Mahakama Kuu yazuia Mkutano Mkuu wa Dharura wa TLS uliopangwa kufanyika Disemba 16, 2023

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Ndugu wanachama,

Leo tarehe 15 Disemba 2023 majira ya saa kumi na mbili jioni 2023, Baraza la Uongozi la TLS likiwa lindendelea na kikao chake Makao Makuuu ya TLS (Wakili House) limepokea amri ya Mahakama iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es Salam Registry kwenye maombi madogo namba 27673 ya mwaka 2023 katika Shauri la Baltazary Bosco Mahai dhidi ya Tanganyika Law Society na Mwanasheria Mkuu wa Serikali.

Miongoni mwa mambo mengine Mahakama Kuu imeamuru Chama cha Sheria Tanganyika (TLS) kusitisha Mkutano Mkuu wa Dharura uliokuwa
umepangwa kufanyika kesho farehe 16/12/2023. Shauri tajwa limesikilizwa leo upande mmoja bila kushirikisha TLS.

Kwa sababu hiyo, Baraza la uongozi limetekeleza amri hiyo ya Mahakama Kuu kwa kusitisha mkutano tajwa mpaka mtakapopewa taarifa nyingine.

Mwisho, Chama cha Sheria Tanganyika inawashi Wanachama wake wote kuendelea kuwa watulivu na kushikamana kwa masiahi mapana ya haki na utawala wa sheria.

Mungu ibarlki Tanzania.
Imetolewa leo tarehe 15 Desemba 2023 kwa Amri na Mamlaka ya Baraza la
Vongozi.

IMG_9364.jpeg
 
View attachment 2843625

Mkiondoa ushirikiano wenu na mahakama mbona 24 hours haziwezi kupita? Matakwa yenu yote watawapa. Tatizo letu liko hapo chini ya meza:

IMG_20231208_100714.jpg

"Fear of the unknown."

Yale ya kwamba tufanye siasa za kistaarabu. Ustaarabu upi na asiyekuwa mstaarabu?
 
Back
Top Bottom