mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja wa kiafrika ashangaa Waziri kutembea kwa miguu kulelekea kazini

    Video Dada wa kiafrika kakutana na waziri mkuu wa Netherland, anakwenda ofisini kwa mguu akitokea nyumbani kwake... Dada anashangaa anahema kwa mshangao akikumbuka Afrika huku😃 mpaka katibu tarafa ana king'ora
  2. JamiiForums Tanzania Pcm/pcb mmoja ni sawa na hkl hamsini

    Mliochaguliwa combination Tajwa hapo juu Za science PCM(Engineering) na PCB(Doctor, Pharmacy etc) mjipange ,hazihitaji Ubishoo/usistaduuh..hata kidogo lasivyo mtarudi CBE miaka miwili ijayo kila la kheri..
  3. JamiiForums Tanzania Mmoja Afariki, Wanne Walazwa Wakishindana Kunywa Pombe Moshi

    Mtu mmoja amefariki dunia, huku wengine wanne wakinusurika kifo wakati wakishindana kunywa pombe kali aina ya 'Smart Gin', baada ya kuahidiwa kupewa mkate, sukari na Sh50,000 kwa atakayeshinda. Tukio hilo limetokea Juni 8, 2023 katika kata ya Sanya Juu, wilayani Siha Mkoa wa Kilimanjaro, baada...
  4. JamiiForums Tanzania Joseph Musukuma, usiangalie upande mmoja tu wa sarafu

    Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority. Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe ni kibaraka wa CCM kujinasibu kuwa ana mkakati wa kuwasaisldia watanzania ni utapeli wa kisiasa

    Kibaraka wa CCM aweze kuwasaidia watu dhidi ya CCM? Haiwezekani. 👇
  6. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anamwamini Freeman Mbowe kuliko Zitto Kabwe? Mbowe hajawahi kuwa na msimamo Mmoja!

    Nilishangaa sana na ninashangaa mpaka Leo mamlaka kumfanya Mbowe ni special opposition leader? Mbowe muda mwingi yupo ikulu tofauti na wapinzani wengine ..ninani alimuongopea rais amwamini Mbowe kuliko Zitto na wapinzani wengine? Mbowe hajawahi kueleweka na ndio maana Kuna panda shuka Kila mwaka...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Mikataba 40 ya Dubai! Mmoja ndio tayari, tunangoja inatokuja!

    Inasadikiwa kuna mikataba 40 ilisainiwa huko Dubai, mmoja ndio huoo.... nao ni wa uchungu kushinda Mwalovera na ndio wa kwanza tu kati ya hiyo yote! Itatofuata..... tusishangae kuona kipanda cha aridhi mkoa fulani kupewa hao jamaa kwa njia hizihizi za kubinafisisha! Nyaya zimeshagusana, moto...
  8. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kuhamisha TIN number kutoka mkoa mmoja hadi mwingine

    Habarini wakuu, kama uzi unavyojieleza naomba kujua utaratibu wa kuhamisha Tin number ya biashara kutoka mkoa mmoja kwenda mwingine, natanguliza shukrani
  9. N

    JamiiForums Tanzania OMBI: Tamisemi iweke wazi majina ya vyeti ambayo vimeonekana kuwa vilishatumika katika ajira za serikali, yaani vinatumiwa na mtu zaid ya mmoja!

    Jana wazir kairuki alisema kua, katika mchakato wa maombi ya ajira kuna watu waliwasilisha vyeti ambavyo vilibainika kuwa vimeshatumiwa na watu wengine, wapo kwenye ajira hivyo maombi yao yalifutwa automatic Namuomba waziri kairuki aweke bayana vyeti hivyo ambavyo vimetumika zaidi ya mara moja...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Ndani ya mwezi mmoja Ndege ya Tanzania imetumika kwa hasara karibia Milioni 300. Tunaoumia ni sisi walipa kodi

    Habari wadau. Sisi wafanyabiashara tunajitahidi kulipa kodi hata wakati ambao hatuoni faida lakini tunalipa ili nchi isonge! Lakini ajabu matumizi ya kodi zetu hayaheshimiwi hata kidogo! Yanga siyo timu ya taifa Bali ni club binafsi inayomilikiwa na wafanyabiashara wanaofaidika na uwekezaji...
  11. JamiiForums Tanzania Geita: CHADEMA yapata pigo, mmoja wa Makada na Makamanda wakuu ahamia ACT Wazalendo

    Katibu wa Baraza la Wazee CHADEMA Mkoa wa Geita, Ndugu Dominic Masusu amejiunga na ACT-Wazalendo. Masusu amepokewa leo Juni 4, 2023 na KC Zitto Kabwe katika mkutano wa hadhara uliofanyika Geita Mjini. Sasa ACT kimbilio la wote.
  12. JamiiForums Tanzania Chukua tahadhari wapo watu ambao ni wawili,watatu, wanne na zaidi ndani ya mtu mmoja

    Hello JF, Unaposhangaa vioja vya jana Kuna watu hushangaa vioja vya Leo na juzi , na wengine hushangaa vyote. Ipo hivi wakati upo na Halima Nyerere square hapa dodoma Kuna Halima mwingine ndani ya Halima katika mwili kabaki ndani amelala, Halima mwingine yupo Chuo Cha mipango yupo discussion na...
  13. JamiiForums Tanzania Tarehe 03 Juni, 2023 Yanga inachukua kombe, kila mmoja aseme AMEN

    Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club. Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa.... Watanzania tusimame na Yanga kwani...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania Kwanini katika wanasayansi wakubwa hakuna mwanamke hata mmoja?

    Kwanini katika wanasayansi wakubwa hakuna mwanamke hata mmoja? Fuatilia mnipe majibu !! Mie sijaelewa?
  15. JamiiForums Tanzania Mganga anasema ili Wawe Mabingwa wakubali Kiongozi Wao Mmoja au Mtu wao maarufu Afe kama Kafara

    Klabu nyingine moja kubwa mara Nne ilishafanya hivi katika Mechi Ngumu za Kimaamuzi na Viongozi wake Maarufu Watatu Kufariki Wiki Moja kabla ya Mechi na Mmoja wa Shabiki wake Maarufu nae Kufariki na walipocheza hizo Mechi zao zote walishinda. Hivyo basi hata na Wenzao hivi sasa nao Wanahaha kwa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wabunge wapigwa darasa kuhusu nishati safi na salama ya kupikia. Kila mbunge kupewa mitungi 100 ya gesi

    Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo, tarehe 27 Mei, 2023 wamepata nafasi ya kujifunza kuhusu nishati safi ya kupikia pamoja na kupitishwa kwenye Rasimu ya Dira ya Taifa ya Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia pamoja na Mpango Mkakati wa Utekelezaji kupitia semina maalum...
  17. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya anasema aliyekufa ni Mmoja tu, ila Mashuhuda Wanaohojiwa wanasema ni Watatu je, tumuamini nani?

    Kilichokushangaza zaidi (hasa) GENTAMYCINE ni kuona Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila na Naibu Waziri wa Michezo Rashid Mwimjuma (alias Mwana FA) wamepata Nguvu za Kutizama Mpira Uwanjani muda wote wa dakika 90 za zile dakika 10 za Upendeleo huku Watu Watatu wako Mochwari na Watu 30...
  18. JamiiForums Tanzania Vurugu zilitokea taifa zimesababisha mtu mmoja kupoteza maisha na makumi ya majeruhi wapo hospital

    Suma jkt na tff lazima wabebe lawama hii kulikuwa na haja Gani ya kutumia polisi ..maji ya kuwasha na virungu kwa raia wasio na hatia na viingilio wamelipwa?
  19. JamiiForums Tanzania Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

    Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter: "Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza nchini KM 2035 zinajengwa kwa wakati mmoja

    Kwa mara ya kwanza Tanzania inaandika historia chini ya Rais Samia Suluhu kwa kutekeleza ujenzi wa Kilometa nyingi za barabara kwa wakati mmoja. Serikali inaenda kutekeleza miradi mikubwa yenye Jumla ya kilometa 2035 ambayo itaanza kutekelezwa Kwa wakati Mmoja na itagharimu shilingi trillioni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…