaaje?
  4. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma jambo moja kwa moja kwa Rais au Wasaidizi wa Rais?

    Nina mawazo kuhusu mambo ya kuwekwa katika mpango mpya wa maendeleo wa Taifa. Mawazo yangu siwezi kuyaweka humu maana inaweza yakaibwa na nchi nyingine hivyo kupelekea mambo hayo kwenda kufanya na nchi nyingine na sisi tukaendelea kubaki nyuma. Nawajua watendaji wetu wengi, hawasomagi meseji...
  5. JamiiForums Tanzania Kilichopo Manyara ni humanitarian crisis. Saidia familia hata moja na utazidishiwa zaidi

    Watu 50 labda zaidi wamefariki. Miundo mbinu haswa ile ya familia masikini imeharibika vibaya mno. Majeruhi wengi wapo hospitalini. Nyakati kama hizi Sadaka yako inaweza kubadilisha mustakabali wa maisha yako. Sadaka yako inaweza tumika kuwapa faraja masikini walioathirika na naamini Mungu...
  6. JamiiForums Tanzania Samia akitoka Dubai kutua moja kwa moja Tanesco Nyakato Mwanza

    Mama Samia akitoka Dubai kuna taarifa ya yeye kutua moja kwa moja Mwanza kisha kuelekea Tanesco Nyakato Mwanza. Hii inafuatia kutokupata majibu anayoyataka kwa miezi kadhaa sasa. Ikumbukwe kuwa kituo hicho kina uwezo wa kuzalisha MW 60 kikifanya kazi kwa asilimia mia, lakini kwa miezi kadhaa...
  7. JamiiForums Tanzania Al Ahly waweka wazi Simba ni Club namba moja Tanzania, Yanga ni ya pili

    Hapo vip! Leo ilikuwa nawasikiliza waandishi wa habari walijaribu kuwahoji wachezaji wa ALLy Ahlly dhini ya kujuaa ukubwa wa Simba cl na yanga. Wachezaji wa Ally Ahly wamesea hawajawahi kukutana na yanga kwasababu ni timu ndogo ila kwa tanzania ni maarufu,wakasema timu kubwa wanaoijua Tanzania...
  8. JamiiForums Tanzania Musoma: CHADEMA wakutana kwa ajenda moja tu ya kuitokomeza CCM

    Wakati wao wanalogana ili kugombea vyeo vya Kinana na Chongolo , Chadema Musoma Mjini imekutana na viongozi wao wa Vijiji, Kata na Jimbo kupanga utaratibu wa kuiua ccm kwenye eneo hilo . Mkakati wa sasa wa CHADEMA ni kuchukua wananchi wote na kuibakishia ccm viongozi pekee pamoja polisi , yaani...
  9. JamiiForums Tanzania Ukweli usemwe: Zuchu ndio supastaa wa kike namba moja kwa sasa Tanzania

    Kuna wakati ni busara kuukubali ukweli hata kama unakuumiza. Zuchu ndio supastaa namba moja Tanzania kwa wanawake. Ndio mwanamke very powerful na mwenye ushawishi zaidi ya wote ukimtoa Rais. Kingine ndio demu wa Diamond Platnumz hata kama kuna watu wanaumia wanamshambulia sana haswa wanawake...
  10. JamiiForums Tanzania Yaani mtoto amesomeshwa mwaka mzima. Mzazi arudie kwa wiki moja.

    Nikisema hizi shule zinatuibia ninakosea??? Serikali isipokagua uwezo wa watendaji kwenye shule binafsi itakuwa haitendi majukumu yake. Mtoto wa nursery arudie madude ya mwaka mzima aje. Vipi asipewe kama alivyoelewa?? Hii niliiokota sehem flan wakurugenz wa hizi shule za binafsi...
  11. E

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Pitso Masomane kocha mteule SIMBA FC kuanzia leo saa moja kamili

    Kama makolo mmefanikiwa kumsajili kocha huyo hapo juu basi mtakuwa mmetisha, ngoja tusubiri hiyo saa moja tusikie hiyo habali kuu. Pitso Masomane ni kocha wa hadhi ya juu kabisa hapa Africa na atapaisha sana hadhi ya Simba SC
  12. JamiiForums Tanzania Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Namuonea sana huruma Mwanaume mwezangu anaelipishwa pesa za matunzo ya mtoto asie wake, kuna wanawake moja kwa moja motoni

    Hivi mwanamke anakuwa na roho mbaya kiasi gani mpaka amfanyie huu uhuni mme wake ? Hii kitu naishuhudia daily kila uchwao, kuna co worker anamlipisha mwanaume pesa za matumizi wakati si mtoto wake Ni kwamba walioana vizuri tu nami nilialikwa kwenye sherehe kwa kuwa na ukaribu na co worker...
  14. JamiiForums Tanzania Vanessa Mdee alikuwa kipanga wa hatari shuleni. Ni kundi moja na Jokate

    Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM. Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu ARUSHA MODERN SCHOOL mwaka 2003 ambao pia ni mwaka...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga na Salamu za Dini moja

    Yanga ni timu ya Wananchi wa dini zote, hii si mara yakwanza kwa kiongozi wa Yanga kutumia salamu inayotumiwa zaidi na watu wa imani moja na kuacha ku balance. https://youtu.be/Lr62C4kTXW8?si=oL3v9IoGM2dFGwDl Hii ni kero iliyowahi kuripotiwa hapa jf ila mods wakafuta uzi as if wanatupangia...
  16. JamiiForums Tanzania Simba ilitumia kigezo gani kumteua cadena ? Wakati akiwa Azam ,magolikipa wa azam moja ya makipa wa bovu ligi ya nbc!!

    Huyu Cadena Kunawatu wamempenyeza aje aivuruge simba kisawasawa. Aliivuruga azam vilivyo. Na sasa kaachiwa timu. Na toka atoke Azam makipa wa Azam wanakuwa bora kila siku. Figisu zimepungua sana. Alipokuwa kule makocha walikuwa hawakai kabisa. Aliachiwa timu kwa muda Kali Ongala Timu...
  17. JamiiForums Tanzania Mkazi: Siondoki Bonde la Msimbazi bila fidia ya angalau bilioni moja

    Wananchi wanaoishi bonde la Msimbazi waliokumbwa na mafuriko wametoa maoni yao baada ya Rais Samia kutangaza wapewe fidia huku ya ardhi ikiwa milioni nne huku jumla wengine wakipata jumla ya milioni sita wakihoji wanaenda kufanyaje ili wapate kiwanja na nyumba huko wanapoenda. Kijana mmoja...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Mmeru na Mwarusha ni kabila moja?

    Hawa ni watu wa wapi? Nilijaribu kufatilia wameru ni kweli wanasikilizana na wamachame wapo tofaauti na wachaga, nadhani ni ni wamasai walioamua kuhamia Machame, hupenda kubeba visu na pia kibiashara bado wana mwamko mdogo. Kwa Mwarusha nae naona wanatahiri kama wamasai na kuna fimbo za bomani...
  19. JamiiForums Tanzania Joel Nanauka ana kitu kikubwa Sana ndani yake ni moja ya vijana wenye Akili Sana

    JOEL NANAUKA ana kitu kikubwa Sana hivyo vijana nawashauri endeleeni kusoma makala zake mtapata kitu kipya Cha kuijenga Akili yako. NB: Huyu Jamaa amewahi kuwa TO TANZANIA ONE katika matokeo ya kidato Cha nne.
  20. JamiiForums Tanzania Natafuta lodge au hoteli nzuri ya kukaa na familia Bagamoyo kwa wiki moja

    Wadau anaejua hoteli au lodge nzuri ya kuchili na familia msimu wa Desemba anipe machimbo. Price isizidi laki Kwa siku. December hii sisafiri pia hatutaki kashi kashi. Asante. NB. Ikiwa Dar iwe sehemu isiyo na makelele.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…