mkuu

Bwana Mkuu was Sultan of Pate, Kenya, 1688 to 1713. At the time Pate dominated Lamu. Bwana Mkuu set up residency at Lamu, complete with a Lamu lady as one of his wives and a private mosque.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Uhuru una mipaka Jiheshimu Mkuu

    Habari zenu Wakuu, Kumekuwa na Uhuru mbovu kwa baadhi ya watu linapokuja suala la kuchangia mada au Bandiko la mtu. Nimeona sio mara moja, ni mara nyingi sana mtu analeta mada halafu anatokea mtu from nowhere ana-comment upuuzi au kumdharau mleta mada. Hii hali nimekuwa naiona kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Kama ni lazima sana CCM iendelee kuongoza serikali na nchi hii by 2025, basi wazingatie ushauri huu kuhusu mgombea wao....

    1. Mimi natambua kuwa, kama hakutakuwa na mabadiliko ya kikatiba na kisheria comes 2025 General Election, uwezekano wa CCM kutumia uhuni kushinda uchaguzi tena ili kuendelea kuongoza serikali na nchi hii ni mkubwa.. Hata hivyo nina ushauri huu. Kwamba, msituletee mwanamke tena kwenye nafasi...
  3. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani SACP Ng'anzi asema "Toeni taarifa za Madereva wasiotii Sheria na Kanuni za Usalama"

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Ramadhani Ng'anzi amewataka abiria wanaosafiri ndani na nje ya Mkoa Ruvuma kutoa taarifa za baadhi ya madereva wanaokiuka Sheria za Usalama Barabarani. Hayo amesema Desemba 23, 2023 alipotembelea...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi nini kimemchukua mkuu wa UN muda wote hii hadi leo ndio analaani ugaidi uliofanywa na HAMAS

    Leo ndio amekurupuka na kuanza kuwa mkali dhidi ya HAMAS na kulaani walichokifanya na kuamuru waachie mateka. Nakumbuka jamaa alikua analalamika lalamika Israel kuua Wapalestina lakini hakua analaani HAMAS. Israel kamatieni hapo hapo piga....... ======================= UN Secretary-General...
  5. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa

    Mkuu wa Wilaya ya Ludewa, Mhe. Victoria Mwanziva amefanya ziara ya kimkakati ya ukaguzi wa Miradi ya Maji Wilayani Ludewa. Akitembelea miradi mbalimbali DC Victoria amesema kuwa Lengo la ziara hii ni kuhakikisha kuwa Wana-Ludewa wanapata huduma ya Maji bora, safi, salama na yenye kutosheleza...
  6. JamiiForums Tanzania Boss Mkuu wa Azam Media Company Mwamba / Mngwena Tido Dustan Mhando atangaza Kustaafu rasmi

    Huna baya Tido Dustan Mhando wala Deni kama Mdau Tukuka na Mwandamizi wa Tasnia muhimu katika Ubongo wa Mwanadamu yoyote yule ya Habari, Utangazaji na Mawasiliano ( GENTAMYCINE nikiwa ni Mdau ) Haya tuliobakia hapo sasa tuhakikishe tu tunapoenda Kuroga ili hiyo nafasi tuteuliwe Sisi turoge kwa...
  7. JamiiForums Tanzania Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana

    Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi. Ametoa rai hiyo Mkoani...
  8. JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa CCM Jimbo la Mufindi Kusini: Wajumbe wamchangia Fomu ya Urais mwaka 2025 Rais Samia Suluhu Hassan

    MKUTANO MKUU WA CCM JIMBO LA MUFINDI KUSINI UWASILISHAJI WA TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI (CCM) 2020 - 2023 Mbunge wa Jimbo la Mufindi Kusini na Naibu Waziri wa Uchukuzi, Mhe. David Mwakiposa Kihenzile tarehe 16 Disemba, 2023 Amewasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Ilani ya...
  9. JamiiForums Tanzania Katavi: Malalamiko ya waliofyekewa Mahindi yatua kwa Mkuu wa Wilaya

    Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Jamila Yusuf ameeleza kuwa amekerwa kwa tukio la baadhi ya wakulima katika Manispaa ya Mpanda kufyekewa mahindi yao ambapo amesema kitendo hicho si cha uungwana katika mstakabali wa maisha ya wananchi. Jamila amesisitiza viongozi wa mtaa na kata...
  10. JamiiForums Tanzania Mwandishi nguli na Mkuu wa Dawati la Uchunguzi JF, Simon Mkina achaguliwa kushiri mafunzo ya kung’amua na kuzuia Utakatishaji Fedha

    Mkuu wa Dawati la Uchunguzi (Investigative Desk) la JamiiForums, Mwandishi Mwandamizi, Simon Mkina amechaguliwa kushiriki mafunzo maalum ya mwaka mmoja ya kung'amua na kuzuia Utakatishaji Fedha Duniani. Mkina anakuwa mshiriki pekee kutoka Afrika (kwa awamu hii) kati ya Waandishi 12 wa Habari za...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ipo mbioni kugomea uchaguzi wa serikali za mtaa 2024 na uchaguzi mkuu 2025. Katiba na muundo wa tume ya uchaguzi vyatajwa

    Baada ya CCM kuendelea kushikilia msimamo wao wa kuteua wasimamizi wa uchaguzi nchini; Chadema kipo mbioni kujitoa kwenye uchaguzi hadi pale tutakapokubali kuwa na tume huru. Kwa muundo wa vyama vya upinzani Tanzania ,chadema ikijitoa hakutakuwa na uchaguzi badala yake tutarudi kwenye bunge la...
  12. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yazuia Mkutano Mkuu wa Dharura wa TLS uliopangwa kufanyika Disemba 16, 2023

    Ndugu wanachama, Leo tarehe 15 Disemba 2023 majira ya saa kumi na mbili jioni 2023, Baraza la Uongozi la TLS likiwa lindendelea na kikao chake Makao Makuuu ya TLS (Wakili House) limepokea amri ya Mahakama iliyotolewa na Mahakama Kuu ya Tanzania Dar es Salam Registry kwenye maombi madogo namba...
  13. JamiiForums Tanzania Hatimaye mkuu wa HAMAS asema wako tayari kuitambua Israel almradi yaishe

    Haijaeleweka nini kimesababisha jamaa abadilishe msimamo ghafla...... In shift, a top Hamas official floats Israel recognition In an interview with Al-Monitor, senior Hamas official Mousa Abu Marzouk suggested the militant group would adhere to the Palestine Liberation Organization’s stance on...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Vita ya kuwania Ukatibu Mkuu wa CCM imepamba moto

    Katika siasa anguko la mmoja ni faraja kwa wengine.Hii imedhihirika ndani ya CCM ambako baada ya anguko la Daniel Chongolo baadhi ya makada wenzake wanahaha kutaka kuwa mrithi wake. Wafuatao wanahangaika kwelikweli 1. Abdalllah Bulembo Huyu aliwahi kuwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya wazazi taifa...
  15. JamiiForums Tanzania Uchaguzi Mkuu wa Rwanda kufanyika Julai 15, 2024

    Tume ya uchaguzi ya Rwanda imetangaza kuwa Uchaguzi wa Rais na Wabunge unatarajiwa kufanyika Julai 15, 2024 ambapo Rais Paul Kagame anatarajiwa kuwania mhula wa nne. Tume hiyo kupitia ujumbe wa X imesema kwamba uchaguzi wa rais pamoja na wajumbe 53 waliochaguliwa na vyama vya kisiasa, au...
  16. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mlele (Katavi) amewataka wavamizi katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi amewataka Wananchi wanaofanya shughuli za Kibinadamu katika Milima ya Lyamba Lyamfipa kuondoka haraka kwani milima hiyo ndio yenye uoto wa asili na kutunza vyanzo vya maji. Kauli hiyo ya Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid Mwanga imetolewa katika Kata ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Majid akerwa kukuta mifuko ya saruji imeganda

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi, Majidi Mwanga amekerwa kwa kutelekezwa mradi wa kutengeneza tanki la maji lenye ujazo wa lita milioni moja ambapo saruji ilinunuliwa kwa ajili ya kutekeleza mradi huo ilihifadhiwa vibaya na hatimaye kukutwa imeganda. Majidi amefanya ziara ya kutembelea...
  18. JamiiForums Tanzania RC Chalamila, nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko

    Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, kwanini haukutaka kwenda kwenye soko la Mbagala Zakhiem kulifungua badala yake ukaenda kwenye uwanja wa Mbagala Zakhiem uliopo nusu kilomita kutoka kwenye soko? Mheshimiwa Mkuu wa Mkoa nenda Mbagala Zakhiem kalifungue soko kwani wafanyabiashara wa awali...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu Mteule CCM ndie ataratibu mchakato wa kupata wagombea 2025 - busara itumike kumpata

    1. Katibu Mkuu (Afisa Mtendaji Mkuu/CEO) ndie atakayeratibu zoezi la kupata wagombea nchi nzima. 2. Apatikane Kiongozi Makin, mtulivu, Msomi na mwenye uzoefu katika Siasa na uongozi. NB: Akitokea Zanzibar (sehemu ya Muungano) sio dhambi.
  20. JamiiForums Tanzania Katibu wa CWT adai ana Mkataba wa Ajira ya Kudumu katika Chama cha Walimu Tanzania

    Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…