mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The 100 Most Influential Africans of 2020, Ni Hawa!, Kama JPM, Mo, Diamond, Samatta Hawapo, Then It Must Be Fake List!,ila Kuna Mtanzania 1, Gues Who?

    Wanabodi The much anticipated annual listing of the 100 Most Influential Africans of 2020 published by the continent’s premier pan-African publication, London-based New African magazine imetangazwa leo. List hiyo iliyogawanywa katika mafungu manne, four categories of Leaders; Pathfinders...
  2. D

    Niliwahi kusikia umeme wa chooni una nguvu, lakini hadi leo hakuna mwanasayansi hata mmoja aliyewahi kuvuna kinyesi tupate umeme

    Tangu miaka ya zamani tuliaminishwa hivyo" Kwamba karo la choo likiwa na kinyesi liwauwezo wa kuzalisha Megawatt za kutosha! Sijui kwanini hadi Leo wanasayansi wapo kimya! Yamkini tungekuwa na STIEGLERS ndogo ndogo kila mtaa!
  3. Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa. Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano Ina maana wajumbe...
  4. J

    Mwalimu Mwakasege kujenga Ukumbi wa kisasa wa Maombi jijini Dodoma utakatoa Huduma 24/7 na utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja!

    Mwalimu Mwakasege amelitangazia taifa kwamba Huduma yake ya Injili inajenga ukumbi wa kisasa jijini Dodoma. Mwakasege amesema ukumbi huo utachukua watu 13,000 kwa wakati mmoja na utatoa Huduma kwa saa 24 katika siku zote za wiki hivyo watu wote wenye mapenzi mema watakaribishwa kuikaribia...
  5. Kampuni ya New Habari yasitisha uchapishaji wa Magazeti yake kufuatia mwenendo mbaya wa biashara

    Kampuni ya New Habari imetangaza kusitisha utoaji wa magazeti yake kuanzia Jumatatu ijayo kutokana na mwenendo mbaya wa biashara. ======== NEW HABARI YASITISHA UZALISHAJI MAGAZETI KAMPUNI ya New Habari 2006 LTD inayozalisha magazeti ya Mtanzania, Rai, Bingwa na Dimba imetangaza kusitisha...
  6. Mahakama yazuia ombi la kampuni ya NSK kuifilisi Dangote Cement

    Tulidanganywa kuwa anafanya service ya week mbili kumbe anakusanya virago vyake aondoke uwekezaji bongo umemshinda. ===== Mahakama Kuu imezuia kufungwa kwa Kiwanda cha Dangote Cement Limited ambacho mdeni wake aliomba kifungwe. Kampuni ya NSK Oil and Gas Limited ilitaka Kiwanda cha Dangote...
  7. Baada ya Humphrey Polepole kuteuliwa kuwa Mbunge. Je, nani kuchukua nafasi ya Katibu wa Itikadi na Uenezi ndani ya CCM?

    Baada ya Rais Magufuli kumteua Humphrey Polepole kuwa Mbunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, nafasi yake ya Katibu Itikadi na Uenezi ndani ya CCM ni rasmi sasa uko wazi kwani mheshimiwa Rais alishaweka utaratibu wake kwamba viongozi hawawezi kuvaa kofia mbili katika uongozi. Taarifa...
  8. Sijasikia Waandishi wa habari wakiwahoji upande wa NEC na Bunge kuhusu Wabunge Viti Maalum wa CHADEMA

    Wakuu salamu kwenu. Siku nyingi sijaandika ila leo nitauliza swali dogo tu. CHADEMA wanasema hawajapeleka majina NEC lakini wabunge wameapishwa juzi. Baada ya uapisho na CHADEMA kupitia kwa Katibu Mkuu kuwakana wabunge wale sijasikia kituo cha redio, televisheni au gazeti zikiwahoji wahusika...
  9. F

    Tanzania: Withdrawal of individual rights to African Court will deepen repression

    The Tanzanian government has withdrawn the right of individuals and NGOs to directly file cases against it at the Arusha-based African Court on Human and Peoples’ Rights, Amnesty International has established. This withdrawal of rights will rob people and organisations in Tanzania a vital...
  10. V

    Kwa wana CCM wacha Mungu: Je, mnaamini mmeshinda kihalali na uchaguzi ulikuwa huru na wa haki? Kila mmoja wetu atasimama mbele za kiti cha hukumu

    Ndugu zangu kuna maisha baada ya maisha haya, na kila mmoja wetu atasimama mbele ya kiti cha hukumu cha Mungu. Asilimia kubwa ya Watanzania ni wacha Mungu, ndio maana naomba sana tujibu swali hili kutoka kwenye vina vya mioyo yetu. CCM ina watu wanaomcha Mungu na wengine ni Maaskofu Wachungaji...
  11. Kwa sasa Tanzania baada ya John Magufuli, basi ni Profesa Palamagamba Kabudi

    PROFESA PALAMAGAMBA KABUDI, ANAKAA KWENYE MZANI MMOJA NA DAKTARI NAMDI AZIKIWE, KWAME NKRUMAH, JULIUS NYERERE, W.E.B.DUBOIS, GEORGE PADMORE, MARCUS GARVEY, PATRICE LUMUMBA NA JOHN MAGUFULI. Leo 14:35hrs 22/11/2020 Awa ni Viongozi Mashuhuri waliobeba wazo turufu la Pan Africanism mioyoni...
  12. Rais Mwinyi atembelea kwa kushtukiza hospitali ya Mnazi Mmoja. Atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Afya na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo

    Rais Hussein Mwinyi afuata nyayo za John Pombe Magufuli, ameshtukiza ziara ya hospitali ya mnazi mmoja Zanzibar na kukutana na madudu. Asema pesa ipo lakini huduma ni mbovu, aahidi kushughulikia wahusika. Ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Afya katika Wizara ya Afya, Dkt. Jamala Adam Taib...
  13. Jinsi Baharia mmoja alivyojilipa Mafao yake ya NSSF

    Ndio usishangae jamaa alijilipa mafao.. !! Kuna mwana alikua anafanya Kazi halmashauri fulani hivi mwaka 2016 alibahatika kupata scholarship kwenda ulaya kusoma masters. Sasa ofisini (serikalini/halmashauri) walimbania ruhusa akaamua kuacha kazi ila kabla hajaacha alijiuliza na kufatilia mafao...
  14. Hebu nijulisheni uwiano gani umetumika kwa Chadema iliyoambulia mbunge mmoja iweze kupata viti maalum 19 na CCM iliyojizolea viti 262 kupata viti 94?

    Hesabu hii imenipiga chenga kujua NEC imetumia uwiano gani katika utoaji wa wabunge wa viti maalum kwa Chadema kupewa "offer" ya kupeleka wabunge Wa viti maalum 19 wakati CCM iliyojizolea viti 262, karibia ya viti vyote vya ubunge nchini, iweze kupata viti maalum 94? Kuuliza siyo ujinga...
  15. Enyi Wanamichezo kwa 'Kauli' hii ya Mukoko Tonombe aliyoisema kwa Ndugu yake Mmoja leo amemaanisha nini ?

    "Kwa jinsi ninavyocheza kama nikibahatika Kucheza pamoja na Wachezaji kama Chama, Mkude, Morisson, Dilunga, Miquissone, Morisson na Kipa bora Tanzania Manula Kazi yangu itakuwa nzuri na rahisi kwani ni Wachezaji ambao nawapenda, nawatamani na bahati mbaya sana nilipo sasa sijaona wa...
  16. Kwanini chaguzi hizi zina muelekeo mmoja?

    Wiki chache zimepita Tanzania imemaliza kufanya uchaguzi wake mkuu ambao umegubikwa na changamoto mbalimbali zikiwemo za wananchi kuumizwa na wengine kuuwawa kutokana na madhira ya kampeni zilizolindima kwa miezi kadhaa hapo nyuma. Tulishuhudia vikosi vya ulinzi wa mipaka ya nchi vikipita...
  17. Je, aliyetoa 'Taarifa' hii ya 'Majonzi' kwa Vyombo hivi 'Viwili' vya Habari alikuwa ni Mtu Mmoja tu au wapo wengi?

    Nipashe Online Diwani mteule wa Kata ya Kikongo (CCM) Wilaya ya Kibaha, Fatuma Ngozi amefariki dunia na wajukuu wake wawili usiku wa kuamkia leo baada ya nyumba yake kuchomwa moto na watu wasiojulikana. HabariLeo Online DIWANI MTEULE AFARIKI KWA MOTO KIBAHA Diwani Mteule wa Kata ya Kikongo...
  18. M

    Wanyonge wenzangu, bei ya Saruji huko kwenu ipo vipi?

    Wanyonge wenzangu huko mkoa uliopo bei ya cement ikoje? Mimi huku nilipo Cement ya dangote 23000/mfuko na twiga ni 25000/mfuko. Bei ya Dangote kutoka 18500 mkapa 23000. Mnyonge mnyongeni lakini mnyonge kabisa. Soma: Serikali iruhusu kuingiza saruji kutoka nje ==== Bei saruji haishikiki 09 NOV...
  19. Ushauri wangu kwa CHADEMA na mbunge wao mmoja wa jimbo (Aida Khenan - Nkasi - Rukwa) na wale wa viti maalumu + madiwani

    Honestly, hata mimi ningekuwa kwenye nafasi ya CHADEMA, ningepata shida sana kuamua hatima ya mbunge Aida Khenan na madiwani wake 10 na wengine watano toka maeneo mengine ambao "inadhaniwa walishinda".. Natumia kauli ya " inadhaniwa walishinda", kwa maana nzuri kabisa.. Magufuli na CCM pamoja...
  20. 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…