mkutano

Mkutano Meets the Culture Musical Club of Zanzibar is an album by American blues artist Taj Mahal.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12: Mkutano wa 10, Kikao cha 6, Februari 7, 2023, LAAC yataka waliosababisha hasara katika Halmashauri wachukuliwe hatua

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 7, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 6 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imebaini Miamala kufutwa au baadhi ya tarakimu kurekebishwa bila idhini ya Maofisa Masuhuli au bila kuwapo kwa nyaraka za Uthibitisho wa uhalali wa...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Watu 367 wamefariki kwa ajali barabarani Oktoba hadi Desemba 2022

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Februari 6, 2023 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 10, Kikao cha 5 VITAMBULISHO VYA NIDA NI ASILIMIA 68 TU Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje, Ulinzi na Usalama, Vita Rashid Kawawa akisoma Taarifa ya kamati kwa kipindi cha Februari 2022 hadi 2023, amesema...
  3. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa VP Mpango Mnazi Mmoja umeanza vibaya. Kibaka aiba simu ya Katibu Mwenezi wa Mkoa.

    Kwenye mkutano wa CCM, mkutano mkubwa,.sherehe kubwa,wasaniii wengi pale,.pamoja na Zuchu. Lakini kibaka kaiba simu ya mheshimiwa. MC akaambiwa atangaze ili simu ipatikane. Kwa hiyo MC ametangaza:"Yupo mwanaCCM mmoja mwaminifu ameichukua simu ya Katibu Mwenezi. Tunaomba airudishe."
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Patrobas Katambi: Vijana 1,732,509 hawana ajira Nchini

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 3, 2023 Kwenye Bunge la 10, Kikao cha 4 Serikali yasema Vijana 1,732,509 hawana ajira Akizungumza Bungeni, Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Paschal Katambi amesema: “Utafiti wa watu wenye uwezo wa...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa: Wanaorekodi Matukio ya Ukatili na kuyarusha Mtandaoni waache

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 2, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 3 WAZIRI MKUU: WANAOREKODI MATUKIO NA KUYARUSHA MITANDAONI WAACHE Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema “Nitoe wito kwa jamii hasa wale wanaonasa matukio na kuyarusha kwenye mitandao kutofanya hivyo kwa kuwa...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Tunaangalia namna mpya ya kutathimini shule bora nchini

    Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 1, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 2 RATIBA YA LEO Dua Hati za kuwasilisha mezani Taarifa za kamati Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii Kamati ya Viwanda, Biashara na Mazingira MWONGOZO Kuhusu uamzi wa NECTA kutokutangaza orodha ya Shule 10...
  7. Mbunge Afrika Mashariki

    JamiiForums Tanzania Chama cha CUF wananchi wilaya ya Kinondoni kufanya mkutano mkubwa wa hadhara Magomeni Februari 2, 2023

    CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini Mkutano mkuu wa hadhara Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba. Usipange kukosa njoo tuisimamishe kinondoni, njoo tuijaze magomeni. #ChamaMakini #ViongoziMakini
  8. D

    JamiiForums Tanzania Kwanini Clouds Media haijaripoti kabisa Mkutano wa CHADEMA?

    Hello wakuu Leo vyombo vyote vya habari, wametumia nafasi Yao vizur kujulisha wananchi Juu ya ujio, Mapokezi ya Makamu mwemyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu. Pamoja na Mkutano uliofanyika huko Temeke. Lakini Cha kusikitisha Clouds Media imeungana na tbc hawakuipa umuhimu habari hiyo. Katika kurasa...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika leo, Januari 25, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika - Dakar chini Senegal leo tarehe 25 Januari, 2023
  10. M

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti CHADEMA Tundu Lissu, na Mkutano wa Hadhara Temeke Leo Jumatano 25/1/2023

    Ni Asubuhi tulivu siku ya Jumatano, Katika Jiji hili kuu la Kibiashara la Dar es Salaam leo majira ya saa 7:35 mchana anatarajiwa kutua mwanamapinduzi wa kweli Tundu Antipas Lissu ambaye anarejea nchini mwake baada ya kulazimika kuwa uhamishoni kwa takriban miaka 6 kutokana na Jaribio la...
  11. Mwl.RCT

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA Musoma

    Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe. Freeman Mbowe akiwasalimia wananchi wa Musoma mjini. = = =
  12. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Jana ulikuwa ni mkutano wa CCM uliovalishwa vazi la CHADEMA

    Na, Robert Heriel Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la CHADEMA. Na Hii ndio inaweza kutoa picha ni aina gani ya Siasa katika nchi hii tulizonazo. Hakukuwa na...
  13. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA VS Mapokezi ya Mandonga: Kwa nini Mandonga kapata watu wengi zaidi?

    Wiki hii kumekuwa na matukio mawili yaliyokusanya watu. Tukio la kwanza ni la bondia Mandonga ambaye alipokellewa na maelfu ya watu wa Morogoro. Tukio lingine ni mkutano wa Chadema uko Mwanza ambao mwenyekiti alitoa hotuba akiwa chakali. Kilichoshanzaga watu ni Mandonga kupata watu wengi...
  14. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nimepata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA

    Sina mengi ya kuzungumza zaidi ya furaha yangu. Kiukweli nimempata mwanamke kwenye mkutano wa CHADEMA, kwahiyo leo itakuwa full raha bhahahahahah!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa CHADEMA: Pambalu aomba waliokamatwa kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru kuendelea na kazi zao CHADEMA

    CHADEMA leo imeanza mikutano yake ya hadhara jijini Mwanza. Miongoni mwa viongozi waliopewa nafasi kuzungumza ni Mwenyekiti wa BAVICHA, John Pambalu ameomba mwenyekiti wa chama hiko apeleke hoja kwa Mhe. Rais Samia Suluhu kuwa waliokamata kwa kesi za kuuza madawa ya kulevya waachiwe huru...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Yaliyojiri Mkutano wa Hadhara wa CHADEMA baada ya kuondolewa zuio la mikutano

    Ni asubuhi tulivu siku ya Jumamosi tarehe 21 Januari hapa Jijini Mwanza. Macho na masikio ya Watanzania yanaelekezwa hapa Jijini Mwanza kutakakofanyika shughuli kubwa ya kisiasa ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo. Chadema Leo inazindua Rasmi mikutano ya kisiasa baada ya kuzuiwa kwa miaka...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Picha: Kinachoendelea Furahisha mkutano wa CHADEMA kwa wana Mwanza

    Picha: Kinachoendelea FURAHISHA mkutano wa CHADEMA kwa Wana MWANZA Karibu,kwa updates zaidi! Mwanza ndio kumeanza kupambazuka kwa mbali, watu wakifanya pirika zao mapema,ili kuwahi mkutano huu wa kihistoria!
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi

    Matukio ya Rais Samia akiwa katika Mkutano wa Nishati Nchini Uswizi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi mbalimbali wakati akizungumza katika mkutano wa masuala ya Nishati (Powering the World) uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mwenezi wa CCM Ndg. Shaka na Mkutano mkubwa na Waandishi wa Habari Januari 12, 2023

    Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam. #CCMImetimia #KaziIendelee
Back
Top Bottom