Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,759
- 2,795
Habari za wakati huu expert mwenzangu
siku moja nitauliza ni kwanini tunaitwa "experts"
isije kuwa ni maexperts wa kuandika nyuzi
..mnaokaa karibu na bahari, maziwa na mito, jamani mungu awape macho, hiyo ni fursa.
ninaishi sehemu ambayo upatikanaji wa maji ni shida sana, kwahyo nawaza na kuwazua jinsi gani ya kukabiliana na changamoto hii.
wazo:
kwa sababu nipo nje ya mji,eneo kubwa nk, nataka ninunue cement ya kutosha, nijenge tank ambalo litahifadhi maji angalau lita mil. 1 (one million litres of water) na nitahakikisha linajaa kabla msmu wa mvua haujaisha..
lengo nipate maji ya kutosha kumwagilia bustani zangu.
maana
ninapata matokeo hasi kwa kutegemea mvua zisizoeleweka.
niko serious kabisa. Nataka niwaonyeshee mfano walionicheka, naamini hii wataipenda tu
rafiki yangu hapo, unasemaje/ unauonaje mpango huu?
unaweza kuniongezea wazo au maarifa zaidi?
karibu sana