Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Baada ya CCM kuendelea kushikilia msimamo wao wa kuteua wasimamizi wa uchaguzi nchini; Chadema kipo mbioni kujitoa kwenye uchaguzi hadi pale tutakapokubali kuwa na tume huru.
Kwa muundo wa vyama vya upinzani Tanzania ,chadema ikijitoa hakutakuwa na uchaguzi badala yake tutarudi kwenye bunge la chama kimoja. Lakini pia hali hii itawagawa wananchi kama ambavyo nyufa za kukosekana haki zinaonekana kwa sasa
Je, CCM watatumia mbinu gani kukwepa huu mtego ikiwa waliyapuuza maridhiano? Je watafanya siasa wenyewe kama wanavyofanya sasa?