Uhuru una mipaka Jiheshimu Mkuu

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu Wakuu,

Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.

Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.

Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kwa watoa Mada. Kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.

USHAURI
Kama unapinga mada ya mtu basi tumia hekima na staha kwenye maneno unayoyaandika.
 
Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.

Nini kimekusibu mkuu
 
Kweli kabisa mkuu upo sahihi

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Hivyo ni vitu ambavyo haviepukiki mnapokutana wa watu wa jamii tofauti tofauti. Utofauti wa mtaani ni kwamba watu hawatoi hizo kejeli kwa kuogopa kupigwa au kutukanwa. Ila humu ni rahisi kwa sababu haukutani na mtu physically, hivyo hata akikutusi uwezi kumfanya chochote
 
Habari zenu Wakuu,

Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu.

Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.

Hii hali nimekuwa naiona kwenye mabandiko yanayohusiana na Siasa au Dini, kiukweli sio jambo jema mnalolifanya kukejeli au kumdharau mtu kwa Siasa au udini ni Ubaguzi na unapaswa kukemewa.

USHAURI
Kama unapinga mada ya mtu basi tumia hekima na staha kwenye maneno unayoyaandika.
Hii nimeipenda......Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.
Si hivyo tu Mkuu, bali wapo pia wanaochomekea kitu tofauti kabisa na mada inayojadiliwa. e.g. tuseme mada inayojadiliwa inahusu vita (mapigano ya kutumia silaha)baina ya nchi X & Y lakini anakuja mtu anatumbukizia habari za chama cha siasa nchini Tanzania au kukatika-katika umeme wa TANESCO.
 
Kuna watu hawana heshima Mkuu, yani hawachagui maneno ya ku-comment kabisa.

Nimeshuhudia kwenye uzi wa mdau akijibiwa upuuzi mpka nikajihisi vibaya.

Watu wasio na heshima kama hawa wanachangia wadau wasiandike mada kwa kuogopa kutamkiwa maneno ya hovyo.

WABADILIKE AISEE, WANAKERA!
Pole ndugu,ila kwa aina ya uchangiaji wa jukwaa hili ukiamua kumfuatilia kila mmoja utaumia sana.Jua kuwa kila mmoja anao uhuru wa kusema akitakacho,na zaidi wengi hatujuani hatuonani,na kila mmoja ana malezi yake,ana tabia yake na kamwe hatuwezi kufanana,ukiona mnatofautiana mitazamo mpotezee,angalia yupi mnaweza enda sawa,mtashare mawazo na mitazamo,huku furaha yako ikisalia.
 
Yaani kuna watu wanatukana humu bila sababu, mpaka unajiuliza hivi kwao ni mama zao ndio wanatukana hivyo?
Maana kuna kina mama wanachamba aisee
Inawezekana wanajifunza toka huko
Haiwezekani mtu anachangia hoja au anaandika mada halafu anatukanwa moja kwa moja
Hawa wanafaa kufungiwa maisha wakatafute jukwaa la matusi 😄 🤣
 
Kabisa Mkuu, wanakera sana.

YANI INAFIKIA HATUA MPAKA MLETA UZI NAYEYE ANATUKANA KWA KUKOSA UVUMILIVU.
 
Sikuwahi kuangalia uzi wa ARSENAL jana niliufungua. Uzi ulianzishwa mwaka 2006 ukiona jinsi watu walivyokuwa wanachati unaona kweli walikuwa matured.

sasa hivi kati ya nyuzi 5 nne lazima ziwe na watu wanatukanana.
Na mada haijadiliwi😂😂
Wapuuzi sana, yani wanataka kuishi maisha yao ya kishezi kwenye mitandao ya kijamii.
 
Hii nimeipenda......Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada.
Si hivyo tu Mkuu, bali wapo pia wanaochomekea kitu tofauti kabisa na mada inayojadiliwa. e.g. tuseme mada inayojadiliwa inahusu vita (mapigano ya kutumia silaha)baina ya nchi X & Y lakini anakuja mtu anatumbukizia habari za chama cha siasa nchini Tanzania au kukatika-katika umeme wa TANESCO.
Tena hili la kujadili mada tofauti. Ni 100% lazima kitu kijadiliwe tofauti. Na matusi lazima yawepo.

Mitandao kama quora, ukiona watu wanavyochati utajua tu hawa watu wanafikiri nini na inakupa picha nzima ya watu hao.

Miaka 2006 mpaka 2010 thread nyingi zina staha sana.
 
Back
Top Bottom