Uchaguzi Mkuu wa Rwanda kufanyika Julai 15, 2024

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Tume ya uchaguzi ya Rwanda imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais na Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 ambapo Rais Paul Kagame anatarajiwa kuwania mhula wa nne.

Tume hiyo kupitia ujumbe wa X imesema kwamba uchaguzi wa rais pamoja na wajumbe 53 waliochaguliwa na vyama vya kisiasa, au wagombea huru utafanyika Julai 15, 2024.

Kagame (66) ambaye alikuwa kiongozi tangu Mwaka 1994 baada ya mauaji ya Kimbari, alichaguliwa katika Uchaguzi wa Kidemokrasia kwa mara ya kwanza Mwaka 2000 kisha 2003, 2010 na 2017.

Mwaka 2015 alisimamia marekebisho ya Katiba yaliyopunguza muda wa Urais kutoka Miaka 7 na kuwa Mitano, pia maboresho hayo yakampa nafasi ya kuendelea kushika madaraka hadi Mwaka 2034 kama atakuwa anashinda kwenye Uchaguzi.

#####

Rwanda to Hold Presidential Poll Next July

Rwanda will hold presidential and parliamentary polls on July 15 next year, the election commission said Tuesday, with President Paul Kagame due to run for a fourth term in office.

"Throughout the country, the polling date for the president of the Republic and 53 deputies elected from a list proposed by political organizations or for independent candidates is Monday, 15 July 2024," the National Electoral Commission said on X, formerly Twitter.

Kagame, 66, has ruled over the landlocked African nation with an iron fist for decades.

He presided over controversial constitutional amendments in 2015 that allowed him to run for more terms and stay in power until 2034.

A former rebel chief, Kagame became president in April 2000 but has been the country's de facto leader since the end of the 1994 genocide.

He was returned to office — with more than 90 percent of the vote — in elections in 2003, 2010 and 2017.

Kagame's only known challenger in the upcoming elections is opposition Green Party leader Frank Habineza, who announced in May his intention to run in 2024.

Candidates will be allowed to campaign from June 22 until July 12, the election commission said.

While Rwanda lays claim to being one of the most stable countries in Africa, rights groups accuse Kagame of ruling in a climate of fear, stifling dissent and free speech.

The Rwandan government in March decided to synchronize the dates for its parliamentary and presidential elections.

Source: VOA
 
Sijui CHADEMA wana lipi la kusema.

H.E Kagame for President for five more years.[✓]

CHADEMA for one day[X]
 
Rwanda hakuna uchaguzi bali ku rubber stamp maagizo ya kageme kwa Tume ya uchaguzu (if at is there).
 
Kuna mataifa mengine wanafanya usanii tu na uhuni. Sasa kuna haja gani kwa nchi kama Rwanda, Tanzania, Uganda, Burundi kufanya hicho wanachoita uchaguzi.

Kwa nini wasiwe na huruma kwa wananchi wao ili hizo fedha wazipeleke kwenye shughuli za maendeleo...??

Afrika bure kabisa.
 
Back
Top Bottom