mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. T

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Uchaguzi Mkuu 2025 zaidi ya wabunge 20 wa CCM wakapita bila kupingwa. Niko pale nakula popcorn

    Huu ni mtazamo wangu binafsi kuhusu hali ya kisasa nchini sijui ni nini kimetokea kwenye taifa letu. Hilo jambo litatokea si Kwa sababu watu wanamapenzi mema na CCM na wala si kwa sababu watu wana Imani na CCM na sera zake, bali itatokea Kwa sababu ya watanzania kukosa mwamko wa kisiasa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Je, teuzi za sasa ndio chanzo cha matatizo ya nchi?

    Siku hizi kumekuwa na teuzi nyingi ambazo hazionyeshi, kuwa zimetokana na uwezo au weledi wa aliyeteuliwa. Chanzo kikuu kikiwa ni katiba inamruhusu mteuzi kufanya huo uteuzi, na matokeo yake tunaona kwamba mifumo ya utendaji na kauli za baadhi au wengi ya viongozi hao kuwa ni za magomvi na...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Prof. Kennedy kutenguliwa siku moja baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Wizara nyeti ya Mambo ya Nje kuna shida katika "Vetting" za Viongozi?

    Juzi Mhe. Rais Rais alimteua Prof. Kennedy Gaston kuwa Katibu Mkuu wizara ya mambo ya nje (anayeshughulikia ushirikiano wa Afrika Mashariki). Ijumaa tar. 1 akaapishwa huko Zanzibar. Jumamosi akarudi nyumbani Dsm. Jana jumapili akaenda kanisani kutoa shukrani kwa kuteuliwa lakini jana usiku...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuna mwalimu mkuu mmoja yupo njiani muda huu, anaenda kwa bosi kujieleza kwanini hawakufundisha Jumamosi hii

    Ndo hivyo jamani! Hilo ndilo linalotokea sasa hivi tunavyoongea huku mkoani kunakolimwa ufuta na korosho kwa wingi. Ipo hivi, Ijumaa ya tarehe 01.09.2023 shule zilifungwa kwa mapumziko mafupi ya wiki mbili. Sasa katika shule hiyo walimu walikubaliana kuwa wawapumzishe watoto wote (yaani pamoja...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu kumuwakilisha rais Samia uapisho wa Emmerson Mnangagwa

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Septemba 03, 2023 ameelekea nchini Zimbabwe kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uapisho wa Rais mteule wa Zimbabwe Mheshimiwa Emmerson Mnangagwa.
  6. JamiiForums Tanzania Makamu Waziri Mkuu - kuwa upande wa WAKULIMA anza na haya:

    SALAAM! # Wakulima wa tumbaku wa hapa Biharamulo (Kalenge) kutolipwa fedha za mauzo ya tumbaku musimu huu - ni takriban 100,000USD wanaidai KAMPUNI iitwayo Mkwawa Leave Tobacco Ltd; # Rushwa - usafiri na usafirishaji hususan magari yafanyayo safari za Nyakanazi - Kakonko ambapo kila dereva wa...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Eti Naibu Waziri Mkuu Dotto Biteko ni yupi hapa?

    Nimeuliza tu ili tusije kukuta na mmoja tukampa heshima ya cheo kikubwa kumbe siye.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkurugenzi mkuu mpya WA EWURA tangia ateuliwe kwanini mafuta yamekuwa yanafichwa hapa nchini?

    Tangia mme WA TULIA Acksobi kuteuliwa kuwa mkurugenzi WA EWURA sakata la mafuta limekuwa Shida.Je kwanini Bunge lismuazimie nlmkurugenzi husika kuondolewa Kwenye nafasi huska
  9. JamiiForums Tanzania Salamu za Mch. Mbarikiwa Mwakipesile kwa Dotto Biteko, Naibu Waziri Mkuu

    Keypoints: Biteko amechaguliwa kusaidia kukisafisha chama cha CCM kwani kina makandokando mengi sana. Biteko ni mtu muadilifu na muungwana na hajikwezi kama wengine. Kama waziri wa nishati, Biteko aangalie maeneo 2 ya msingi ambayo ndiyo chimbuko la matatizo yote, bei ya mafuta na upatikanaji...
  10. JamiiForums Tanzania UVCCM waweka sawa kuhusu Cheo Kipya cha Naibu Waziri Mkuu

    πŸ”° 𝗨𝗩𝗖𝗖𝗠 π—žπ—œπ—¨π—§ πŸ—“οΈ π—”π—šπ—’π—¦π—§π—œ 31, 2023 FAHAMU KUHUSIANA NA TEUZI YA NAIBU WAZIRI MKUU KIKATIBA IMEKAAJE? Reuben Paul Mboje, Mwanasheria-UVCCM KIUT Tarehe 30/08/2023 watu wanashangazwa kuona barua kutoka kwa Katibu Mkuu Kiongozi inayohusu uteuzi na kuhamishwa kwa mawaziri katika nafasi walizokuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Gabon: Mtoto wa Rais Ali Bongo na Katibu Mkuu Kiongozi wadaiwa kukutwa na zaidi ya Tsh. Bilioni 16.6 kwenye mabegi nyumbani

    Kwa mujibu wa video ilisambazwa mtandaoni kutoka Nchini Gabon, imedaiwa kuwa Upekuzi uliofanywa na Vikosi vya Usalama nyumbani kwa Ian Ghislain Ngoulou ikiwa ni muda mfupi baada ya mapinduzi ya Kijeshi, vimebaini kiasi hicho cha Fedha zilizofichwa katika Mabegi makubwa. ====== Videos quickly...
  12. JamiiForums Tanzania SI KWELI Naibu Waziri Mkuu amewekwa ili kuzuia kuvunjwa Baraza la Mawaziri

    Kwa kawaida inafahamika kwamba ikitokea Waziri Mkuu amejiuzulu, na Baraza zima la Mawaziri linavunjwa. Swali langu ni kwamba, Ikiwa Waziri Mkuu atajiuzulu na wakati huo pakiwa na Naibu Waziri Mkuu, Je Baraza la Mawaziri litavunjwa ama halitovunjwa kwasababu tayari patakuwa na Naibu Waziri Mkuu?
  13. JamiiForums Tanzania Nini kimejificha kwenye Uteuzi wa Dotto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu? Nini maana yake kihistoria na upi mwelekeo wa Nchi baada ya Uteuzi huu?

    Baada ya kufatilia mjadala huu kwa ukaribu Sana na kuona wengi Wakitoa Presidential Decree mbalimbali zinazolindwa na katiba nimeona sio vibaya kama na mimi nitakuja na Historia kwa sababu historia huwa haidanganyi na ndio suluhisho Lini Hiki cheo kilikuwepo na watu walioteuliwa,Na nani...
  14. JamiiForums Tanzania Doto Mashaka Biteko: Kutoka Ualimu, Ubunge atakuja kuwa Waziri Mkuu wa kwanza kijana

    Hizi ni tetesi/hisia zangu za ndani kabisa ,zimeniambia hivyo.... Unabii Huwa haupuuzwi... Unabii ukijidhihirsha... Ndio huitwa unabii... Mwalimu huyu Grade 111A kutoka katoke teacher's college 1999 na Mbunge huyu wa bukombe-Ushirombo 2015 to date. Amekuwa na upepo nzuri sana wa kisiasa na...
  15. JamiiForums Tanzania Tetesi: Huenda Waziri mkubwa akaachia ngazi wakati wowote

    Kadiri ya joto la kisiasa linavyopanda na kasi ya mabadiliko tajika nchini kuelekea uchaguzi wa mwaka 2024-2025. Mbinyo, mgandamizo, songo mbingo, vitimbi, mazonge visa na mikasa ya kisiasa ni dhahiri vitamsukuma muungwana nje ya game na kulazimika kuwajibika mapema kabla ya mwaka ujao. Nia...
  16. JamiiForums Tanzania Ibara ya 36 inapaswa kumfunga Rais na kumpokonya mamlaka ya kuanzisha na kufuta nafasi za madaraka katika utumishi

    β€œNaibu Waziri Mkuu” Ali Hassan Mwinyi akiwa Rais wa JMT, alilazimika kuteua Waziri Mkuu kutoka bara baada ya kuchukua madaraka kutoka kwa Mwl. J.K Nyerere. Katiba ilielekeza ikiwa Rais atatoka Zanzibar Waziri Mkuu atatoka Tanganyika na ndiye atakayekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Muungano...
  17. JamiiForums Tanzania Kikatiba Rais Samia yuko sahihi kumteua Naibu Waziri Mkuu

    Nawasalimu Waungwana wa JF, Mwanzo mwanzoni nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uhai na afya anazotujalia hata kuendelea kupashana habari za hapa na pale kupitia mtandao wetu huu pendwa wa JamiiForums. Hivi punde, Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri...
  18. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  19. JamiiForums Tanzania Meatu: Aliyekuwa Mbunge wa CCM ahamia CHADEMA

    Taarifa kutoka kwenye Oparesheni 255, ambayo iko Shinyanga zinaeleza kwamba, Mbunge wa Viti Maalum na Mkuu wa Wilaya wa zamani wa Meatu amehamia CHADEMA. Usajili huo Mpya umefanyika katika Mkutano Mkubwa wa hadhara uliofanyika Meatu . TOA MAONI YAKO
  20. JamiiForums Tanzania Kinana Mgeni Rasmi Mkutano Mkuu Maalum wa CCM Wilaya ya Hai

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Ndugu Abdulrhamn Omar Kinana anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa CCM Wilaya ya Hai ambao Mbunge wa Jimbo la Hai, Saashisha Mafuwe atawasilisha taarifa ya utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM kuanzia Oktoba 2020 - 2023. Mkutano wa CCM Wilaya ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…